mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 753
- 551
1. Usafiri wa kuja Mafia unapatikana maeneo gani? namaanisha ule wa Meli.Wenye maswali kuhusu Mafia uliza hapa ujibiwe, niko Mafia kikazi.
Usafiri kuna meli Mv songosongo inamilikiwa na Jeshi ina uwezo wa kubeba abiria 200+. Kuna kivuko Mv Nyamisati kinamilikiwa na Serikali kinabeba abiria 200 na mizigo tani 100.
Barabara ya lami ipo kutoka bandarini hadi Utende, kuna nyingine inawekwa lami sasa.
2. Bei za lodge kwa Siku zikoje?
3. Kuna vivutio gani vya kupunguzia stress huko?
Nataka nije kutembea na Mke wangu huko walau nipate pumziko la siku 4.