emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,099
- 1,607
ndio mkuuKaka UKO mafia BADO
Kwishaaaa
ndio mkuuKaka UKO mafia BADO
Kwishaaaa
Usafiri wa meli bado tuna kivuko kimoja ambacho kinahudumia mafia kutoka nyamisati ambayo ipo kibiti. Ukitaka kuja mafia, chukua daladala mbaga ikufikishe mwandege stend, hapo utakuta daladala za kukufikisha nyamisati ndipo kivuko kinapatikana hapo.1. Usafiri wa kuja Mafia unapatikana maeneo gani? namaanisha ule wa Meli.
2. Bei za lodge kwa Siku zikoje?
3. Kuna vivutio gani vya kupunguzia stress huko?
Nataka nije kutembea na Mke wangu huko walau nipate pumziko la siku 4.
NILIKUA nauliza kama nikileta MIKOBA ya WADADA ya mitumba tapata soko?, usafiri WA kutoka zanzibar KWENDA mafia moja kwa moja UPO. JE pamechangamka?ndio mkuu
Mkuu, nataka nije huko siku 2.Usafiri wa meli bado tuna kivuko kimoja ambacho kinahudumia mafia kutoka nyamisati ambayo ipo kibiti. Ukitaka kuja mafia, chukua daladala mbaga ikufikishe mwandege stend, hapo utakuta daladala za kukufikisha nyamisati ndipo kivuko kinapatikana hapo.
Bei za lodge inategemeana na uclasic wa lodge, kuanzia elfu 20 per night zipo.
Vivutio vya majini, kuzamia, kuogelea, kufurahia natural beaches