Je, Lissu yupo nchini?

Hebu angalia na hiyo, jee ndio mafanikio hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuja kuhudhuria kikao cha kamati kuu ya chadema kilichofanyika mjini Nairobi kwenye a 5 star hotel. Baada ya kikao alirejea kwao Ubeligiji. Kikao kijacho cha kamati kuu kifanyika nchini Ubeligiji.
 
Kikubwa ni kuifurusha ccm madarakani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida iko wapi? Nyie endeleeni kufanyia Ikulu
 
Haina ubaya wowote ule maana kinachotakiwa ni kumfurusha mkoloni mweusi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…