Je, Lissu yupo nchini?

Kwa mbinu yenu ile ile ya uchafuzi wa serikali za mitaa?. Washenzi ninyi.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Benefits kutoka kwa shetani wako mkuu au?.Wadanganye wapumbavu wenzio wa Lumumba.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Maendeleo yenyewe yako wapi?.Labda ya Juha na mwanae


Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Subiri uone. Lissu anaijua hiyo kesi na hiyo movie kuliko unavyoijua wewe. Ndio maana anatumia gharama kubwa mno sana kumficha dereva wake na yeye kukaa huko aliko.
Endelea kuharisha mkuu.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
UCHUNGUZI UMEFANYIKA NA UMEKWISHA. WAHUSIKA WAKUU WANASUBIRIWA NA MMOJA WAO NI LISSU. HIZO NGONJERA MARA WALINZI WALIONDOLEWA MARA CCTV ZILIFUNGULIWA NI HABARI ZA KUTUNGA NA KESI ITAKAPONGURUMA HATA WEWE UTAUFAHAMU UKWELI
Uchunguzi uliofanywa na wewe Kenge au?

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Atakufa mama yako kwanza! Vipi ile taarifa yako ya uongo ya mauaji ziwa victoria ulishapeleka taarifa kwa mabwana zako!
Mabwana zako pia.Kwani hujui kuwa hao ndio wafadhili wa vyoo ambavyo vilizinduliwa na Waziri wako?Pumbaaaaaaaaavu.Kwenu wanaitwa wahisani.


Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Nishawekwa Huru na KWELI ya NENO LA MUNGU. Sihitaji ujanja wa kishetani kama wako ili kujuwa UKWELI wa nani muhusika wa tukio la Lisu. hata shetani atawaumbua kwa ushenzi wenu.mna mikononi iliyojaa damu za watu.

Pole zaidi. Hilo neno la Mungu linalokuongoza kuukataa ukweli, mmmhhh
 
Bado hujatoa matusi ya kutosha. Sawa ikikuingia lazima uyatoe matusi kwa kuwa ndio utaalamu wako.
Wewe na wapuuzi wenzio wa Lumumba ndio mlioingiliwa na Lissu vichwani.Hakika huyu mtu hatowatoka vichwani.Sababu mnazijua sana.Hata Kiranja wenu analijua hilo.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Acheni kumpa Lissu kiburi,mnamponza Sana pro Chadema.Unaona Hadi ubunge Hana Sasa kabakia makamu wa Mbowe tu.
Anyway mshaurini tu arudi Nchini kuendelea na kesi zake.
 
Yani ukisikia shetani wa jf Ndio mtu Kama wewe kwahiyo mliompiga risasi hamna hatia ila mwenye hatia ni aliepigwa risasi na aliemuokoa doh aisee kisasi chenu kitakua kibaya Sana kwasababu kitachanganya na hasira pia maana mnawaza ushetani.

Jitahidi zaidi kujivua ufahamu. Mwisho utaelimishwa tuuu
 
Dawa imekuingia huna ujanja ni lazima utoe matusi tu. Endelea labda utajifariji
Hivi ninyi na mimi ni nani anayeteseka zaidi kuhusu Lissu?.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Pole zaidi. Hilo neno la Mungu linalokuongoza kuukataa ukweli, mmmhhh
Umwagaji wa damu hutowasaidia chochote zaidi ya kuwatesa tuu daima.Ni furaha ya kitambo kidogo tu inayofuatiwa na majuto daima.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Acheni kumpa Lissu kiburi,mnamponza Sana pro Chadema.Unaona Hadi ubunge Hana Sasa kabakia makamu wa Mbowe tu.
Anyway mshaurini tu arudi Nchini kuendelea na kesi zake.
Haaaaahaaaaa.Naiona sauti ya kupe mkuu ndani yako.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…