Mjinga na mpumbavu utamjua kwa michango yake tuManyumbu bana. Mkikutana wenyewe mna hoja za kipuuzi puuzi mno. Hivi mgonjwa wa mirembe atapewa nchi na nani aongoze. Labda akaongoze mifugo huko
Utakuwa punguani wewe, badala ya kujikita kwenye hoja unaleta umalaya wa hojalissu ni taahira. Acha kuremba remba
Mmmh!njaa ndio inayokutuma kuandika huu utumbo ee
Hua na tabia ya kutukana badala ya kuchangia hoja.Mjinga na ******** utamjua kwa michango yake tu
Hhhhhhhh Jf kuna vituko!mmeonjana ee. Manyumbu mna shida sana
Watu kama hawa wanatakiwa kuhurumiwa mkuu.Utakuwa punguani wewe, badala ya kujikita kwenye hoja unaleta umalaya wa hoja
Kwa chama gani? maana mwenye chama keshajitangaza ndo mgombea.The next president.
Swissme
EL vipi?TUNDU LISU THE NEXT PRESIDENT 2020
Unamaanisha nn mkuu k2a huu usemi wakoLisu ni sawa na Injini ya Scania iliyofungwa kwenye Bajaji.
mbona huulizi baba j au mzee wa magwangala vipi?EL vipi?
Lisuu ana akili sana! angekua hivyo hayo tungeyaona jimboni kwake.Hebu jaribu kumtofautisha Lissu na kina kamanda Lemma.
Pengine alikuwa hajui ukwel wa undani kihusu LOWASA. Lakin kujifanya hutak kusalit kauli wakat mwingine unaumiza walio wengi na ndo maana JPM katufikisha tulipo kweny bei ya sukar kuwa juu kisa alikuwa anang'ang'ania kauli yake ya kupiga marufuku uingizwaj wa sukari kutoka njee na baaday serikal yake imekuja kuruhuc baada ya mambo kuwa mabaya zaidi.Kwa mtazamo wangu Lissu ajafikia uwezo wa kuliongoza taifa hili, kigezo cha sheria sio sifa pekee, kumbukeni alishawah kuisaliti kauli yake juu ya lossawa.
Ukiambiwa CCM ndio chama pekee chenye haya ukubali ksbisaa. Usihemke ukweli ndio huo.Mtu yeyote anayeshabikia chama chenye
1. Ukabila
2. Urasimu
3. Kisichohoji mamlaka na ukomo wa muda wa mwenyekiti
4. Kisichohoji matumizi ya pesa
5. Chama ambacho kiongozi mmoja akipata msiba uongozi mzima unakuwa umefiwa maana ni ndugu wa damu
6. Chama ambacho kina amini katika Vurugu, maandamano bila Sera bila utaratibu
7. Kinaamini katika unafiki wa kusema ili mwaka huu na kulibadilisha mwaka mwingine
8. Kinakumbatia mafisadi waliothibitishwa mpaka SAA nyingine kusimamishwa kazi
9. Chama ambacho wake za viongozi huwatawala waume zao kikazi mpaka kwenye utendaji ndani ya chama
10. Chama ambacho kinaamini ukimkosoa mwenyekiti kwa utaratibu au ukitangaza nia wewe umenunuliwa au ni msaliti
11. Chama kinachohubiri umwagaji damu
Yaan kama unashabikia chama hicho chenye sifa hizo sina budi kukuita ******** na mjinga, na ni bwege kabisa