Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Unajijenga kwa kutukana matusi?

Laana ya kubadili gia angani inawatafuna ufipa.
Na bado
 
Hiyo ni nafasi ya kudumu ya Edo kila mtu anafahamu hilo ndani ya Chadema.

Kama Tundu ana mawazo hayo ayafute kabisa hatutaki vurugu.

Yeyote atakayethubutu kuchukua fomu ya urais 2020 ndani ya Chadema zaidi ya Lowasa tutamfukuza uanachama.
Hahaha mkuu chadema wanadai democrasia wakati kwenye chama chao hawana hata tone la democrasia.
 
hana muonekano wa uraisi, He lacks presidential personality
Kwani mtu ambaye anaweza kuwa rais anakuwa na muonekano gani?

Na siku nyingine mtu akikuuliza kwa kiswahili uwe unajibu kwa kiswahili sio mnajifanya umesoma harafu nyie ndio mnakuwa wa watu kwanza kutualibia nchi.
 
Kwa HALI Nchi hii inavyoendelea inahitaji KIONGOZI SHUPAVU tena SHUPAVU KWELIKWELI sio masihara.Nikitazana sioni mwenye uwezo wa kuweza kupambana na na haya yanayoendelea zaidi ya LISSU. JK hupenda kusema mwisho wa uchaguzi mmoja ndo mwanzo wa uchaguzi mwingine! Nashauri UKAWA waanze kumfikiria LISSU kama potential candidate wa kpambana na CCM ya raisi Magufuli 2020. Si kwa sababu ili alipize kisasi kwa anayofanyiwa HAPANA, kwa kuwa ni shupavu! Mvuto wa LOWASSA haupo tena!
 
Kama uongozi ulioko madarakani hivi sasa unaweza kuliongoza taifa hili, Pamoja na tofauti kubwa iliyopo juu ya uzingatiaji sheria na katiba ya nchi na bado kuna wananchi wanasifia basi kamanda LISSU ni hazina pekee ya taifa hili ambayo haina wa kufanana nae.

Ni msomi, jasiri, ana akili, anajiamini, mi mkweli, hadanganyiki, ni mtendaji safi, ni mwanasiasa safi. Kwa hakika huyu mtu sina kiongozi wa kumfananisha xndani ya taifa hili. Namuombea uzima tele Mungu aendelee kumwongoza vema katika harakati zake za kutetea haki za wanyonge.

Kama Rais tuliyenaye kwa sasa atafanikiwa kulifikisha taifa kama alivyoahidi, akatekeleza ahadi zake kama alivyoahidi basi kiumbe pekee anayefanana naye kwa misimamo na kiutendaji japo kuna tofauti ya intelligence ni Tundu Lissu Pekee.

Kwa wasiofahamu ni kwamba Tundu LISSU ni mbunge pekee Tanzania ambaye wakati wa uchaguzi wa October 2015 CCM walipeleka nguvu kubwa sana kwakwe kuliko hata wengine ya mgombea Urais, Lakini poja na hujuma zote, pamoja na aliyekua akipambana nae ni ndugu yake Tundu Lissu alichomoa.

Mwaka 2010 wakati wa uchaguzi aliyekua mgombea Urais kupitia CCM wakati huo Rais mustaafu JM. Kikwete aliuambia umma wwatanzania kua "Ni bora Dr Slaa kushinda kiti cha Urais kuliko Tundu Lissu kushinda ubunge". Haya sio maneno yangu,yalikua maneno ya Kikwete! Kikwete alikua kawaida, hakua akitania bali alinena ukweli wa moyo wake, alisema alichokifahamu na alichokiona kwa Tundu LISSU. Nadhani angekua ni mwanaCCM wakati huo sijui JK angempa cheo gani ndani ya serikali yake.

Ukubali ukatae Tundu Lissu baada ya Magufuli ndiye kichwa pekee cha kuliongoza taifa hili, kama wananchi wataipenda aina ya utawala wa Rais Magufuli pasina shaka kabisa kwa umahiri na umakini wa Lissu Chadema waanze kukiweka chama kimaandalizi katika mkao wa kuliongoza taifa hili. Sioni kabisa mtu wa aina LISSU katika taifa hili.

Jamani mimi hua najiuliza sana, hivi ni mpaka sasa ni nani wa kusimama na Mh Tundu Lissu kwenye kitu cha Urais akapambana nae akamshinda? Tuwe waungwa kuusema ukweli ni nani anaweza kushindana na Lisuu kwa nafasi yeyote ile?

Tupate katiba mpya na bora, tupate tume huru ya uchaguzi na mwisho Chadema watazame wakati tulionao na mahitaji ya sasa, zaidi ya hapo sina la kuongezea.Nimalizie kwa kumtakia kaka yangu Tundu Lissu kila lakheri na Mungu amuongoze na awe salama ndani ya mikono ya polisi kwa sasa, aendeleze mapambano tuko nyuma yake na pia figisu figisu anazozipata atambue kua ni mapito haya.
 
Kama uongozi ulioko madarakani hivi sasa unaweza kuliongoza taifa hili, Pamoja na tofauti kubwa iliyopo juu ya uzingatiaji sheria na katiba ya nchi na bado kuna wananchi wanasifia basi kamanda LISSU ni hazina pekee ya taifa hili ambayo haina wa kufanana nae.

Ni msomi, jasiri, ana akili, amajiini, mi mkweli,hadanganyiki, ni mtendaji safi, ni mwanasiasa safi. Kwa hakika huyu mtu sina kiongozi wa kumfananisha xndani ya taifa hili. Namuombea uzima tele Mungu aendelee kumwongoza vema katika harakati zake za kutetea haki za wanyonge.

Kama Rais tuliyenaye kwa sasa atafanikiwa kulifikisha taifa kama alivyoahidi, akatekeleza ahadi zake kama alivyoahidi basi kiumbe pekee anayefanana naye kwa misimamo na kiutendaji japo kuna tofauti ya intelligence ni Tundu Lissu Pekee.

Kwa wasiofahamu ni kwamba Tundu LISSU ni mbunge pekee Tanzania ambaye wakati wa uchaguzi wa October 2015 CCM walipeleka nguvu kubwa sana kwakwe kuliko hata wengine ya mgombea Urais, Lakini poja na hujuma zote, pamoja na aliyekua akipambana nae ni ndugu yake Tundu Lissu alichomoa.

Mwaka 2010 wakati wa uchaguzi aliyekua mgombea Urais kupitia CCM wakati huo Rais mustaafu JM. Kikwete aliuambia umma wwatanzania kua "Ni bora Dr Slaa kushinda kiti cha Urais kuliko Tundu Lissu kushinda ubunge".Haya sio maneno yangu,yalikua maneno ya Kikwete! Kikwete alikua kawaida,hakua akitania bali alinena ukweli wa moyo wake,alisema alichokifahamu na alichokiona kwa Tundu LISSU.Nadhani angekua ni mwanaCCM wakati huo sijui JK angempa cheo gani ndani ya serikali yake.

Ukubali ukatae Tundu Lissu baada ya Magufuli ndiye kichwa pekee cha kuliongoza taifa hili, kama wananchi wataipenda aina ya utawala wa Rais Magufuli pasina shaka kabisa kwa umahiri na umakini wa Lissu Chadema waanze kukiweka chama kimaandalizi katika mkao wa kuliongoza taifa hili.Sioni kabisa mtu wa aina LISSU katika taifa hili.

Jamani mimi hua najiuliza sana, hivi ni mpaka sasa ni nani wa kusimama na Mh Tundu Lissu kwenye kitu cha Urais akapambana nae akamshinda? Tuwe waungwa kuusema ukweli ni nani anaweza kushindana na Lisuu kwa nafasi yeyote ile?

Tupate katiba mpya na bora, tupate tume huru ya uchaguzi na mwisho Chadema watazame wakati tulionao na mahitaji ya sasa,zaidi ya hapo sina la kuongezea.Nimalizie kwa kumtakia kaka yangu Tundu Lissu kila lakheri na Mungu amuongoze na awe salama ndani ya mikono ya polisi kwa sasa, aendeleze mapambano tuko nyuma yake na pia figisu figisu anazozipata atambue kua ni mapito haya.
Lissu huwa anashuka na data yule wa upande mwingine yeye anafoka.
 
Back
Top Bottom