Ukifika Arusha kuna mademu wanapiga gia balaa. Wanasukuma Land cruiser mkonge za watalii manual kama wanafagia uwanja tu
Wakuu Habari,Niwasalimu.
Sijajua kama nimeeleweka
Ipo hivi,Je? Kuna umuhimu mke/mama watoto kumuendesha mumewe/Baba watoto kwenye gari?
Nikimaanisha mwanaume hana gari lakini amenunua gari kwa ajili ya mkewe + familia na mwanamke ndiye anayeshika usukani.
Mfano kama ni kuwasalimu marafiki/kwenda event/hata church...mwanamke awe anauchukua usukani.
Ifahamike kuwa kuna baadhi ya wanaume hawapendi usumbufu + shughuli nyingi.
Sasa ni zipi faida na hasara za kumwachia mke usukani...?
NAWASILISHA