Je, kuna umuhimu mume/mwanaume kumuachia mwanamke usukani wa gari? safari zote mwanamke afanye?

Kwenye lami sawa...ila kwa rough roads unaua gari dada...na hata mtu akipanda kwa spidi hiyo anaweza vurugwa tumbo
Mkuu hapo kwenye "kuvurugwa tumbo" umenifanya nicheke sanaa aisee.

Ila rough road nyingine zipo vizuri utadhani ni mkeka
 
Wakuu Habari,Niwasalimu.

Sijajua kama nimeeleweka

Ipo hivi,Je? Kuna umuhimu mke/mama watoto kumuendesha mumewe/Baba watoto kwenye gari?

Nikimaanisha mwanaume hana gari lakini amenunua gari kwa ajili ya mkewe + familia na mwanamke ndiye anayeshika usukani.

Mfano kama ni kuwasalimu marafiki/kwenda event/hata church...mwanamke awe anauchukua usukani.

Ifahamike kuwa kuna baadhi ya wanaume hawapendi usumbufu + shughuli nyingi.

Sasa ni zipi faida na hasara za kumwachia mke usukani...?

NAWASILISHA
Ktk karne hii kuja na mada kama izi nahisi ni kuwa out dated
 
Hivi mnamaanisha kuendesha haya magari ya kawaida ya vyombo vya moto
Au magari haya chapa blankent manake nimesoma Mara mikao, Mara barabara ya vumbi
 
Kwenye lami sawa...ila kwa rough roads unaua gari dada...na hata mtu akipanda kwa spidi hiyo anaweza vurugwa tumbo
Sehem ambazo zimepita sgr kumetengenezwa barabara nzuri sana ...haina mabonde mkuu imenyooka safi...sisi tulikoswa koswa na bomoa bomoa ya mwendokasi..tuna barabara nzuri sana siwez kwenda taratib hata kdg...
 
Mkuu hapo kwenye "kuvurugwa tumbo" umenifanya nicheke sanaa aisee.

Ila rough road nyingine zipo vizuri utadhani ni mkeka
100kph ni spidi kali sana kwenye rough road hata iwe nzuri kiasi gani
Tatizo kubwa kwenye barabara hizo ni grip, gari haikamati vizuri barabara kama inavyofanya kwenye lami , unaweza kupata dharula ya breki , unakanyaga gari inazunguka na kuanguka hapo hapo. Hutaamini macho yako kuwa umekoga vumbi. Just miliseconds
 
Hivi mnamaanisha kuendesha haya magari ya kawaida ya vyombo vya moto
Au magari haya chapa blankent manake nimesoma Mara mikao, Mara barabara ya vumbi
Vyombo vya moto mkuu..

Achana na hayo mauchafu mengine.
 
100kph ni spidi kali sana kwenye rough road hata iwe nzuri kiasi gani
Tatizo kubwa kwenye barabara hizo ni grip, gari haikamati vizuri barabara kama inavyofanya kwenye lami , unaweza kupata dharula ya breki , unakanyaga gari inazunguka na kuanguka hapo hapo. Hutaamini macho yako kuwa umekoga vumbi. Just miliseconds
Una uzoevu wa uendeshaji,mwenyewe nimeshituka kwa speed ya 100 rough road.
Kwa hizi gari zetu ukifikisha speed 70 rough road gari inaanza kuonyesha uepesi na kutokutulia barabarani.
 
Back
Top Bottom