Mwanaume ndie anapaswa kuwa kiongozi pekee wa familia

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
543
1,837
Wasalaam wakuu!

feminists na wadau mbali mbali wa masuala ya usawa wa kijinsia wamekuwa wakijiibua na hoja kadhaa kuhusu ulazima wa kuwepo wa usawa baina ya wanaume na wanawake,. "namimi Nakubaliana nao 100% kuwa wanawake wanastahili haki zote za msingi sawa sawa na wanaume isipokuwa tu katika masuala ya uongozi" . Wanawake hawafai kuwa viongozi, katika ngazi yoyote ile ya kijamii.

Na katika hili la uongozi nalenga zaidi ngazi ya familia, ni kosa la kiimani na ujinga kwa mwanaume kuamua kumuachia nafasi ya uongozi wa familia mwanamke . Na kama unafikiri kwa kufanya hivyo ndio kuwa baba bora au mpenzi bora basi tambua unajiweka katika kundi la mabwege na wakosa akili ambao hawayatambui mamlaka yao kiimani na hata kimaumbile.

Katika maandiko ya kidini kama Biblia na Korani, kuna mistari ambayo inaweza kutafsiriwa kuonyesha kwamba mwanaume yuko juu ya mwanamke kimamlaka.

1 Wakorintho 11:3 - "Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanaume ni Kristo; na kichwa cha mwanamke ni mwanaume; na kichwa cha Kristo ni Mungu."

Waefeso 5:22-23 - "Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana. Kwa maana mume ni kichwa cha mke, kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa."

Kutoka kwa Korani, kuna aya ambazo pia zinaweza kutafsiriwa kuonyesha nguvu ya kimamlaka ya wanaume.

Surat An-Nisa [4:34] - "Wanaume ni walinzi na watumizi wa wanawake, kwa sababu Mwenyezi Mungu amefadhilisha baadhi yao juu ya baadhi, na kwa sababu ya mali yao wanayotoa."

Surat Al-Baqarah [2:228] - "Na wake wana haki kwa waume zao kwa mujibu wa ilivyo ada; na wanaume wana daraja zaidi ya wanawake."

Maandiko haya siyo kwa bahati mbaya bali ni kutokana na ukweli kwamba wanawake wamejawa na roho za visasi, chuki zisizo na msingi, choyo, tamaa na wivu uliopindukia.
Hivyo wanahitaji kuongozwa na kuwekwa katika mstari sahihi wakati wote, sababu wao nikama unguided missiles , bila kuongozwa wanaweza wakakushambulia hata wewe muda usiotarajia, na ukitaka uishi maisha ya kujitenga na jamii huku ukiwa umeandamwa na hisia za kuona kila mtu wako wa karibu ni mbaya basi wewe mkabidhi mwanamke usukani wa maisha yako!

Adios amigos!!
 
images (6).jpeg
 
Ndo ilivyo mwanaume ni kichwa,ss shida inaanzia hapa,baadhi ya wanaume hawajielewi hata wakipewa hizo nafasi wanapwaya!

Kuwa kichwa ni zaidi ya 'majukumu'(father figure) malezi , sijui niongeaje...
Mi mwanaume mpole mpole simtaki ,aweze kuni control Kila mahali, yaani mwanaume anakuwa na mamlaka akiongea
 
Kwani tunaposema mwanaume majukumu , wanawake hawasaidii?
Mbona mama zetu wamesaidia sn japokua baba ndo anasimama pale huku mama anam buck up.
Ht wanawake Wana mchango sn tu Haina maana mwanamke asitoe chochote huo ni uongo
kulisha familia ni kazi ya kiongozi mkuu

kama wote mnalisha familia, wote ni viongozi

hakuna ubaya

hata hivyo sioni mambo ya familia yanayohitaji uongozi zaidi ya uchumi(kwa dunia ya sasa) labda nakosea
 
Back
Top Bottom