Je, kuna umuhimu mume/mwanaume kumuachia mwanamke usukani wa gari? safari zote mwanamke afanye?

Mkuu Duniani humu ukipanda daraja kidogo tuu ukiwazidi wengine tayari unatengeneza chuki + mitafutano inaanza.

Yaani ajabu ni kuwa watu wanataka tuishi kama watakavyo au wote tuwe sawa.

Sasa huyo Boss kaona aepuke shari mapemaa....mpaka kaamua kabisa kukaa siti za kati si mchezo.
,ndio hivyo mkuu,Yule mzee alikuwa hana makuu,na mara nyingi alipenda kutembea kwa miguu kama sehem ya mazoezi
 
,ndio hivyo mkuu,Yule mzee alikuwa hana makuu,na mara nyingi alipenda kutembea kwa miguu kama sehem ya mazoezi
Hapo safi kabisa...Nimeipenda hiyo Boss.

Mara moja moja pia kupasha sio mbaya.
 
100kph ni spidi kali sana kwenye rough road hata iwe nzuri kiasi gani
Tatizo kubwa kwenye barabara hizo ni grip, gari haikamati vizuri barabara kama inavyofanya kwenye lami , unaweza kupata dharula ya breki , unakanyaga gari inazunguka na kuanguka hapo hapo. Hutaamini macho yako kuwa umekoga vumbi. Just miliseconds
Aisee kumbe huwa nahatarisha usalama wa magari ya watu, mie huwa naona kawaida tu tena huwa natembea kibati ili kufukia rasta na mashimo madogo madogo
 
Zipo fresh lakini kwa gari la kawaida mkuu kama alivyotaja dada hapo binafsi naona lazima utumbo ukorogwe...

Hapa nafanya assumption gari la kawaida ni kama kina Spacio, IST, RunX, Wish, Isis na ndugu zao wote (yaani yale magari ambayo yameundwa kupita kwenye lami)...

Ila kuna gari kama Kilimo kwanza, Harrier, Pickup 4x4 yoyote, Landrover, Mkonge na ndugu zao wote hao wakubwa wakubwa, sasa hizi mimi naziona sio za kawaida kwa sababu zimeundwa kuvumilia shurba
Hapo sawaa mkuu nimekuelewa vyema maana mie akili yangu ilikuwa kwenye SUV 4WD
 
Back
Top Bottom