Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Hiyo ni bahati tu na si vinginevyo.
Alikuotesha mbawa ukapaa?
Kama sio umejuaje ni yeye?
Tatizo najua kila kitu kuhusu nature ya conversations za meaningless conversations za namna hii

Mkuu, you'll never know it by thoughts or the thinking chaotic mind..

You'll know with exception of body, mind activity. Hizi ni zana tu ila hazikufikishi katika utambuzii

Ukiendelea kutafuta ndo utapotea zaidi.

The Bible says, "be still and know that I am God."
 
hujawahi pitia mambo ukaona kama hakuna Mungu😀😀😀
na hujawahi ponea chupuchupu kwenye shida au msala unajua kabisa ulikua hutoboi yaani unajua kabisa hapa ni Mungu tu😀😀
Huyo Mungu angekuwepo, shida na misala visingekuwepo.

Mungu huyo ange epusha vyote.

Mungu huyo hayupo, Ndio maana Duniani kuna shida na misala ya kila aina.

Na HAKUNA YEYOTE wa kuepusha CHOCHOTE.
 
Una

Unataka apipitie magumu gani unaona wewe NI mazito?
Mleta Mada kaeleza vizuri kuwa kwa mambo yanayoendelea duniani Mungu na Uwezo wa Mungu uko wapi? Hizo neema zake na Ukuu wake unaonekana kwenye nini?
na wewe unapitia magumu? usijali tuko pamoja ila usinilaumu mimi😀😀😀endelea kumlaumu Mungu mkuu
 
Ni Kila kitu kilichokuzunguka, unavyonusa, unavyoona na unavyohisi, vinqvyoonekana na visionekana Hadi anga.
Basi huyo ndiye Mungu plus kila kitu kilicho sababisha uwepo wa hayo yote na ndicho kibebayo hayo yote. Yanayo onekana na yasiyo onekana
 
Huyo Mungu angekuwepo, shida na misala visingekuwepo.

Mungu huyo ange epusha vyote.

Mungu huyo hayupo, Ndio maana Duniani kuna shida na misala ya kila aina.

Na HAKUNA YEYOTE wa kuepusha CHOCHOTE.
uko sahihi kabisa😊
 
Mtoa mada kwanza unatakiwa utambue kwamba Mungu yupo na ni mkuu na wa milele,halali wala hasinzii,hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anaefanana nae/nacho.
Mungu yupo na anaonekana kwa wanaotumia akili zao sawa sawa kupitia alivyoviumba.
Mimi naomba nikupe njia moja tu ndogo ifanyie uchunguzi na kuanzia hapo utaona uwepo wake.
NJia yenyewe ni hii:
Tafuta somo/makala yoyote inayozungumzia MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA KWA BINADAMU.
Kama hapa hujaelewa tafuta somo/makala ya REPRODUCTION SYSTEM YA BINADAMU
Soma au tazama video za makala hizi kwa UMAKINI MKUBWA....kama akili zako zimetulia hapo Mungu utamuona.
Ukijitoa akili tu kwamba hayupo utaishia kuona chenga tu na utaendelea kuungana na lile kundi la maiti zinazotembea zisizoamini uwepo wa aliyewaumba..... Yeye hujidhirihisha kwa wenye akili tu.
 
Kama ungekuwa unajua kwa uhakika kabisa Mungu yupo, Swali la "Je kuna Mungu?" Lisingekuwepo.

Kwa sababu huwezi kuulizia kitu ambacho tayari unajua kipo.

Ni sawa sasa hivi uanze kuuliza, "Je Samia Suluhu Hassan ni Raisi wa Tanzania?" Wakati tayari unajua kabisa ni Raisi.

Sasa na kwa Mungu ni hivyo hivyo, Huyo Mungu angekuwepo kweli, Wala kusingehitajika kuulizia uwepo wake.

Kwa sababu tayari kila mtu angejua Mungu huyo yupo kwa uhakika kabisa bila hata kuamini na kuuliza.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Kwa hiyo kuwa "believer" haimaanishi kwamba ukiaminicho kina ukweli bila uthibitisho.

Kwanza lazima uthibitishe uwepo wa huyo Mungu na sio kuamini tu.
Wewe unachopinga ni uwepo wake physically au?

Maana kumbuka sio kila kitu kina onekana kwa macho ya nyama..

Let alone wewe mwenyewe haujui chanzo cha uhai...iweje uje uulize aliyekupa huo uhai ni nani.

When we use egoic flesh tunakosea sana. Ndo maana hata Buddhist wanaachana na flesh and mind kwanza..

Haya mambo na hizi stage utazivuka ukiwa consistent kufatilia hili jambo. Usibaki kwenye questionnaire.. Nenda kwenye practices pia itakusaidia zaidi
 
uko sahihi kabisa😊
Unakubali tu ili yaishe?

Au unatambua na kujua kwamba, Kuwepo kwa Mungu ambaye anadaiwa ni muweza wa vyote, mjuzi wa vyote, mwenye upendo na huruma kwenye Dunia iliyojaa uovu na mabaya kuna tengeneza utata?

Kwa sababu haiwezekani Mungu mwenye upendo na huruma, mjuzi wa vyote na muweza wa vyote awepo kwenye Dunia iliyojaa uovu.

Ni either Mungu huyo hana upendo na hawezi yote ndio maana Dunia ina mabaya.

Au Mungu huyo hayupo ndio maana Dunia ina mabaya.

Lakini mtu akisema Mungu anaweza yote na amejaa upendo na huruma. Wakati hapohapo Dunia imejaa Maovu ya kila aina. Kunatengeneza Utata.
 
Kuhoji sio kutokujua bali kujiuliza kwanini unahisi nafsini mwako yupo..

I was once a non believer ila nilipo fikia the verge of breaking na akaingilia kati kuni okoa.. Hapo si kutaka hata kuuliza kwanini yupo
Thanks tushirikishe kidogo testimony yako mkuu.
 
Hakuna mwana sayansi au tafiti za kisayansi imethinitisha hilo" wala "kupinga" uwepo wa Mungu kwa kutumia vipimo vya kimaabara,

jibu la swali hili mara nyingi hubaki kuwa la imani ya mtu binafsi, mtazamo wake wa kifalsafa, na jinsi anavyotafsiri mazingira na maisha yanayomzunguka.
 
Unakubali tu ili yaishe?

Au unatambua na kujua kwamba, Kuwepo kwa Mungu ambaye anadaiwa ni muweza wa vyote, mjuzi wa vyote, mwenye upendo na huruma kwenye Dunia iliyojaa uovu na mabaya kuna tengeneza utata?

Kwa sababu haiwezekani Mungu mwenye upendo na huruma, mjuzi wa vyote na muweza wa vyote awepo kwenye Dunia iliyojaa uovu.

Ni either Mungu huyo hana upendo na hawezi yote ndio maana Dunia ina mabaya.

Au Mungu huyo hayupo ndio maana Dunia ina mabaya.

Lakini mtu akisema Mungu anaweza yote na amejaa upendo na huruma. Wakati hapohapo Dunia imejaa Maovu ya kila aina. Kunatengeneza Utata.
Nashauri kasome the stori of job..
Au kaangalie video YouTube.. Inakusaidia kumwona Mungu katika zone zote za ubaya na uzuri... Akiwa na lengo la kukujenga kiimani
 
Kwa nini mnahangaika kumtetea na kumuelezea huyo Mungu?

Kama yupo, Si ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea, kama ana huo uwezo?

Kwa nini nyie muongee kwa niaba yake?

Kama yupo, AJE na AJITOKEZE Yeye mwenyewe.

Sio nyie mnahangaika kumtetea na kumuelezea.
Ni kwasababu umeuliza swali kwenye page yetu, huku tupo sisi😁
Au unataka Mungu awashe data aingie jf kukujibu hapa kwenye comment
 
Unakubali tu ili yaishe?

Au unatambua na kujua kwamba, Kuwepo kwa Mungu ambaye anadaiwa ni muweza wa vyote, mjuzi wa vyote, mwenye upendo na huruma kwenye Dunia iliyojaa uovu na mabaya kuna tengeneza utata?

Kwa sababu haiwezekani Mungu mwenye upendo na huruma, mjuzi wa vyote na muweza wa vyote awepo kwenye Dunia iliyojaa uovu.

Ni either Mungu huyo hana upendo na hawezi yote ndio maana Dunia ina mabaya.

Au Mungu huyo hayupo ndio maana Dunia ina mabaya.

Lakini mtu akisema Mungu anaweza yote na amejaa upendo na huruma. Wakati hapohapo Dunia imejaa Maovu ya kila aina. Kunatengeneza Utata.
siwezi kubishia unachokiamini, siwezi kubadilisha mtazamo wangu kwa sababu umesema lakini pia siwezi kukulazimisha usmini ninachokiamini
hivyo bado upo sahihi kwa mawazo yako
 
Hakuna mwana sayansi au tafiti za kisayansi imethinitisha hilo" wala "kupinga" uwepo wa Mungu kwa kutumia vipimo vya kimaabara,

jibu la swali hili mara nyingi hubaki kuwa la imani ya mtu binafsi, mtazamo wake wa kifalsafa, na jinsi anavyotafsiri mazingira na maisha yanayomzunguka.
Mkuu kuna sisi ambao unafika stage una transcend mitazamo na falsafa yaani unagundua vyote ni kuzunguka mbuyu tuu.

Na hapo ndo ule ukweli usio na pande huja.. Yaani unakuwa umevuka good and bad. Unabakia ukweli tu.. Na sio wa kuanza ku prove kwa watu
 
Back
Top Bottom