Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,899
- 22,115
ShwainSaid by who, really? By a person whose mind is full of Illusion
Pumzi unayoivuta na uhai ulio nao amekupeni Mungu.
Yeye yupo jana, leo na hata milele.
Habari njema ni kwamba anakupendeni nyote, licha ya kudhani kwa kuukana uwepo Wake, anaweza kutoweka kweli.
Uthibitisho uko wapi?Ukifa umekufa hakuna maisha baada ya hapo.
Unaweza kuweka mfano mmoja, labda? Jinsi ambavyo dini inajenga unakisihi changamani (inferiority complex)?Dini na vitabu vyake vimekuja ku regulate tabia za binadamu na kututawqla kutengeneza inferiority kwetu.
Tambua kwamba dini (kwa mantiki ya imani juu ya Mungu), ni ya kale kama ulivyo ubinadamu wenyewe.Waliokufa kabla ya hizi dini walienda wapi??
Unasomaje Maandiko? Wapi hapo imesema hakuna maisha baada ya kifo?Nikileta andiko utaamini?
Mhubiri 9:5&6
"Walio hai wanajua kuwa watakufa lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe. Ikimaanisha no life after death, kunakuwa hakuna utendaji wowote.
Mhubiri 9:10
"Jambo lolote unalofanya kwa mkono wako, lifanye kwa nguvu zako zote, kwa maana hakuna kazi, mipango, ujuzi wala hekima huko uendako(kaburini/kuzimu)
Uliza swali moja ueleweke na ujibiwe sio unaandika inshaUthibitisho uko wapi?
Unaweza kuweka mfano mmoja, labda? Jinsi ambavyo dini inajenga unakisihi changamani (inferiority complex)?
Tambua kwamba dini (kwa mantiki ya imani juu ya Mungu), ni ya kale kama ulivyo ubinadamu wenyewe.
Dini imekuwepo mara tu wanadamu walipoumbwa.
Unasomaje Maandiko? Wapi hapo imesema hakuna maisha baada ya kifo?
Maandiko ambayo umenukuu yanasema tu kwamba mtu afapo, anakoma kuishi kwa vyovyote vile -- kiroho, kimwili, kiakili.
Lakini kuhusu nini kitatokea baadaye, maandiko husika hayasemi chochote.
Ukisema:
Watu wa kizazi hiki hawalali kabisa.
Je, maana yake ni kwamba hawalali kabisa siku zote?
Hivi siyo kwamba kauli hiyo inazungumzia kipindi fulani mahususi?
Maandiko hayo pia yanapaswa kueleweka kwamba kwa kipindi mtu afapo, awapo kaburini, muda huo hakuna chembe yoyote iliyopo ya uhai wake, ama kiroho, kimwili, au kiakili.
Mtu huyo anakuwa amekoma kuwepo, kana kwamba hakuwahi kuzaliwa kamwe.
Lakini maandiko hayo hayasemi chochote kuhusu kudumu katika hali hiyo ya umauti milele.
Umewahi kusikia kuhusu habari ya ufufuo wa wafu?
The dead remain in their grave until resurrection -- when Jesus Christ will call them forth from their grave for judgment.
unafahamu nishati iliyopo kwenye sperms? Na chanzo chake?Shahawa na manii ni udongo?
Nice commentyah!!!,,,,angalia unavolala[zoezi la kufa},,,,kama ni msaarab,unaoga,unasali,unaingia kitandani,unajifunika shuka{kama sanda] alaf unapoteza fahamu!!!!!!!!!!!!!!!!,,,,,,,,,,,,,,,,,,then unaota mambo yalokutokea mchana,mambo ya kale,,,,na kamauna kaunabii flan,unaota mambo yajayo,,then asubui au wakati flan unaamka,,,unaona,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!!!!maajabu hayo?????so jitahidi kuwa msafi kadri uwezavyo!!!
Everybody knows that ^a long time^ doesn't mean forever. Does it?YOLO! You only live once and die for such a long time
Acha uvivu na ufinyu wa akili, wewe. Hoja na maswali yote yanategemea hoja na maswali yaliyopita.Uliza swali moja ueleweke na ujibiwe sio unaandika insha
Tatizo unachanganya wanaoamini Mungu hayupo na wanaoamini dini za ukristo na uislam siyo dini za WAAFRIKA wamebambikizwa na wao kuzipokea pasipo kujiongeza.Nafsi pekee inakiri hilo huku haijijui kama wewe ushahidi mwepesi kama mzee yule kaishi maisha ya kusema Mungu hayupo mpaka uzee wake aling'atwa na mbwa akabatizwa yote ni maandalizi ya aendako kingine usingizi nalo ni jawabu tosha
Swali zuriUkifa umekufa hakuna maisha baada ya hapo. Dini na vitabu vyake vimekuja ku regulate tabia za binadamu na kututawqla kutengeneza inferiority kwetu.
Waliokufa kabla ya hizi dini walienda wapi??
Duuuh akili yako ndo inaishia hapo bhac ume fail mzeeKula sana bata, kula kimasikhara hakuna maisha baada ya kifo.......ukifa umekufa no longer mzeee
🤔Maisha yapo si ndio maana wanaoenda hawarudi tena?
Mkuu cha kwanza kabisa amini kama Mungu yupo na siku ya mwisho siku ya kulipwa matendo yako yote uliyofanya Dunian ipo pia, so kuna maisha mengine baada ya kifo yapo na utayakuta...Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Oya vitu vyengine mnakufuru wazeeMungu ni nini? Na yuko wapi? Kazi yake katika maisha yako ni nini?
Unasemaje kuhusu mada iliyoandikwa humu siku za nyuma,ilikuwa inasema uingo mkubwa ulowahi kutokea duniani?! Unadhibitishaje kwamba kinachoongelewa si kweli?
Wanyama nao wanakufa pia mkuu 😂😂😂😂, nakuwa sehemu ya udongo vile vile.Na akiliwa na wanyama?
Aje lakini?Oya vitu vyengine mnakufuru wazee