Je kuna haja ya kuwa na walinzi wengi hivi wa Rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna haja ya kuwa na walinzi wengi hivi wa Rais?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RayB, Feb 21, 2010.

 1. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Hii thread ni matokeo ya maoni mwili matatu toka thread ya eRRy84 ktk jamii photos iliyoonyesha camera yenye umbo la silaha ndogo sijui ni bunduki, bastola au pistol maneno hayo huwa yananichanganya. Hii ilinifanya nikumbuke walinzi wa Raisi wa Tanzania. Hivi kuna haja ya kuwa na walinzi wengi kiasi kile?

  Kwanza huwa natatizwa sana na yule mjeshi anayekaa nyuma yake, kazi yake nini? Kumpa hotuba na kubadilisha glass ya maji? Mbona marais kama Obama na PM Brown sijawaona wakiwa na watu hao? Ni bodyguard yule? Sasa na hawa usalama wa pembeni nao je?

  Mimi nilikuwa nafikiri ulinzi wa viongozi unaogezeka pale kiongozi wa nchia anapokuwa ni victim na threats sasa huyo wa Bongo naye? Mi naona jamaa wankula Bata tu hasa katika misafara kama hii ya Uturiki kuchukua PHD. Je wewe unalionaje?
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,402
  Likes Received: 2,024
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu anabeba walinzi lukuki anakwenda ziara nje na utashangaa mama Salma eti yuko Singida anawahimiza watoto wa kike wasome ne WASIDANGANYIKE sasa mama mumeo yuko na nani na alala na nani?.
   
 3. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Malizia na Mama Salma naye anakuwa na walinzi kibao naye kazi kweli kweli.
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu unge tusaidia kwanza kwa kutuambia raisi ana kuwaga na idadi gani ya walinzi na idadi gani wewe unaona ana paswa kuwa nayo. Maana bila kutuambia idadi tuta juaje wengi ni wangapi?
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Feb 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  mkiona tunajiongeza ulinzi , mjue tunawaibia.
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,851
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  kunguru mwoga..................................????
   
 7. b

  bi kilembwe Member

  #7
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vita ni vita mura... hata ya maneno ni vita so inahitaji ulinzi mkali kama huo... hapo umesahau ulinzi usioonekana kwa macho...
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Feb 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  miaka saba ama nane nyuma niliwahi kuona msafara wa IGP MAHITA, akitokea Ukonga [kwenye nyumba ndogo ama bi mdogo, ama mke mdogo......sina hakika, ila jirani zake wanajibu.]
  alikua anaongozwa na magari mawili mbele ya POLICE, na mbele kabisa kulikua kuna Pikipiki ya KING'OLA, kisha kushoto kuna gari lingine linatembea usawa wa lile la IGP.
  NYUMA KUNA land rover 110, INAPOLICE WENYE SIRAHA, anaelekea makao makuu ya POLICE hapa DSM.
  hali hii aliendelea nayo mpaka Bunge nafikiri lilimkemea.
  Juzi nikakutana Mkuu wa Majeshi Tanzania Ndugu Mwamunyange, ALIKUA kwenye Shangingi LAND cruiser GX , akitokea Kawe, anakokwenda sikujui maana ilikua ni kama saa kumi jioni, alikua yeye , Dereva wake , mLINZI WAKE SITI YA NYUMA.
  mbwembwe za wakuu zinaashiria , vituko, kupenda mamlaka, kutokutenda haki, wizi wa mali ya UMMA, kuwasaliti wezi wenzao, either kwa nia njema , ama kwa nia za kifosadi.
  kwenye nnchi kama hii , ambayo mzee Mwinyi[Rais Mstaafu] anaweza kutembea mitaani akiwa na bakora yake, na kusiwe na wakumdhuru, sasa Muombe Che Mkapa akatishe mtaawa Kongo kwa miguu, kama wamachinga hawatamtenda, ama aende Pemba , bila walinzi lukuki, akakione kilichomtoa kanga manyoya.
  "........mkiona tunajiongezea ulinzi mjue Tunawaibia...." JK Nyerere.
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,196
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Malizia na mama huko naye analala na nani.
   
 10. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,564
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  Mtoa hoja anauliza mbona Obama au PM hawana wapambe, lakini hoja bado haitoshi kusema kama Raisi wa bongo anawalinzi wengi? Ukimlinganisha na Marais wa East Afrika manake kama Piere Nkurunzinza ndio batarian nzima iko front na akipita JK cha mtoto kabisa inawezekana kutokana na hali tete ya huko Kagame sisemi ikoje na Mjeda M7 je mtafikiria ikoje, Bongo peace mzazi.

  Kali kuliko yote ni Kenya mwenyewe nimeshuhudia Kibaki anapewa escort ya kijeshi ya kufamtu mpaka katika run way ndege ikipaa ndio wajeda wanaondoka sijawahi kuliona hili bongo ndege inaenda kuruka na gari za walinzi zinaizunguka. Sinautaalamu wa mambo ya ulinzi lakini kama mwananchi aliyetembea kidogo bongo ulinzi mdogo tena ikibidi uongezwe manakke raisi kesha shambiliwa Mbeya.

  Kuhusu Obama au PM ulinzi wao ni mkubwa na msilinganishe kabisa na hata gharama yake ni kubwa, Bush kaja bongo hotel zote zilijaa wanajeshi na mashushu hapa wiki kabla na baada ya kuondoka. Labda kama kuchangamsha baraza
   
 11. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sawa yule jamaa mjeshi anayekaa nyuma na kubadilisha glass za maji ana umuhimu kweli? Huyu ndo niliuliza kwa kina Obama sijaona mtu kama huyo?
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,632
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mmkiona tunajiongezea ulinji, mjue hatuwaamini wananchi tunaowatawala!! Na kama hamuwaamini mjue hawawapendi!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...