RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Hii thread ni matokeo ya maoni mwili matatu toka thread ya eRRy84 ktk jamii photos iliyoonyesha camera yenye umbo la silaha ndogo sijui ni bunduki, bastola au pistol maneno hayo huwa yananichanganya. Hii ilinifanya nikumbuke walinzi wa Raisi wa Tanzania. Hivi kuna haja ya kuwa na walinzi wengi kiasi kile?
Kwanza huwa natatizwa sana na yule mjeshi anayekaa nyuma yake, kazi yake nini? Kumpa hotuba na kubadilisha glass ya maji? Mbona marais kama Obama na PM Brown sijawaona wakiwa na watu hao? Ni bodyguard yule? Sasa na hawa usalama wa pembeni nao je?
Mimi nilikuwa nafikiri ulinzi wa viongozi unaogezeka pale kiongozi wa nchia anapokuwa ni victim na threats sasa huyo wa Bongo naye? Mi naona jamaa wankula Bata tu hasa katika misafara kama hii ya Uturiki kuchukua PHD. Je wewe unalionaje?