johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,108
Kweli kabisa!Nafikiri waendelee tu bungeni....
they will drug you down to their level and beat you with experience
Una akili sana.Nilivyomsikia anasema vile,nikajua Mchezo umeisha
Mahakama,chadema hawatoki,tume uchaguzi ndo hakuna jipya,
alafu ni kama calculated move,Huku ACT Wamemaliza znz,huku bara wamemaliza kesi pia..
Acha kujifariji wale wameshafukuzwa tayari, chadema wameshamaliza kazi yao ata wakiendelea kwenda bungeni ni uthibitisho serekali ya magufuli haifuati katibaNilivyomsikia anasema vile,nikajua Mchezo umeisha
Mahakama,chadema hawatoki,tume uchaguzi ndo hakuna jipya,
alafu ni kama calculated move,Huku ACT Wamemaliza znz,huku bara wamemaliza kesi pia..
Hayo sasa unasema wewe,hilo jambo spika kaliacha kwa Mahakama na Tume iliyopeleka majina,Acha kujifariji wale wameshafukuzwa tayari, chadema wameshamaliza kazi yao ata wakiendelea kwenda bungeni ni uthibitisho serekali ya magufuli haifuati katiba
Chadema ni taasis huru inayotambulika kikatiba hawez Pangiwa na mahakama au tume kwenye maamuzi yao, sababu wao wanavigezo vyao vya yupi awe mwanachama au asiye mwanachamaHayo sasa unasema wewe,hilo jambo spika kaliacha kwa Mahakama na Tume iliyopeleka majina,
Mengine yanabaki maneno,
Hilo jambo lilishaisha kabla hata halijaanza,
Katiba yetu inasemaje?Nafikiri waendelee tu bungeni....
Time will tell mkuu,Chadema ni taasis huru inayotambulika kikatiba hawez Pangiwa na mahakama au tume kwenye maamuzi yao, sababu wao wanavigezo vyao vya yupi awe mwanachama au asiye mwanacham
Nje ya mada Najiuliza tu "hivi Chakubanga alivyokuwa akimuita yule "jamaa" Mzee Madevu ana hali gani huko aliko!!?Wanawake 19 Hawana Wasi Wasi Wowote
Ccm Ikiwa Upande Wako Unadhani Nini Kitatokea!....
Alikuwa Anamdharau Ila Sasa Hivi Haa😀😁😂Nje ya mada Najiuliza tu "hivi Chakubanga alivyokuwa akimuita yule "jamaa" Mzee Madevu ana hali gani huko aliko!!?
Chandimu bwana, hata hawajui wanataka nnSpika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia.
Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa uanachama wao huko Chadema?
Maendeleo hayana vyama!
Spika ndo Nani kwa chadema hawez wapangia kitu Cha kufanya, jaribio lolote ni kukanyaga katiba na sio kuikomoa chademaTime will tell mkuu,
Afterall tunazungumzia kauli ya spika,hayo mengine ni speculation tu,
ila tunaofahamu siasa za kitanzania,kwa mbaali,jambo kama lishaisha,
Chadema ndio wataonekana losers,Act walau,
Kuna msemo unasema,Bora kuambulia kitu,kuliko kukosa kabisa..