Je, kufuatia utetezi wa Spika Ndugai kwa wabunge wa Chadema kuna haja ya wabunge hao kukata rufaa baraza kuu kudai Uanachama!

Mi nashauri mdee na wenzake waanze kushona suti kwa sababu kazi "shira"😂😂
 
Wanawake 19 Hawana Wasi Wasi Wowote
Ccm Ikiwa Upande Wako Unadhani Nini Kitatokea!
Hapo Sasa Hivi Ndiyo Kwenye Kilima Kinashushwa
Kwenye Bonde Panajazwa!!!😀😁😂😅😄😐😃
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Ushawahi ona nyoka mwenye njaa anamtetea PANYA asiliwe na paka?
Ipo hivi...
Kwenye kamati za bunge, hasa zihusuzo fedha, kunatakiwa kuwe na wanakamati toka upinzani.. tena pasu pasu.. Sasa CCM hawakulikalkuleti hilo kwenye uchaguzi wa wabunge majimboni, kwamba wangeachia majimbo kadhaa kwa maana ya kupata wapinzani wa kuwaweka kwenye kamati... !!! Sasa kwenye uchaguzi wa majimbo, upinzani huku bara wapo wawili tu..!! hawatoshi kwenye kamati...!! na uchaguzi ushapita.. SASA WATAFANYEJE..??? Ili wawapate wa kuwaweka kwenye kamati, iwe isiwe, lazima hao 19 watetewe kwa nguvu zote, maana vinginevyo mambo yanakwenda kuharibika...!!! HAPO NDIPO UNAPOONA SPIKA ANATETEA KWA HALI NA MALI UWEPO WAO BUNGENI...

Tusisahau, Sophia Simba alishawahi vuliwa ubunge kwa mambo kama haya.... wale nane wa CUF nao si tunajua..!!
 
Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia.

Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa uanachama wao huko Chadema?

Maendeleo hayana vyama!
Dunia imshangae mara ngapi?
 
Chadema wameshafanya jukumu lao, basi. Kazi ya kumtoa mtu bungeni au kumbakisha kwa sababu yoyote ile iwe inafuata sheria au inakiuka si jukumu la chadema.

Sijasikia wala kuona popote chadema wamesema akina Halima wafutwe ubunge. Hili ni suala la kikatiba, kuwa Mbunge kwa tiketi ya chama, na si takwa la chadema.

Mjue tu pamoja na kushangilia, kuwabakiza hao bungeni ni kuvunja waziwazi sheria za nchi, na kwakuwa awamu hii si jambo geni kuvunja sheria, hakuna wa kushangaa.
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia.

Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa uanachama wao huko CHADEMA?

Maendeleo hayana vyama!
waendelee kwa tiketi ya spika wa bunge la ccm
 
Wale wabunge wakiendelea kumfuata ndugai watapotea.Ndugai hana fact zozote za kisheria katika swala la kina mdee zaidi ya ubabe.Kwa Hali ilivyo hata wakiingia bungeni nao watakuwa wanavunja katiba vilevile
 
Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia.

Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa uanachama wao huko CHADEMA?

Maendeleo hayana vyama!
Kuna bunge lipo sehemu gani?
 
Wakati mwingine nafikiri kumlaumu Mh. Ndugai sio sawa hasa.
 
Chadema wameshafanya jukumu lao, basi. Kazi ya kumtoa mtu bungeni au kumbakisha kwa sababu yoyote ile iwe inafuata sheria au inakiuka si jukumu la chadema.

Sijasikia wala kuona popote chadema wamesema akina Halima wafutwe ubunge. Hili ni suala la kikatiba, kuwa Mbunge kwa tiketi ya chama, na si takwa la chadema.

Mjue tu pamoja na kushangilia, kuwabakiza hao bungeni ni kuvunja waziwazi sheria za nchi, na kwakuwa awamu hii si jambo geni kuvunja sheria, hakuna wa kushangaa.
Safi sana umetoa lecture iliyonyooka yaan kama ccm tu walivyomfukuza Sofia Simba!
 
Back
Top Bottom