johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Spika Ndugai amesema yeye ameshawaapisha wabunge 19 wa Chadema na kwamba kamwe hatawafukuza kwa sababu akiwafukuza dunia nzima itamshangaa na ataingizwa kwenye orodha ya maajabu ya dunia.
Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa uanachama wao huko CHADEMA?
Maendeleo hayana vyama!
Kufuatia kauli hii ya Spika Ndugai kuna haja tena ya Halima Mdee na wenzake 18 kuhangaika kudai kurejeshewa uanachama wao huko CHADEMA?
Maendeleo hayana vyama!