Puerto Rico ya ChattleJe Kiusalama na Kiulinzi ni ' afya ' kwa Kiongozi yoyote yule wa nchi kulindwa na askari waliobeba silaha kali na nzito popote pale anapokuwa au hasa akiwa katika halaiki ya Watu? Na kama ni sahihi je hawa Walinzi wanaoonekana wamebeba hizi ' silaha ' nzito wanaaminika vipi na Wenzao waliopo kuwa labda hawawezi ' kugeuka ' nyuma au wale waliopo nyuma hawawezi ' kumshambulia ' Kiongozi wetu?
Nitafurahi sana endapo nitajibiwa haya maswali yangu kwani kwa siku za hivi karibuni namuona sana Rais wa huku nilipo nchini Puerto Rico ' akilindwa ' namna hiyo hivyo nikaona si vibaya nikiwauliza ' Wabobezi ' wa masuala ya Kiulinzi na Kiusalama mliopo huko Tanzania mnisaidie kunifafanulia Kitaaluma na Kiueledi kabisa.
Nawasilisha na karibuni mno nchini Puerto Rico wana JF.
Mbona nipo huku siku nyingi sana Mkuu? Labda Wewe ni ' Mgeni ' Kwangu ila karibia 80% ya wana JF wanajua kuwa GENTAMYCINE naishi nchini Puerto Rico. Vipi unajisikia vibaya Mkuu kusikia Mimi naishi huku na Wewe mpaka sasa bado uko tu katika ' vumbi ' la Tanzania? Hata hivyo nitashukuru kama utanijibu swali langu.
mkuu wewe ni kunchelile kwali mwenga (ngindo) au jina tu lipo kidizaini hiyoPengine wadau hawajang'amua ulichomaanisha, hilo jina la nchi wala si hoja kwenye hoja yako sio? Hoja ni swali ulilouliza, sahihi?......ngoja tuendelee, watakuelewa tu.
Mkuu Ban Inachukua Muda Gani? Au Inategemea Na Kosa?The Bold alipata majanga juzi aisee, ilihusika na kupost jina la website yake na kuiweka link ndio maana akala ban aseeh..so sad
yeah inategemea na kosa...kuna saa kadhaa..siku 1,2,3..wiki, mwezi, miezi,mwaka na hata PERMANENTMkuu Ban Inachukua Muda Gani? Au Inategemea Na Kosa?
Asanteyeah inategemea na kosa...kuna saa kadhaa..siku 1,2,3..wiki, mwezi, miezi,mwaka na hata PERMANENT
poa mkuuAsante
Hii Puerto Rico inayozungumzwa hapa siyo nchi ya wadanganyika kweli maana mkuu wa nchi ile juzi kwenye maonyesho ya tisatisa alikuwa full maaskari wenye masilaha.
Kiufupi hili jambo lina faida na madhara yake,tena makubwa!!
Kapigwa ban tena?The Bold angekuwa hajapigwa BAN angetufafanulia vizuri kweli..yule jamaa anayajua sana haya mambo ya intelijensia
Ndio mkuuKapigwa ban tena?
Nini kimetokea..maana THE BOLD ni mtu makini kweli..lkn waropokaji naona "tupo" tu hatujui hata ban zinafananje