Nimeona wagonjwa wakiwa wanasubiri ventilator ICU, yuko kwenye 15 litres za oxygen bado sats ni 82. Huu ugonjwa ni hatari sana.
Uliowaona wewe walikua wanaugua magonjwa mengine,sio hiyo corona uliyoambiwa...hahaaa nacheka kwa dharau na kejeli...hizi SINEMA sijui zitaisha lini...eti huu ugonjwa ni hatari sana...
1.Uhatari wake unatokea wapi wakati data zenu zinaonesha wazi kwamba unaua watu 3 tu kati ya 100? dont you have a brain to think about such a very vivid and simple data?
2.Unaweza kunipa jawabu hao watu 97 waliobaki wanaponaje corona wakati tumeambiwa haina kinga wala tiba wakati tumeambiwa corona ni hatari sana?
3.Unaijua TB wewe? TB ni ugonjwa hatari zaidi duniani unaoambukizwa kwa njia ya hewa...unajua TB inaua watu wangapi kwa siku na inaambukizwa kwa watu wangapi kwa siku ukilinganisha na hii SINEMA yenu ya corona?
Recent data inaonesha kwamba TB inaua watu 4000 kwa siku,narudia watu ELFU NNE wanakufa kila siku kwa TB ambao ni ugonjwa wenye kariba moja na huo upuuzi wenu wa corona...hiyo SINEMA yenu ya corona inaua wangapi kwa siku?
TB usipotumia dawa unakufa kifo kibaya sana,hiyo corona yenu hata usipotumia dawa unaponda maisha tu....dont you have a brain to think.....au unaendeshwa na MEDIA zinamilikiwa na magharibi?....ifike wakati tutumie akili zetu za asili au common sense,tusishikiwe akili na wazungu....
4.So far hakuna daktari yeyote wa kibongo aliyewahi kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na kile tulichoambiwa kuhusu corona virus,tunachofanya ni kushabikia na kuongeza chumvi na kumpa sifa zisizostahili corona virus kwa kutumia akili za kuambiwa tu....
Hivi kwanza watu wanajua pia kama tumeambiwa kwamba corona virus si kitu kigeni?Tunaambiwa pia kwamba corona virus wamekuwepo kwa wanyama kama kuku nk tangu mwaka 1930,nani anajua hilo?
Tunaambiwa pia kwamba case ya kwanza corona kugundulika kuwepo ndani ya mwili wa mwanadamu ni mwaka 1960....nani anajua hilo,au mnafunika kombe?...kwanini sasa hatukua washambenga miaka ya 1960 kumshabikia corona virus na kumtangaza kwamba ni hatari miaka hiyo ya 1960?.....au corona virus huyu wa sasa amebadilika/sio sawa na yule wa mwaka 1960?...
Acheni kushabikia vitu msivyovijua undani wake.....hizi ni biashara na mipango ya watu,msidandie train kwa mbele.
Kama kuna mtu ana hoja kuthibitisha kwamba Corona ni hatari sana aruke mezani.