Je, kirusi 'Virus' ni kiumbe hai au la?

Je, kirusi 'Virus' ni kiumbe hai au la?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,034
Reaction score
900
Leo katika kipindi cha PB Clouds Fm nilimsikia Masoud Kipanya, akimuuliza Sam Sasali kama Kirusi "Virus" ni Kiumbe Hai au la!

Ningependa kujua kuhusu hili swali wakuu.

====

Kirusi ni kweli kina tabia za viumbe hai na visivyo hai.

Lakini kwenye upande wa tabia za viumbe hai hakikamilishi sifa zote kama excretion, growth na reproduction

Kina act kama kiumbe hai kikiwa ndani ya host cell na kinatumia protein machinery ya cell kupitia control room ya cell ambayo ni nucleus ambamo kuna DNA na kuunda copy zake nyingi nyingi kisha seli hufa na kuachia virusi wengine wengi.

Lakini kikiwa nje ya host cell kinakuwa ni kama molecule kama ilivyo molecule ya chumvi au hydrocarbon yaa protein coat yenye nucleic acid ndani yake

Ni ngumu ku deal na virus kwa sababu kudeal na virus kunahitaji udeal na means yake ya kujiunda kupitia host cell
Kumaanisha utahitajika ku deal na genetic material yake ili kumdhibiti lakini shida ni kuwa hawa virusi wana fanya mutation ili kukwepa vipingamizi.
 
Kirusi ni simple cell creature, mara nyingi kinga za mwili zinaua kirusi bila dawa. Kirusi cha HIV kinajiingiza latika kinga za mwili ndiyo maanda ni vigumu kuvidhibiti.

Virusi wenye uwezo wa kufanya hivyo mara nyingi huwa ni retroviruses kama ilivyo HIV ambaye huwa na latency period ya karibia miaka mitano, katika kipindi hiki chote data zote za kirusi zinakuwa kwenye helper T cell zako na kila cell inapo gawanyika nacho pia kinafanya hivyo

Baada ya miaka mitano cell zako za ulinzi au HT zinakufa na kupungua sana

Sasa corona sidhani kama ina latency period na ndio maana baada ya siku kumi na kadhaa shughuli inaanza
 
Virusi wenye uwezo wa kufanya hivyo mara nyingi huwa ni retroviruses kama ilivyo HIV ambaye huwa na latency period ya karibia miaka mitano, katika kipindi hiki chote data zote za kirusi zinakuwa kwenye helper t cell zako na kila cell inapo gawanyika nacho pia kinafanya hivyo
Baada ya miaka mitano cell zako za ulinzi au HT zinakufa na kupungua sana

Sasa corona sidhani kama ina latency period na ndio maana baada ya siku kumi na kadhaa shughuli inaanza
Ni baada ya siku tatu au nne baada ya maambukizi unaanza kuona dalili na baada ya siku 14 kama hujapata dalili inamaana iko salama kwa corona virus
 
Leo katika kipindi cha PB@Clouds Fm nilimsikia Masoud Kipanya, akimuuliza Sam Sasali kama Kirusi "Virus" ni Kiumbe Hai au lah!!

Baadae akamuuliza tena Dr Isack, swali lilelile hapo ndio sikubahatika kulisikia jibu alilotoa Dr Isack. Yoyote alisikia jibu au anaufahamu na kilichoulizwa na Masoud Kipanya anisaidie kunipa jibu, au yeye mwenyewe Kipanya ninamuomba mjadala huo aulete hapa Jamiiforums ili upate wachangiaji wengi na tupate kujifunza.
Biology ya Fom 3 tu inatakatisha hizi fedha
 
Ni baada ya siku tatu au nne baada ya maambukizi unaanza kuona dalili na baada ya siku 14 kama hujapata dalili inamaana iko salama kwa corona virus
Baada ya kufuatilia, hawa virusi wanashambulia seli za mfumo wa hewa kuanzia koo hadi mapafu. Kwenye mapafu wanashambulia surfactant secreting cells hivyo mapafu yanajaa maji na ndio maana watu hupata shida ya kupumua
Huyu kirusi yuko Chap na serious na kazi yake
 
Nimeona wagonjwa wakiwa wanasubiri ventilator ICU, yuko kwenye 15 litres za oxygen bado sats ni 82. Huu ugonjwa ni hatari sana.
 
Mimi ambacho sijaelewa watu wanaponaje hii kitu
Ina maana kirusi anakufa?
 
Back
Top Bottom