Je, kirusi 'Virus' ni kiumbe hai au la?

Je, kirusi 'Virus' ni kiumbe hai au la?

Treatment kubwa ni kuacha natural cause ifanye kazi. Sana sana watapewa IV antibiotics na Sodium chloride drips kwakua hawaezi kula. Kuangalia kama wanapata haja ndogo na kuangalia vital signs. Temperature ikizidi anapewa paracetamol.

Baada ya hapo unapona?
Kama unapona what happened to the viruses...
 
COVID-19 itatufanya turudi shule....kwa tuliokwepa Biologia tutakomaje.......maana naona nondo zinashuka hata sielewi - yaani kumbe Virus ni hatari zaidi kuliko Bacteria...

Kibaya zaidi wanasema kirusi cha covid-19 kinaweza kuishi kwenye atmosphere kwa masaa 3 baada ya mwathirika kupiga chafya huku kikiambukiza wapita njia......Je na atmosphere yetu tumepima hawa wauaji wanaweza kusavive kwa masaa mangapi?

Bado sijapata jibu kwa nini dawa zinashindwa kabisa kuua Virus badala yake unapewa dawa tu ya kuimarisha human cell za ulinzi yaani antibodies...

elimu inahitajia zaidi hapa tafadhali...
 
Treatment kubwa ni kuacha natural cause ifanye kazi. Sana sana watapewa IV antibiotics na Sodium chloride drips kwakua hawaezi kula. Kuangalia kama wanapata haja ndogo na kuangalia vital signs. Temperature ikizidi anapewa paracetamol.
Sikuwahi kujua kama wewe ni daktari 😀
 
Kirusi ni kweli kina tabia za viumbe hai na visivyo hai.
Lakini kwenye upande wa tabia za viumbe hai hakikamilishi sifa zote kama excretion, growth na reproduction
Kina act kama kiumbe hai kikiwa ndani ya host cell na kinatumia protein machinery ya cell kupitia control room ya cell ambayo ni nucleus ambamo kuna DNA na kuunda copy zake nyingi nyingi kisha seli hufa na kuachia virusi wengine wengi.
Lakini kikiwa nje ya host cell kinakuwa ni kama molecule kama ilivyo molecule ya chumvi au hydrocarbon yaa protein coat yenye nucleic acid ndani yake
Ni ngumu ku deal na virus kwa sababu kudeal na virus kunahitaji udeal na means yake ya kujiunda kupitia host cell kumaanisha utahitajika ku deal na genetic material yake ili kumdhibiti lakini shida ni kuwa hawa virusi wana fanya mutation ili kukwepa vipingamizi.
Topic closed!!
 
[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kufuatilia, hawa virusi wanashambulia seli za mfumo wa hewa kuanzia koo hadi mapafu. Kwenye mapafu wanashambulia surfactant secreting cells hivyo mapafu yanajaa maji na ndio maana watu hupata shida ya kupumua
Huyu kirusi yuko Chap na serious na kazi yake
Mbaya zaidi anashambulia mapafu yote mawili kwa pamoja, tofauti na bacteria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
corona virus kinahitaji cells' genetic so kikizama kwenye mwili kinageuza cell za mwili nazo zinageuka kuwa corona virus
 
Kama sio kiumbe hai kwanini tunaambiwa tuoshe mikono kwa kutumia Hand sanitizing gel? hii sanitizer inawadhuru kivipi au inawaangamizaje nao sio viumbe hai?
Ni kiumbe hai ndani ya host(vinahitaji host ili vizaliane)
Nje ya host, virusi wengi wanaishi kwa muda, halafu wanapoteza uhai(hawawezi kuzaliana wakiwa nje ya kiumbe hai)

Mfano juu ya mwili anaweza kuishi kwa dakika kadhaa, na hii ndio maana ya kunawa na sanitizer, ili kuondoa uhai wake mapema zaidi kabla hawajapata route ya kuingia ndani ya host.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom