mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,634
[emoji23] [emoji23] wengine google ikifungwa, majukwaa ya chitchat yatafulika wachangiaji.Haya, tuwasikilize wataalamu wa bayoloji kutoka muhimbili!
Kumbe mna ujuzi na huyu virus kiasi hiki! Tanzania tuna "majiniazi" sana. Wow!
Kwahiyo dawa ya corona mnatengeneza lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app