J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,182
- 2,698
WUHAN (wutang clan)
Na hii characteristic ya kuwa non living thing ndio inaleta shida kubwa ya ku deal na virus akiwa katika mazingira rafiki kwake(host cell) anakuwa active na akiwa katika mazingira ambayo si rafiki anakuwa dormant then akirudishwa kwenye host cell anadunda Kama kawa
Asante sana. Umeandika vizuri nimekupa na like moja kubwa mno!Kirusi ni kweli kina tabia za viumbe hai na visivyo hai.
Lakini kwenye upande wa tabia za viumbe hai hakikamilishi sifa zote kama excretion, growth na reproduction
Kina act kama kiumbe hai kikiwa ndani ya host cell na kinatumia protein machinery ya cell kupitia control room ya cell ambayo ni nucleus ambamo kuna DNA na kuunda copy zake nyingi nyingi kisha seli hufa na kuachia virusi wengine wengi.
Lakini kikiwa nje ya host cell kinakuwa ni kama molecule kama ilivyo molecule ya chumvi au hydrocarbon yaa protein coat yenye nucleic acid ndani yake
Ni ngumu ku deal na virus kwa sababu kudeal na virus kunahitaji udeal na means yake ya kujiunda kupitia host cell
Kumaanisha utahitajika ku deal na genetic material yake ili kumdhibiti lakini shida ni kuwa hawa virusi wana fanya mutation ili kukwepa vipingamizi.
😂 😂 😂 😂 you are admiring this son of a bitchChap na serious na kazi yake
Kirusi ni simple cell creature, mara nyingi kinga za mwili zinaua kirusi bila dawa. Kirusi cha HIV kinajiingiza latika kinga za mwili ndiyo maanda ni vigumu kuvidhibiti.
Ni kiumbe hai kinachoweza kuwa dominant
Kwa ufupi kinakufa na kufika?Ni kiumbe hai kinachoweza kuwa dominant
Uzalishaji wa antibodies Ni Moja ya kazi za immune system ( mfumo wa Kinga) ya mwili wa binadamuNimekuelewa !! Ina maana ili mwili uweze kutengeneza hizo 'antibodies' za kupambana na virusi vipo vyakula maalum vya kula?
Mnyonge mnyongeni😂 😂 😂 😂 you are admiring this son of a bitch
Bora huyo Guru aje, aongezee nyama katika huu uziNgoja niendelee kufuatilia nondo za wajuzi,
lifecoded unahitajika huku mkuu.