Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Status
Not open for further replies.
unafikiri kila mtu ananunuliwa kama wewe? MBOWE KATUPA DOLA ELFU MBILI ZA KUFUNGUA KLH WEBSITE UNAMUONA KAMA MUNGU?

MWANAKIJIJI UNAJIABISHA SANA UKO NCHI ZA WATU UNAWEZA KUJIKUTA UKO TIMU YA ELTON JOHN KWA KUOMBAOMBA.

Hivi kupewa msaada ni dhambi?
 


Kana

Kesi ikiwa mahakamani malipo yanakoma mpaka kesi imalizike. Ndivyo ambavyo imetokea kwa hiyo si kama amesusa. Ila muda wote ulikuwa ni wa kusubiri determination. Na unajua mahakama zetu. Huwezi kulipa kiwango ambacho sicho unachopaswa kulipa kwa hofu tu ya kwamba wewe ni mwanasiasa ukimbie madeni. Mwanasiasa mzuri zaidi ni yule mwenye kuweza kusimamia haki yake. Na ndivyo Mbowe alivyofanya katika sakata hili la NSSF. Tafuta records za mahakama uone ukweli; achana na propaganda za wakina Rostam na Ballile au waambie waweke wazi hizo barua zote na nyaraka zote ambao wameamua tu kunukuu mistari wanayoitaka wao kwa lengo la kupotosha

Asha
 
N.S.S.F................!MANENO YA BI ASHA HAYO.......!
 

Walitaka kupotosha na sasa wamechemsha!

Hii case ifikiwe hatima yake ili kijulikane au kama Rostam na wenzake wana ubavu basi iundwe kamati ya bunge kuchunguza haya madai
 
ROSTAM,MBOWE,HOSEA.......! MAFISADI WA NCHI HII........!!!!!
BENKI YA NYUMBA ILIKUFA KWA AJILI YA WAKOPAJI MAFISADI KAMA HAWA WA NSSF&BOT(EPA)........!
 

Kishoka:
Mimi sikumbuki Nyerere aliposema kuwa 'kuwa tajiri ni sumu' nadhani hii ni 'interpretation' ya muono wako katika aliyoyazungumzia Nyerere kuhusu ubepari katika context ya maisha ya mTanzania yalivyokuwa. Translation ya maneno hayo haiwezi kuwa 'utajiri ni sumu.'
 

Hii iko nje ya ukweli, chatu yupo shimoni wewe unarusha mawe kichakani. Dooo!

Fedha alitumia kukarabati Bilicanas siyo kutumbua.

Tatizo hapa ni kushindwa kulipa deni na ukweli kwamba kwa nini imechukua muda mrefu namna hii kukumbushia deni?
Huu ni mwaka 2008 deni ni la 1990 miaka 18 mizima. Msukumo wa kukumbushia deni hili ni nini?

Ni kitendo cha kumweleza ukweli MH Kikwete kwamba yeye ni Fisadi namba moja?

Mimi simtetei Mbowe hata kidogo kwa kitendo chake cha kwenda kinyume na mkataba.
Ila najiuliza kwa nini NSSF( mlalamikaji ) yuko kimya kwa miaka yote hii?
Kwa nini deni la mika 18 iliyo pita liwe gumzo la nguvu leo?

Habari hii kama ni ya kweli MH Mbowe anatakiwa kufikishwa mahakmani mara moja kujibu mashitaka.

Hata hivyo Mbowe hawezi kwenda mahakmani mpaka NSSF wafungue madai.
Mbowe hana kesi ya Jinai, kama kesi tutakazo wafungulia MH Kikwete ,MH Mkapa na wezi wengine wa fedha za Umma, yeye kesi yake ni ya madai.
 
Hapa tena tunaona udhaifu wa viongozi wetu hawa (watarajiwa).

Hainipi matumaini makubwa sana mimi mwananchi kwa kujua 'management style' ya namna hii ya kiongozi ninayemtarajia kuniongoza. Yaani hata kulipa deni inakuwa ni shida?

Sasa sijui tukimbilia wapi, Kikwete tumeona hayupo mbali sana na ufisadi; na kama sio fisadi kama baadhi ya watu wanavyotetea, basi ni 'incompetent,' 'negligent' au hata sijui tumwiteje huyu!
Maanake jina lake linajitokeza katika kila mkataba mbovu uliokwishasainiwa tokea miaka ya Mwinyi.

Labda Lipumba basi, ndie aliyebaki (at least katika mambo ya wizi na uzembe hayumo).
 
huku wamekimbia hawa mafisadi wa Chama cha wachagga (CHADEMA)
NJOONI MJIBU HAPA.

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=10807&page=23

Chinga,nimefuatilia mtiririko wa habari hii na hoja zako na nimegundua kuwa LAZIMA utakuwa na matatizo ya UELEWA.Hoja zako na mwanafunzi wa form one kwenye shule zilizofunguliwa za kata hakuna utofauti kabisa.Unabwabwaja na huna point hata kidogo.Matusi tuu.Y!!!! huh!! Naamini kama unasoma nje say USA basi unasomea CNA na kama uko Tanzania utakuwa unasoma masoo ya jioni kuipata credit ili uanze masomo ya A level.Kamwe na nasema katu kwa hoja zako huwezi kunambia kuwa umegusa high school. No na sitaki kushawishika na kuamini hivyo.Ungekuwa unatoka kule MUSOMA ningekuita "MATOME"
 


Madela Wa Madilu,
Labda inabidi urejee kwenye main story yenyewe na usome between the lines.
Kinachotokea sasa ni kwamba hili saga ndio limeanza kuandikwa magazetini na sio kwamba ndio deni linakumbushiwa.Ukisoma vizuri pia utaona kwamba hili suala limefikishwa mahakamani na kutolewa maamuzi mara mbili.
 

Kwangu mimi A LEVEL IS NON ISSUE.MBOWE KAKIMBIA MASOMO ITAKUWA NA MIMI CHINGA BOY.

KWA TAARIFA YAKO NIMESOMA NGUMBARU AU HAPA NI KWA WASOMI TU?
TUNATOFAUTINA UONI MIMI MBOWE NAMUONA MBAKAJI, JAMBAWAZI NA FISADI KWAKO WEWE NI MUHESHIMWA.KWA MTAJI HUO LAZIMA UTANIONA SINA AKILI KWA KUMPINGA MUHESHIMIWA. MATUSI YAKO WAPI?

JUZI ALIKUWA KWENYE KITCHEN PARTY MWANAUME PEKEE YAKE SIJUI ALIKUWA ANAWASHIKIA POCHI KINA MUHONGA?
 

Kwa hiyo kilichoshindikana nini?

Kumfilisi mbowe au Mahakama kushindwa kutoa hukumu ya kumfilisi?

Watu wangapi wamefilisiwa mali zao Bongo?

Sasa huyu Mbowe anawashinda nini wakati hana pa kuegemea serikalini?

Serikali ina vyombo vya dola vya kuzuia maandamano tu?

Labda mahakama nazo siku hizi zimepungukiwa umaarufu!

Mtikila lishinda kesi ya mgombea binafsi hukumu hiyo haijatekelezwa mpka leo. Mbowe naye huku yake ilitolewa lakini haitekelezeki mpka serikali ije ilalamike huku kwetu walala hoi.

Serikali ime mbonji????
 

kidali poh poh kidali poh...

kaishiwa hoja ... nilikushauri mapema hukusikia na sasa utalia hadi ukaukiwe!
 
Zitto Kabwe ni mchagga wa wapi? Sanya Juu au Rombo?
Chacha Wangwe naye ni mchagga?
Uchagga ni kabila au hali fulani?
Nieleweshe.

UNAJUA UKO MBALI NA TANZANIA.ALIYESEMA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGGA NI CHACHA WANGWE HUNA KIPEPERUSHI CHAKE NIKUPE?
ALISEMA MBELE YA KAMATI KUU YA CHADEMA AKIOMBA KURA ZA UMAKAMU MWENYEKITI. NA MBOWE ANA MUOGOPA CHACHA WANGWE KWANI ALIWEKA WAZI SUALA HILI.

KAMA MKANUSHAJI ULITAKIWA UPELEKE UJUMBE HUKO KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MWEZI NOVEMBER 2007.
 

Kweli kabisa Madilu,

kama anadaiwa kwa nini wasitekeleza amri ya mahakama au kuanzisha kesi mpya. Mimi sasa naitisha kuwe na tume huru ya bunge ya kufuatilia matumizi yote ya pesa za BoT kuanzia kwa Mkullo mpaka kwa wakopaji wengine wasiotaka kutwaja magazetini!
 


wewe ndiye umesema hapa kuwa chadema ni chama cha wachaga? umeina na sasa umelowa! jibu maswali damn it!
 

kwi kwi kwi ...

wewe majita... weewe... MATOME inamstahili kabisa huyu na habari zake za udaku. Hapa inabidi nitoke nje kidogo nicheke maana kuna mambo mengine inabidi mtu uyasome ukiwa umetulia nyumbani!
 
anayelia ni MBOWE, NAONA DOLA ELFU MBILI ZITAKUTOKEA PUANI.
Guys can we stick on issues? Kama kuna mwenye hoja dhidi ya Mhe. Mbowe ama yeyote tafadhali aziwakilishe kwa namna ambayo inaweza kumshawishi mhusika kuona umuhimu wa kujibu. Let's be serious... Otherwise mijadala mingine italazimika kuhamishiwa kwenye udaku ikiendelea kujadilika kidaku.

Think of it pls!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…