Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Status
Not open for further replies.
Du kaazi yaani kweli kweli!

Dawa ya deni ni kulipa tu!

Huwezi kulipa deni ambalo kiasi unachodaiwa kimekosewa. Lazima kusubiri mahakama iamue kwanza kwa haki. Lakini alikopa milioni 15 na ameshalipa zaidi ya milioni 50. Sasa angalia sheria, kesi ikienda mahakamani riba ni asilimia ngapi? Halafu utajaza kwamba hata kama akishindwa kesi anawajibika kulipa bei gani. Na ni fedha ambazo kwa mtu kama yeye sidhani kama anashindwa kuzilipa. Ila kiongozi wa upinzani anayesimamia haki hawezi kukubali haki yake mwenyewe ikaporwa.

Asha
 
Kumbe kakopa milioni 15 na amesharudisha million 50? Sasa hapa inabidi mahakama iamue ni kipi kiasi sahihi kinatakiwa kulipwa hapa. Meanwhile, inabidi ijulikane kama zile bilioni 35 alizokopa oooppppss alizochukua Mkullo na "wenzake" zimesharudi au la!

Imefika wakati wa tume huru ya bunge iundwe kuchunguza matumizi na mapata ya pesa ya NSSF kuanzia mwaka 1990 hadi leo hii....

tik tak tik tak tik...... Mkullo waziri wa fedha wa Kikwete yuko kwenye countdown right now!
 
Duh!!! Naye alilipa bila matatizo?
 
NAONA DENI HILI NDILO LILILOMFANYA AFELI MASOMO YAKE-HULL.
ASHA UTETEZI HUU SIKUKUONA KUMPA KASUSURA ALIPOIBA DOLA MILLIONI MBILI.

MBOWE NA KASUSURA NI SAWA SAWA.WANAJULIKANA WENZITU WA KILIMANJARO KWA KUTAFUTA HATA ROHO WATU KUZITOA SI TABU.
 
Mada Ya Mbowe Kufeli Chuo Kikuu-hull Mmeifunga Wakati Nina Ushahidi Wote Hapa. Rudisheni Niweke Vitu Vya Huyu Kilaza.
Mwanaume Mzima Kakimbia Shule Yuko Kwenye Kitchen Party.

Hivi kumbe wewe mjadala ulikua unaufuatilia tukataka ulete uthibitisho ukaenda missing,Ujasiri wako wa kuanzisha mada uko wapi.

Unakuja na majibu shalow kwenye hoja kali,wewe ni shule ipi uliyosoma inakulea unakua coward namna hiyo.Wee ndio wale wa kukimbia mitihani kwani kama umeweza kukimbia hoja zetu kwenye mjadala ulioufungua mwenyewe ni kipimo ufinyu wa mawazo.Rudi darasani tena,acha kuwadhalilisha walimu wako waliokufunza.Ni shule gani ulisoma ya kukimbia hoja? Unamkashifu Mbowe as if wewe ni jasiri sana wa kujibu hoja.Nenda kwanza kwenye ile thread uliyoanzisha nakusubiri uje na majibu ya kutosha
 
NAONA DENI HILI NDILO LILILOMFANYA AFELI MASOMO YAKE-HULL.
ASHA UTETEZI HUU SIKUKUONA KUMPA KASUSURA ALIPOIBA DOLA MILLIONI MBILI.

MBOWE NA KASUSURA NI SAWA SAWA.WANAJULIKANA WENZITU WA KILIMANJARO KWA KUTAFUTA HATA ROHO WATU KUZITOA SI TABU.

do you know the seriousness of these allegations you are making here?
 
Nimewashauri wamletea Kingunge maana yeye anaweza kufanya kazi nzuri kuliko hawa.... au waende kivukoni kwanza wakasomee diploma sijui za nini vile maana so far ni pumba tupu hapa na wameumia sana walivyoona ile thread (kama hii) ikiachwa hapa JF ili kuwaumbua!
 
Rudisha mada kwenye siasa nina dozi zote. unajua kuwa kuna deportation order inamsubiri Mbowe kwa kutokuwa bonafide student? ili uwe mwanafunzi unatakiwa kuhudhuria darsani kwa asilimia 86.kinyume na hapo ni dodge.
 
.....

MBOWE NA KASUSURA NI SAWA SAWA.WANAJULIKANA WENZITU WA KILIMANJARO KWA KUTAFUTA HATA ROHO WATU KUZITOA SI TABU.

Naona mkopo na wizi siku hizi ni maneno sawa... na hizi chuki dhidi ya watu wa kilimanjaro hazitawasaidia nyie mafisadi wa ccm. Tafuteni kingine cha kusema maana katika hili mmefeli! kupiga ramli badala yakufanya kazi kwa bidii ili upate pesa kama wenzako sio njia ya kuendelea!
 
NAONA DENI HILI NDILO LILILOMFANYA AFELI MASOMO YAKE-HULL.
ASHA UTETEZI HUU SIKUKUONA KUMPA KASUSURA ALIPOIBA DOLA MILLIONI MBILI.

MBOWE NA KASUSURA NI SAWA SAWA.WANAJULIKANA WENZITU WA KILIMANJARO KWA KUTAFUTA HATA ROHO WATU KUZITOA SI TABU.

Kidali po,kidali po,kidali po,
Chinga umeingia shift eeh,naona umemreplace kada,well,hivi unashindwa kumtofautisha Jambazi na mjasiriamali? Kweli IQ ndogo inakusumbua dogo,no wonder mmekua comfused na mabosi wako mkaamua kugeuza wizi wa BOT kuwa deni lililorejeshwa.Yaani CCM na watu kama Chinga ni viumbe wa ajabu sana.Kucomfuse mwizi na mjasiriamali? Duh,that's why we will remain poor for years to come
 
Hehee heeeeeeeeeee

Angalia habari yako ya kishabiki- NSSF imekopesha milioni 15 kwa Mbowe, vipi ifilisike kwa kiasi hicho tu kuchelewa kulipwa tena kutokana na kesi? Tena ukweli ni kuwa tayari Mbowe ameshatoa zaidi ya milioni 50.

Asha

Naona Dada yangu Asha hapa vidole vilipishana na ubongo kidogo eti? Kakopa 15m kalipa 50m?
 
Rudisha mada kwenye siasa nina dozi zote. unajua kuwa kuna deportation order inamsubiri Mbowe kwa kutokuwa bonafide student? ili uwe mwanafunzi unatakiwa kuhudhuria darsani kwa asilimia 86.kinyume na hapo ni dodge.

bahati mbaya maziwa yamekwisha so itabidi upewa ya punda kama utaweza kunywa.... swawa mwanangu..... weekend hii utapelekwa disney pia ukacheze kidalipo maana naona JF inakushinda sasa!
 
Watu wanaoota kupata ubunge wa kuteuliwa kwenye viti maalum siku ndoto za Mbowe kuingia Ikulu zikitimia utawajua tu! Keep on dreaming! It is not that bad!
 
Nakuambia atacheza kidali po hadi akome!

na sasa ameanza paranoia yake kuwa watu wa kilimanjaro wamekunywa maziwa yote na yeye amekosa cha kufanya!

kwi kwi kwi kwi...
 
Watu wanaoota kupata ubunge wa kuteuliwa kwenye viti maalum siku ndoto za Mbowe kuingia Ikulu zikitimia utawajua tu! Keep on dreaming! It is not that bad!

Bado hujampata Kingunge tu.... Naona umtafute Makamba sasa maana inaonekana Rostam "hakutoshi" mwaya!
 
Naona Dada yangu Asha hapa vidole vilipishana na ubongo kidogo eti? Kakopa 15m kalipa 50m?

Festog,

Soma hata katika habari yenyewe Rostam na Balille wameandika wenyewe:

Mwaka 1990 alikopa milioni 15.

Mwaka 1993 akalipa milioni 3.

Mwaka 1998 akalipa milioni 12

Mwaka 2006 alilipa milioni 50

Ila wakaongezea ushabiki kuwa malipo yalifanyika kwa kulazimishwa. Hebu nenda mahakamani uone kati ya NSSF na Mbowe nani alikuwa akikwepa kwepa.

Asha
 
Masaki achana na chizi huyu ni Mwanakijiji kashindwa mjadala anatumia majina ya kike.

Naona mwanakijiji anakupa kiwewe sana dogo! Tulia acha kupanic ovyo maanake unadai unajua shule sana,sipati picha unavyotuaibisha huko shule kama uko nchi za wengine.

Yaani Mwanakijiji amekua ni bonge la nightmare kwako wewe kijana,

Pia,hili la watu wa Kilimanjaro naona kwako dokta ndiye anaweza kukusaidia tu hapa na washauri wa mambo ya kisaikolojia.Naona tatizo kubwa liko kwenye saikolojia.

Suala la kunitaka kurudisha mada kwenye siasa,pia ni tataizo la kisaikolojia pia kwani eti hata shule inawezekana ulikua ukifanya make up sana kwani hutaki hoja za moja kwa moja bila kurudia rudia.Inonekana umezoea sana,unaomba mechi zirudiwe kila sasa huku ukilia lia.

Kidali po!
 
Watu wanaoota kupata ubunge wa kuteuliwa kwenye viti maalum siku ndoto za Mbowe kuingia Ikulu zikitimia utawajua tu! Keep on dreaming! It is not that bad!

Masaki,

Unawashwa nini? Hili jina lako la Kusini kule lindi na mtwara au oysterbay?

Umeshindwa hoja unaanza vioja

Luv ya!

Asha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…