Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
KKN,
kesi imekuwa mahakamani kwa muda sasa na hakuna kitu NSSF wamekuja nacho. Hii issue inabidi iundiwe tume ya bunge na sio swala la Mbowe kujieleza. Inabidi tume ya bunge ichunguze yote kuanzia waliokopa NSSF, walioiba, na ambao "wamekopa" bila maelezo kama MKullo na wenzake.
Hii issue sio for the sake ya Chadema mkuu, hii ni issue ambayo ni for the sake of the country. Kuna habari kuwa hata KIkwete ni mmoja waliofaidika na pesa za MKulloo alizochota NSSF. Iundwe kamati huru ya bunge kuchunguza hili na haya ya uchaguzi wa 2010 yatajulikana.
Biashara yoyote kubwa ili iendelee inaitaji mkopo, kuna aina nyingi za mikopo. Short term debt and long term debt, sasa Mbowe alikopa kwa muda gani na kwa biashara gani? Hilo ni million dollar question. Kama alikopa kwa more than 10 years ili kufinance club yake that is fine, tatizo linakuja jee alikuwa anafanya month payments?
Na kama alikuwa hafanyi payments jee ni nani alikuwa anadefend collateral alizoweka zisiuzwe? Sababu kama unapiga kelele kwenye majukwaa kwamba CCM ni wezi, na wewe unatumia same strategy za CCM katika njia nyingine, then unakila haki ya kufananishwa na Gavana wa NY.
Nilishawai kusema natofautiana sana na Mboe sababu anaonyesha ni mbabaishaji. Mikopo yote ina rules and regulation, na dawa ya kukopa ni kulipa. Rejea maneno ya Mwalim " You borrow, you pay". Hakuna sijui nilikuwa sijui hili wala lile.
Ni mategemeo yangu wana CHADEMA wataomba explaination kutoka kwa kiongozi wao, jee haoni kama huko ni kufuja mali za umma? Jee yeye anajenga picha gani kama kiongozi? Jee ni kwa asilimia ngapi kuchelewa kwake kwa loan kuna adhiri viinua mgongo vya watu?
Sababu kumbuka kwamba pesa zile zinatumika kulipa pansion za baba na mama walio staff, sasa kama kuna mtu kwa njia moja au nyingine hataki kulipa kutokana na political power yake, then what is the different na mafisadi?
Mtanganyika,
The first paragraph umeanza vizuri.....you were thinking objectively. Ila baadae umeamua bias uliyonayo against mbowe ichukue mkondo. Anyway, as long as unafurahisha nafsi yako si mbaya kwako.
Ila elewa biashara yoyote, ni kama uchezaji karata, you play your cards well you win otherwise you loose. And mind you, it is your cards, not all the cards in the box. And how do you get your cards?? You just pick them randomly, hujui unaokota nini....
In business terms, you may have good plans, but there are uncertainties in the future which you cant plan precisely. Mfano, uchumi wa Tanzania unaelekea kubaya sana, sasa ivi BOT watakupa GDP kwamba inakuwa (mi naona data wanazipika for their own benefits). Ila ukweli ukiangalia mtaani inflation rate iko juu sana, mfuko wa cement umepanda from Shs 11,000 in July 07 to Shs 20,000 in December 07, ukiachilia mbali vifaa vingine.
Sasa kama ulikopa early 2007 (with your business plan ulioitengeneza using the early 2007 prices as base) do you think utaweza kufanya what you planned to do in the same capacity with the same loan wakati economy imebadilika to that extent???
Mbowe is a businessman, a good one, kama anadaiwa, he knows well what he is going to do to get himself out of the trouble. So mi naona hilo ni kumwachia mwenyewe na benki (taasisi) aliyokopa, they know better how to deal with that.
Ukitaka kuunda tume kuchunguza watu wameshindwa kulipa mikopo (nashangaa ulikuwa unafikiria kwa kutumia nini ulipotoa hilo wazo), basi ndugu yangu kwa mikopo doubtful iliyopo sasaivi mabenki yote, utachunguza mpaka 2050. Au wewe nia yako ni Mbowe tu???
Benki wanajua njia zao za kukusanya mikopo, hata pale a customer anapokuwa na hali ngumu, kuna motisha wanawapa ili waweze kulipa. Ukisema uende mahakamani, the system is so beauracratic, expensive because of legal charges etc and next time you won't be able to get the same customer, coz utakuwa ushammaliza.
Ni hayo tu, kila la kneri.
EBU ONENI DHARAU ZA MBOWE KWA KUTUMIA MABILIONI YA WATANZANIA ANAVYOTUMIA KUENDEKEZA ANASA ZAKE WAKATI WATOTO BUZWAGI WANAKUFA KILA DAKIKA KWA KUKOSA DAWA KWA MAGONJWA YANAYOTIBIKA !
http://masharikiconstruction.com/steel.htm
Mtanganyika,
Kuna sehemu Mbowe amesemwa au kusema kashindwa au hataki kulipa?
Sometimes kama una chuki binafsi peleka kwenye udaku.
Mungu ametupa akili, lakini naanza kuamini kuwa kweli akili ni nywele.. Nyingine ndeefu nyingine fupi.
hii habari ya mbowe kukopa mwaka 1996....imeibuliwa kama couter balance ya jk propaganda team ili ku neutralize yeye kuhusichwa ufisadi...ndio maana ukisoma ile habari huoni uhusiano kati ya MBOWE KUTAFUNA MILIONI 1,120[LITERALLY THAT IS 1.1 BILLION]..WAMEANDIKA HIVO ILI MWANANCHI WA KAWAIDA AONE MBOWE KAKOPA PESA NYINGI KULIKO ZA EPA ..BILIONI 135 .[literally ni milioni 135,000].unajua wananchi wengi hawawezi kutofautisha MILIONI na BILIONI....kwa hiyo mbowe ataonekana ni fisadi zaidi ya EPA...KWA MKULIMA.....a catche!!!
lakini ukiingia deep kwenye ile habari utagundua mbowe ameshalipa karibu milioni 80 kati ya alizokopa na hizo nyingine ni interest charges ambazo bado zinabishaniwa na wataalamu wa mahesabu....je ni kweli PPF iliyompa bure MANJI BILIONI 80. itafilisika kwa kuwa mbowe hajamaliza kukopa hivyo tuvimilioni vichache???? A catche!!!!
Ukiona mtu anapenda sana kujilimbikizia mali basi huyo siku akipata nafasi serikalini ataiba pesa ya umma mpaka mtakoma. QUOTE]
Wewe bwana hupendi mali just tell me? The question here is how do you accummulate your utajiri? Mbona viongozi wengi duniani wana utajiri wakupindukia?
Huyu makengeza Mbowe inatakiwa apelekwe mahakamani haraka sana. ADEN RAGE alifungwa kwa milioni tatu tu.
hili ni jamba wazi kubwa la huko HULL inawezekana ni wanted.
Hivi moderator hawa hamuwaoni, maana wanafanaya vitu vya makusudi kabisa, hawawezi hata kutofautisha kati ya wizi na kukopa. kibaya zaidi hata data wanazotumia na kutetea hazina intergrity yeyote.
kama wanalipwa kwa kupost ujinga please tafuta jinsi ya kuwalekebisha, usiwafungie maana tunaitaji mawazo yao mazuri na sio pumba wanazoandika hapa.
JF members be careful hawa watu ni wabaya sana wanaweza kukuuza kama walivyowauza wenzetu
Naona tatizo lao kuu ni uwezo wa kufikiri ni mdogo mno? Lakini anyway, inawezakana ndo mojawapo ya wale wanaofaidi matunda ya ufisadi so you should expect arguments kama hizo!
Chinga Na Kada,
Asilimia ya watu wengi walioendelea kimaisha wamekopa hela benki/taasisi za fedha. Ndio source pekee halali ya uhakika ukitaka "kutoka" ki uchumi.
Mbowe hajafanya kosa. Amekopa na atarudisha.
Vipi ukilinganisha Mbowe aliyekopa 15 Million Tshs mwaka 1990 na mpaka 2008 amerudisha 65 million Tshs na MAFISADI wa BOT walio IBA fedha billion 133 Mwka 2005/6 na mwaka 2008 wamerudisha only 50 Billion Tsh BILA RIBA?
Mimi mwenyewe benki za bongo zinanidai karibu 200 million Tshs na tunalipana kidogo kidogo hivyohivyo.
Wabongo kukopa ni muhimu sana. kama hutaki kukopa nenda KAIBE. Na ndio maana UFISADI hauwezi kuisha kwasababu ya imani zenu potofu!
Mtanzania kuwa makini mkuu wangu .Angalia historia ni lini Mbowe alikopa pesa na jinsi ambayo amekuwa vocal kuwa chachafya akina JK .Kama kweli alikuwa na serious issue na pesa hii ya NSSF Chadema na Mbowe wameshiriki kampeni ngani na hujawahi kusikia CCM wanatafuta pa kufia ? Jamaa alikopa pesa na wao wanaleta usanii mkubwa na ndiyo issue imekuwa inaenda kisheria .Mbowe si mjinga kiasi hicho kwamba angaliweza kujiingiza kichwa kichwa . Lamwai waliingia kichwa kichwa na akina Mtemvu leo wamerudi CCM kwa kubanwa .Bado hili swala nasema kuna upuuzi wa watu kutuhamisha kweney mada za maana na tunakalia majungu. I hope this man will come forward na kueleza Mkasa na kumaliza mzozo ambao si mzozo ni RA na kundi lake wanatapatapa .
hii habari ya mbowe kukopa mwaka 1996....imeibuliwa kama couter balance ya jk propaganda team ili ku neutralize yeye kuhusichwa ufisadi...ndio maana ukisoma ile habari huoni uhusiano kati ya MBOWE KUTAFUNA MILIONI 1,120[LITERALLY THAT IS 1.1 BILLION]..WAMEANDIKA HIVO ILI MWANANCHI WA KAWAIDA AONE MBOWE KAKOPA PESA NYINGI KULIKO ZA EPA ..BILIONI 135 .[literally ni milioni 135,000].unajua wananchi wengi hawawezi kutofautisha MILIONI na BILIONI....kwa hiyo mbowe ataonekana ni fisadi zaidi ya EPA...KWA MKULIMA.....a catche!!!
lakini ukiingia deep kwenye ile habari utagundua mbowe ameshalipa karibu milioni 80 kati ya alizokopa na hizo nyingine ni interest charges ambazo bado zinabishaniwa na wataalamu wa mahesabu....je ni kweli PPF iliyompa bure MANJI BILIONI 80. itafilisika kwa kuwa mbowe hajamaliza kukopa hivyo tuvimilioni vichache???? A catche!!!!
Mimi mwenyewe benki za bongo zinanidai karibu 200 million Tshs na tunalipana kidogo kidogo hivyohivyo.
Naona tatizo lao kuu ni uwezo wa kufikiri ni mdogo mno? Lakini anyway, inawezakana ndo mojawapo ya wale wanaofaidi matunda ya ufisadi so you should expect arguments kama hizo!