Je, Kikwete ni mdini?

Je, Kikwete ni mdini?

Mods, na wana JF,

Ukiunganisha picha itaona hapo ndio chanzo hasa cha timbwili hili mnaloliona leo lililo vikwa ngozi ya vyama vya siasa ( upinzani ). Hapo awali Wakristo na CCM walikuwa chanda na pete. Ilikuwa ni kosa la jinai kwa mkristo mwenye imani kuwa upinzani ndio maana hata viongozi wao wengi mwaka 2005 walisema JK "chaguo la Mungu"

[/COLOR]

Nonsense
Waliopo JF hawawezi kukuelewa kukuelewa na hoja zako.
Unaamaanisha nini: kwamba sasa hivi Wakristo si CCM na kwamba Waislamu hawakusema huyo ni chaguo la Mungu?

Na kumbuka Nyerere alisema kiongozi wa nchi lazima awe na dini, "kama mtu hana dini basi kwa msaafu au biblia tutamwapisha"

please usitujengee hiyo hoja wala usitutenganishe kwa udini, hatuna hilo na wala kwa sasa halitowezekana
 
Kaka sokomoko usikatishwe tamaa na Drugs victim na sex hawa wamekosea ilibidi waende kwenye tovut za kushauriwa ili wakae sawa maana wanaonekana ni wamechanganyikiwa.Ngoja uchaguz ujao ccm itakapomuweka mkatolik sijui watakua chama gani na nani atakuwa chaguo la mungu kati ya Dr.SILAHA na huyu mkatoliki?WE NGOJA UTADHIHIRIKA UDINI WAO!
 
Very unhealthy discussion..hizi dini tuliletewa tu jamaniiiii, mbona tunaumizana kwa maneno ya kashfa na kuudhi wakati wote ni Waafrika??
 
Kaka sokomoko usikatishwe tamaa na Drugs victim na sex hawa wamekosea ilibidi waende kwenye tovut za kushauriwa ili wakae sawa maana wanaonekana ni wamechanganyikiwa.Ngoja uchaguz ujao ccm itakapomuweka mkatolik sijui watakua chama gani na nani atakuwa chaguo la mungu kati ya Dr.SILAHA na huyu mkatoliki?WE NGOJA UTADHIHIRIKA UDINI WAO!

Tusubiri tuone ila sidhani kama tatizo ni udini tatizo ni ile hali iliyozoeleka kutumia nyumba za ibada kupitisha biashara kwa kukwepa kodi. Wamebanwa wamekasirika wakaamua kujenga chuki ya udini.
 
Waislam walikuwa na taasisi nyingi na shule nyingi sana tanzania nzima ( Tambaza, Azania, Dodoma Secondary) muulize mhe Hashim Saggaf au Sango Kipozi walisoma Dodoma Secondary ilikuwa shule ya nani. Shule hizi zilikuwa classic. shule hizi zilitaifishwa na serikali na mpaka leo hii zipo chini ya serikali huku serikali ikiwacha kanisa likichanuwa. Ni kweli lakini Kikwete angepata fursa ya kusoma ingekuwa taasisi za kiislamu zingepewa fursa sawa na za kiroma.

Nyumba nyingi za NHC ni za waislamu zilitaifishwa enzi za uhujumu uchumi ili kukwamisha maendeleo ya waislam ukizungumza ukweli wewe mdini mnataka waislam wakubali kuimba mapambia wakiingia kwenye ofisi za umma maana kuna vinanda vinalia kila ofisi ya serikali na mauwa ya chrismass acheni hizo chuki. Waislam walishakubali siku nyingi ila nyie mnachokonoa waseme...

KWELI WEYE WAITWA SOKOMOKO ,MAMBO YAKO YA KISOKOMOMKOMKOMKOM O00....Kama waisilimu walikuwa na shule nyingi (sijui ngapi)Wkristo walikuwa na ngapi.....mawazo yako yanatofautiana sana na elimu yako SOKOMOKO uNATUTIA AIBU
 
Naona mods wameifurahia sana hii mada.
Ningeanzisha mimi, hii mada ingefungiliwa mbali sana
 
2002 Oct 19, 2002 - He said that terrorism in Ireland would never have been called as catholic terrorism or in Japan by a cult as Buddhist terrorism. He said it was very unfortunate that an act of terrorism if committed by a Muslim was branded as Islamic terrorism.

Tafsiri yake ndo hii

hata kwenye vyuo vikuu wanafunzi wakiristo wakisomeshwa na walimu waislam hununa sana. lkn huwa hawana budi tu
 
Sokomoko na Yaya na hii hapa vipi?

Halmashauri Kuu (3 out 0f 4)

Jakaya Mrisho Kikwete
Pius Msekwa
Aman Abeid Karume
Yusuph Rajabu Makamba



WAJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (CC) YA CHAMA CHA MAPINDUZI (26-1 out of 38)

1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2.
Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6.
Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7.
Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9.
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10.
Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Ndugu Benjamin Willium Mkapa- Mjumbe
12.
Mzee Rashid Mfaume Kawawa – (RIP) Mjumbe
13.
Dr. Salmin Amour - Mjumbe
14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
15. Capt. (mst) John ZefaniaChiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos GabrielMakala - Mjumbe

17. Ndugu Bernard KamiliusMembe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa HamidSaleh - Mjumbe

19 Ndugu Samwel Sitta - Mjumbe
20.
Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21.
Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22.
Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28
. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29.
Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 .
Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 .
Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda- Mjumbe

33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 .
Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe

38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe


Source: Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
 
Sokomoko na Yaya na hii hapa vipi?

Halmashauri Kuu (3 out 0f 4)

Jakaya Mrisho Kikwete
Pius Msekwa
Aman Abeid Karume
Yusuph Rajabu Makamba



WAJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (CC) YA CHAMA CHA MAPINDUZI (26-1 out of 38)

1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti
2.
Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara)
3. Ndugu Amani Abeid Amani Karume - Makamu Mwenyekiti(Zanzibar)
4. Ndugu Yussuf R. Makamba - Katibu Mkuu
5. Capt. (mst) George Huruma Mkuchika - Naibu Katibu Mkuu (Bara)
6.
Ndugu Salehe Ramadhan Ferouz - Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar)
7.
Dr. Ali Mohamed Shein - Mjumbe
8. Ndugu Edward Ngoyai Lowassa - Mjumbe
9.
Ndugu Shamsi Vuai Nahodha - Mjumbe
10.
Alhaj Ali Hassan Mwinyi - Mjumbe
11. Ndugu Benjamin Willium Mkapa- Mjumbe
12.
Mzee Rashid Mfaume Kawawa – (RIP) Mjumbe
13.
Dr. Salmin Amour - Mjumbe
14. Ndugu John Samwel Malecela - Mjumbe
15. Capt. (mst) John ZefaniaChiligati - Mjumbe
16. Ndugu Amos GabrielMakala - Mjumbe

17. Ndugu Bernard KamiliusMembe - Mjumbe
18. Ndugu Kidawa HamidSaleh - Mjumbe

19 Ndugu Samwel Sitta - Mjumbe
20.
Ndugu Pandu Ameir Kificho - Mjumbe
21.
Ndugu Anna Abdallah - Mjumbe
22.
Ndugu Rostum Aziz - Mjumbe
23.Dr. Mohamed Gharib Bilal - Mjumbe
24. Ndugu Pindi Hazara Chana - Mjumbe
25. Ndugu Andrew Chenge - Mjumbe
26. Dr. Maua Abeid Daftari - Mjumbe
27. Ndugu Samia Suluhu Hassan - Mjumbe
28
. Ndugu Mohamed Seif Khatib - Mjumbe
29.
Ndugu Haji Omar Kheri - Mjumbe
30 .
Dr. Abdallah Omari Kigoda - Mjumbe
31 .
Ndugu Abdurahman Kinana - Mjumbe
32 . Ndugu Anne Semamba Makinda- Mjumbe

33. Ndugu Fatuma Said Ali Mchumo - Mjumbe
34 .
Ndugu Zakia Hamdan Meghji - Mjumbe
35. Ndugu Omar Yussuf Mzee - Mjumbe
36 Ndugu Emmanuel John Nchimbi - Mjumbe
37 Ndugu Ali Ameir Mohamed - Mjumbe

38. Ndugu Yussuf Moh'd Yussuf - Mjumbe


Source: Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM

Hapo mkuu ni kwamba kuna wawakilishi wa ASP yaani Zanzibar na wa TANU yaani Bara.
Tukimtoa Mzee Kawawa tunabaki na wajumbe 37. Kati ya hao 16 ni wazanzibar na 21 ni wabara.

Given that.
Zanzibarians 16 members = 43.25% na kama tujuavyo "wazanzibari" halisi waislamu ni asilimia 99. Ndio maana wote ni waislam.

Bara 21 members Muslims 7 = 33.3333%
Christian 14 = 66.6666%.

Nadhani utakuwa umeridhika na mchanganuo hupo juu.

Ili kuweza kuweka uwiano sawa ni mikakati ya kuingiza wakristo kwa wingi zanzibar yaani unguja na pemba kisha kuwaweka kwenye nafasi mbalimbali za uongozi in next 20 years hao waislam watabakia wawili watatu tu!
 
Mods, na wana JF,

Haitakuwa busara kwa thread hii kuipeleka sehemu ya dini, inajulikana sehemu hiyo haifikiwi na watu wengi hapa JF ikiwa mimi mmoja wapo.

Ni matumaini yangu kuweza kuiaccess hii thread na kuona mijadala ikichangiwa ili kuweza kujua ukweli.


Sitegemei kuwa JF/Mods wapo kwa ajili ya kuchochea chuki dhidi ya Serikali iliyopo madarakani kwani kama itakuwa ni hivyo basi wanafanya jambo la hatari sana linaloweza kutugharimu. Tumeona ile thread ya OIC ikiachiwa kuchangiwa na kila mtu na mwenye kila tusi dhidi ya dini ya kiisamu na kejeli akiachiwa kwa marefu na mapana. Kwahiyo sioni sababu ya hii thread ya kisiasa zaidi kutupiwa huko kusikojulikana.


Mwisho napenda kutoa angalizo:

Sio haki kuhamisha thread ya mtu na kuipeleka sehemu asiyokuwa na access nayo. Hapa JF ni sehemu ya kutoa mawazo na kila mmoja aheshimiwe mawazo yake na sio kufungwa na kutupwa kapuni.

Kuna tetesi Zimeenea mtaani kuwa baada ya JK kuingia madarakani aligomea ruzuku iliyokuwa ikitolewa na Serikali kuendesha makanisa pamoja na taasisi zinazoendeshwa na makanisa katoliki nchini kama shule, hospitali na vyuo. "The Government shall provide financial assistance to Church institutions and shall seek financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"

source
:The Memorandum of Understanding between the Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Episcopal Council (TEC) and the Christian Council of Tanzania-page 3 (attached herewith)

Nasikia JK aliwaambia kuwa nchi hii haina dini na itakuwa ubaguzi kuwapa ruzuku watu wa dini moja na kuwaacha wa dini nyinginezo akatolea mfano kuna waislam, wabudda, masingasinga, wahindu na wasiokuwa na dini je hao hawana haki ya kupewa ruzuku? na serikali ikitoa ruzuku kwa hawa wote itawezaje kujiendesha? Basi bora mkose wote. Hapo naona JK aliona mbali sana ila hakujua kama anajiharibia yeye na chama chake. Na ndio maana kwa kutumia mlango wa nyuma kuna chama kikasimamisha watumishi wa Mungu kwa wingi na kufanikiwa kupenya kila pembe ya Tanzania. Inasemekana Kanisa liliplay part kubwa kwa mafanikio ya chama fulani. Na hizo zilikuwa ni hasira za watumishi wa kanisa.

KUNA TETESI KUWA WAFUATILIAJI WA MAMBO WAMEITHIBITISHIA SERIKALI UBADHIRIFU MKUBWA WA RUZUKU ILIYOKUWA INATOLEWA NA SERIKALI SAMBAMBA NA MISAMAHA YA KODI. MISAMAHA HII YA KODI NI ILE YA UAGIZWAJI MAGARI NA VITU MBALIMBALI KUPITIA TRUSTEES ZA MAKANISA. NA TANGU KUANZA KUBANWA KUMEKUWA NA UAIGIZAJI WA VITU MDOGO TOFAUTI NA HAPO MWANZO, MAANA INASEMEKANA WAJANJA WALIKUWA WANATUMIA MWANYA HUO KUJINUFAISHA.

Ukiunganisha picha itaona hapo ndio chanzo hasa cha timbwili hili mnaloliona leo lililo vikwa ngozi ya vyama vya siasa ( upinzani ). Hapo awali Wakristo na CCM walikuwa chanda na pete. Ilikuwa ni kosa la jinai kwa mkristo mwenye imani kuwa upinzani ndio maana hata viongozi wao wengi mwaka 2005 walisema JK "chaguo la Mungu"

Leo hii ukitia pua tu JF na maeneo mengi kwenye mitandao na mitaani utakutana na shutuma kuwa JK ni Mdini, lakini hawatoi facts za udini wake.

Je, JK ni mdini?

Orodha ya Baraza la Mawaziri na Manaibu wa Wizara 26 za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2010 - 2015

  1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe (Mkristo)
  2. Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira (Mkristo)
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
  4. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
  5. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa (Mkristo)
  6. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi (Mkristo)
  7. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu (Mkristo)
  8. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika (Mkristo)
  9. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri (Mkristo)
  10. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii)Kassim Majaliwa -
  11. Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
  12. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu (Mkristo)
  13. Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
  14. Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
  15. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
  16. Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani (Mkristo)
  17. Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe (Mkristo)
  18. Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
  19. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
  20. Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo (Mkristo)
  21. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro (Mkristo)
  22. Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
  23. Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga(almaaruf Mawe Matatu) (Mkristo)
  24. Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka (Mkristo)
  25. Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye (Mkristo)
  26. Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige (Mkristo)
  27. Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja (Mkristo)
  28. Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
  29. Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli (Mkristo)
  30. Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe (Mkristo)
  31. Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
  32. Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
  33. Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami (Mkristo)
  34. Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu (Mkristo)
  35. Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa (Mkristo)
  36. Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo (Mkristo)
  37. Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
  38. Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya (Mkristo)
  39. Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka (Mkristo)
  40. Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga (Mkristo)
  41. Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
  42. Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
  43. Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi (Mkristo)
  44. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala (Mkristo)
  45. Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta (Mkristo)
  46. Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
  47. Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
  48. Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza (Mkristo)
  49. Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya (Mkristo)
  50. Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwinge (Mkristo)
Jumla yote ni 50 kati yao wakristo 32 na waislam 18.

Wakristo 64%
Waislam 36%

Ukiangalia wakuu wa mikoa na wilaya utaona wakristo ni wengi zaidi ya waislam sasa sijui na sifahamu huo udini wa JK upo wapi???

Mwenye data tafadhali azilete jamvini.


Kuna habari za hivi punde ni kuwa kuna makampuni zaidi ya 80 ya clearing and forwarding yamefungiwa kwa sababu mbalimbali kubwa hasa ubabu mashi. Inajulikana kwenye sekta hii watu wa kutoka mkoa fulani wameishikilia kwa asilimia zaidi ya 80. Inasemekana sifa ya watu wanaotoka huko ni ujanja mwingi na ni wakwepaji wakubwa wa kodi na walitumia vizuri sana nafasi ya kuwa na udugu kuanzia uwaziri mpaka kamishna wakati wa Che Nkapa.

Ushauri kwa JK, Mkuu wee endelea kukaza buti watu walipe kodi kwa manufaa ya nchi usijali tunakusapoti kwa maana hawana shukrani Serikali imewaachia wamekula sana kodi kupitia ukwepaji na misamaha hewa lakini wamekuwa mbele kunyea kambi.


Mimi binafsi nisingependa kuongelea habari za udini. Ila najua kuwa Kikwete ni mdini. Naomba usitumie idadi kama njia ya kulinganisha. Jaribu kuangalia wizari muhimu zote ziko kwa wakina nani kama vile Afya, Fedha, Elimu, Ulinzi, mambo ya Ndani, Science na Technolpogia, Ochukuzi.

Tuna vielelezo vya ndani kabisa, ambavyo si busara kuvisema maana kadri tunavyozidi kuliongelea ndivyo linavyozidi kuathiri watz.
 
Aise huyu jamaa ni kilaza kweli.
1.Zanzibar waislam ni wengi zaid(+90%), so ni sawa kuwa hivyo kwao.
2.Makam wa rais wa tanzania anatakiwa atoke znz, according to jibu no1 juu hutakiwi shangaaa hili pia.
kama una akili huto reply otherwsie utaprove kuwa wewe ni kilaza!

Wewe ndiyo kilaza hasa! Kwa hiyo, watu kuwa viongozi huwa wanachaguliwa kwa vile ni wengi au kwa kuwa na sifa za kuongoza?
 

Kitafute kitabu Cha Haridh Ghasany kwakuwa upo nje itakuwa rahisi kukipata kisha soma kuanzia ukurasa wa 299 - 300 utaona mikakati ya ukristo kuukandamiza uslam na hata mapinduzi ya zanznibar ni kuogopa dola ya kiislam mwandishi ameelezea kwa kina na kunukuu vitabu kadha wa kadha vilivyo andikwa na wazawa pamoja na wazungu. Dont miss nadhani ukikisoma utachangia hoja kwa upeo mkubwa na hutakuwa mnafiki.

Shukran

Utajuaje haikuwa prejudice ya huyo mtunzi?
 
Watu wengine hawana akili sawa swa

Ailyewaambia hilo baraza ni huyo MTALII ni nani?

Hivo kwani mnadhani moyoni amependa achague vile?

Inaonekena watu wengine hamsomi alama za nyakati.

Rais ni mwingine, JeyK ni waziri wa mambo ya nje, Membe waziri kivuli
 
Naamini katika maisha ya kawaida ya mwanadamu hakuna jambo ambalo ni upuuzi mtupu, katika ujinga binadamu hujifuza, na katika uelevu humo pia hujifunza .kuhusu dini naamini kwamba ni ustaarabu ambao uliibuka mahali fulani kulingana na mazingira , ukienda mbali zaidi watafaiti wa maswala ya mambo ya kale dini imeelezwa kuwa chanzo chake ni hofu ya mwanadamu ,ingawa tunajua kuwa mwanadamu anahofu nyingi zisizopunmgua 901 .mwanadamu huyu tangu kuanza kujitambua kutokana na mchakato wa mabadiliko yake alikuwa anaogopa radi ,wanyama wakubwa hivyo akatafuta namna ya kuegamia kwa kujilinda na hatari hizo .sasa kuibuka kwa maendeleo ya ustarabu kwa dini hizi huko mashariki ya kati na kuingineko ,kila dini ilianza kujihisi kuwa bora kuliko dini nyingine acheni maalumbano dini hizi mbili sio asili yenu nidini kutoka mashariki ya kati .habari nya kulalamika tu hisaidii fanyeni juhudi za kujikwamua katika nyanja zote sio kulalamikiana fulani anapendelewa hapana tutaibomoa nchi yetu nzuri amabayo hatuwezi kwenda kuinunu katika duka lolote hapa ulimwenguni Tanzania ama tanganyika itabaki kuwa tanganyika na watu wake wanaoishi kindugu .
 
Waislam walikuwa na taasisi nyingi na shule nyingi sana tanzania nzima ( Tambaza, Azania, Dodoma Secondary) muulize mhe Hashim Saggaf au Sango Kipozi walisoma Dodoma Secondary ilikuwa shule ya nani. Shule hizi zilikuwa classic. shule hizi zilitaifishwa na serikali na mpaka leo hii zipo chini ya serikali huku serikali ikiwacha kanisa likichanuwa. Ni kweli lakini Kikwete angepata fursa ya kusoma ingekuwa taasisi za kiislamu zingepewa fursa sawa na za kiroma.

Nyumba nyingi za NHC ni za waislamu zilitaifishwa enzi za uhujumu uchumi ili kukwamisha maendeleo ya waislam ukizungumza ukweli wewe mdini mnataka waislam wakubali kuimba mapambia wakiingia kwenye ofisi za umma maana kuna vinanda vinalia kila ofisi ya serikali na mauwa ya chrismass acheni hizo chuki. Waislam walishakubali siku nyingi ila nyie mnachokonoa waseme...


Sokomoko naona uzee unaanza kukunyemelea,nakumbuka kipindi cha ukoloni shule nyingi zilikuwa za dini hilo halina ubishi lakini baada ya wakoloni kuondoka ulitaka wachukue waislamu na wakristo kutoka wapi wakati nchi haina kitu ndio maana wenye akili kama nyerere akazichukua na kuzifanya kuwa watu wote wewe ulitaka waarabu na wazungu waondoke nazo au wazibomoe, mbona unakuwa kama huna akili za kutosha.

By the way Ukristu na Uislamu ni nini kwa akili yako? Sisi sote tunamjua mungu ni moja haijalishi we dini gani huo ni utamaduni tu wa watu kama wamasai wanavyojifunika shuka, kikubwa umwamini mungu yupo na fuata maandiko yake inatosha.

Lakini tukianza kulumbana wewe dini gani, tutatoka hapo na kuuliza wewe kabila gani, tukitoka hapo tuuliza wewe ukoo gani mwisho the what.
 
Back
Top Bottom