Je, Kikwete ni mdini?

Je, Kikwete ni mdini?

Watu wengine hawana akili sawa swa

Ailyewaambia hilo baraza ni huyo MTALII ni nani?

Hivo kwani mnadhani moyoni amependa achague vile?

Inaonekena watu wengine hamsomi alama za nyakati.

Rais ni mwingine, JeyK ni waziri wa mambo ya nje, Membe waziri kivuli

Naunga mkono, raisi si JK.
 
Waislam walikuwa na taasisi nyingi na shule nyingi sana tanzania nzima ( Tambaza, Azania, Dodoma Secondary) muulize mhe Hashim Saggaf au Sango Kipozi walisoma Dodoma Secondary ilikuwa shule ya nani. Shule hizi zilikuwa classic. shule hizi zilitaifishwa na serikali na mpaka leo hii zipo chini ya serikali huku serikali ikiwacha kanisa likichanuwa. Ni kweli lakini Kikwete angepata fursa ya kusoma ingekuwa taasisi za kiislamu zingepewa fursa sawa na za kiroma.

Nyumba nyingi za NHC ni za waislamu zilitaifishwa enzi za uhujumu uchumi ili kukwamisha maendeleo ya waislam ukizungumza ukweli wewe mdini mnataka waislam wakubali kuimba mapambia wakiingia kwenye ofisi za umma maana kuna vinanda vinalia kila ofisi ya serikali na mauwa ya chrismass acheni hizo chuki. Waislam walishakubali siku nyingi ila nyie mnachokonoa waseme...
Inaonekana umekunywa pombe mchan bila ya kula chakula zimepanda haraka kichwani
 
ume heat, lazima kuwe na kelele nyingi tu. kikwete ni msimamia haki na ni jasiri asiyeogopa kelele za mapadri. ukweli ni kuwa ukisimamia ukweli na kuweka uwiano sawa ktk tz waonekana ni mdini hasahasa kama ni muislamu.
 
ume heat, lazima kuwe na kelele nyingi tu. Kikwete ni msimamia haki na ni jasiri asiyeogopa kelele za mapadri. Ukweli ni kuwa ukisimamia ukweli na kuweka uwiano sawa ktk tz waonekana ni mdini hasahasa kama ni muislamu.

yes! Ndio maana hata cj sasa ni muislam miaka 49 baada ya uhuru. Ni uadilifu wa hali ya juu.

Big up jk.
 
Wenzake wanakwenda shule za maana yeye ameng'ang'ania kuwa mwalimu wa madrasa ukimuuliza kamaliza level gani atakuambia alimaliza form 2 kinondoni muslim sec.

Kumbe na wamo kwa kejeli za kidini..mnaficha lakini hamkawia kuji-expose

Wakristo wamesoma sana hadi wanaruhusu ******* kuwa makasisi...wasomi sana nyie bana"
 
Dini ya mtu haiwezi kutambuliwa na jina lake , hayo ni makosa makubwa.
Mfano mzuri , ni jaji ramadhani hili ni jina la kiislamu lakini alikuwa anapiga kinanda st. Albani
wapo wabunge ambao majina yao ni ya kiislamu lakini tumewaona wakiaapa kwa kutumia bibilia. Na wabunge ambao wana majina ya kikristo wanaapa kwa qorani.

Pia mtu kama rostam hajawahi kutokea kuchangia musikiti lakini anaonekana akichangia kkkt, moroviani, free pentecosite church n.k
lowassa ni rafiki mkubwa wa rostam hata kumiliki dowans / richmond . Sasa hawa udini wao unasaidia vipi taifa.???

Je hao wabunge waislamu wanawasaidia nini waislamu?? Zakia meghji anasaidia nini waislamu kama si ufisadi. Rais mkapa hana msaada wowte kwa wakristo zaidi ya wizi wa kiwira unaowasaidia familia yake tu!!!!!
 
Hata huyo jaji othmani teuliwa huwezi kusema ana maslahi na waislamu . Jiulize kikwete anawapenda shura ya maimamu??. Kwa nini kikwete asiteue shura ya maimumu anateua bakwata ambayo haitakiwi na waislamu??
 
ni kicheko na kituko cha mwaka pale mwana jf anapo compare 64% dhidi ya 36% kwenye baraa la mwairi...........ukweli uko hivi, kwa kuwa wislamu ni watu wa madrasa na sio madarasa basi hatukutegemea kuwaona idadi kiasi hicho....kwa upeo mdogo na ushawishi wa dini ni rahisi mtu kuja n kupotosha ukweli kirahisi kbisa............
1. wanaomalia vyuo mblimbali nchini waislamu ni 5%-10% wakati wakristo ni kati ya 93%-100%
2. ukienda kwenye taasisi mbalimbali au wakati wa kuomba kazi wahusika w taasisi na makampuni hupokea 90%-100% ya maombi ya kazi wakiwa wakristo na wnaobaki ni waislamu na wasio na dini
3. ukiangalia hata takwimu za mtokeo ya mitihani ya shule na vyuo za kiislamu....waislamu wanadeli kwa zaidi ya 75% wakati wkristo katika shule na vyuo ufaulu huwa zaidi ya 70%
4. Waislamu wanaofaulu interview huwa ni kati ya 5%-10% wakati wakristo huwa kati ya 50%-85%
SWALI!
Wakati takwimu zinakataa kutokana na uvivu wa waislamu (ndiyo maana wanapenda vya bure-oic na wanataka serikali iendeshe dini yao-UVIVU WA KUPUNDUKIA)....INAKUAJE HAOHAO AMBAO HAWAONEKANI SHULENI AU WAKIONEKANA BASI WAMEFELI VIBAYA NA WANAKUWA HAWAFI KATIKA SEHEMU NYINGI IONEKANE WANAFAA SANA KWENYE BARAZA LA MAWAZIRI AU ZILE NFASI ZA KUTEULIWA NA RAIS MUISLAMU.........SISI TUNASEMA MWENYE HAKI APEWE HAKI YAKE NA HATA KM NI MTOTO WAKO UNAMPA ELIMU YEYE KAAMUA KUSHINDA VIJIWENI HWEZI KUWA SAWA NA YULE AMBAYE AMEAMUA KWA DHATI....WAISLAMU KWA JINSI WALIVYO WAVIVU ILIFAA WAWE CHINI Y 5% KWA KUWA NDIVYO WALIVYOLELEWA NA HAWATAKI KUJIKOMBOA WENYEWE MPAKA KIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU NA AMBYE AMEAPA KUWASAIDIA WAISLAMU APATIKANE NDIPO AANE KULAZIMISHA.........
HEKO KIKWETE ULIYEAPA KUFA NA DIDI YAKO KWA GHARAM YOYOTE IKIWEMO KUMWAGA DAMU....TUKO TAYARI KUMWAGA DAMU.
 
Jile79
asante kwa takwimu zako. naomba source uliyotumia ambayo imethibitisha waislam ni "wavivu" ndo maana wachache shuleni na hivyohivyo wachache makazini.

asante.
 
Umenikumbusha 'observation' hii mtaani kwetu. Siku za mapumziko, watoto wakristo na wasio wakristo wanaenda tuition na waislamu wanaenda madrassa. Tuchukue kama hii itaendelea kwa miaka 13 (yaani darasa 1 hadi kidato cha 6) ina maana uwezekano wa kufaulu masomo ya shuleni utakuwa kwa wakristo na wasio wakristo zaidi na waislamu watakuwa wanashinda mashindano ya kusoma Qur'an.

Baada ya hapo, obviously, waliokuwa wakienda tuition wataweza kupata nafasi zaidi chuo kikuu au vyuo vingine na wale wa madrassa wataishia kufanya umachinga na kucheza pool... Cha kufanya: si kulalamika tu bali ni kuchukua hatua - kwenda shule - ili idadi ya wanafunzi waislamu wanaofaulu iende juu na waweze kushindana vizuri na wanafunzi wenzao na hata kwenye ajira. La sivyo, kutakuwa na manun'guniko yasiyo na maana kila mara. Hivi, kwa nini kuna uvivu kwenda shule lakini kuna nguvu nyingi kwenye kulalamika tu?
 
Nazan tunachanganya mambo
alafu tu wabinafsi sana sisi watanzania kwa mfano kuhusishwa shule za waislam kutaifishwa ivi ni shule ngapi za wakristo zimetaifishwa ukianzia na ilboru(kaskazini)pugu,minaki(pwani)( hadi kusini) mtwara na songea kigonsela?
Ubunifu ziro sisi wabongo mfano kuhusu ruzuku je hizo taasisi ziliomba mikataba na serikali ikanyimwa au walisubili wenzao waombe nao walalamike?au waliponyimwa walichukua hatua gani km walinyimwa?
Kuhusu ruzuku,je waliomba wakanyimwa?ivi kuipa kampuni ya simu ya mwekezaji msamaha wa kodi au mgodi na kuipa hosp kipi cha muimu kwa watanzania?
Miradi ya maendeleo km hosp,shule,vyuo,angalia ubora na umakini na ufanisi,ivi kcmc na bugando unaweza ukalinganisha na
hosp zetu?sitaki kuzitaja jina,maana kuna huduma au kozi ambazo hata muhimbili hakuna au nadanganya,?kuna mengi sana kwenye utawala,ivi tunagawa vyeo km pipi ili kuonyesha hatuna upendeleo au tunaangalia ufanisi wa mtu?
NinA mengi ila naomba niishie hapa,ila tutafakari kabla ya kuamua
 
Jile 79
tunaomba utumwagie source kama alivyo request mdadisi. Magobe T; hio observation ya mtaani kwenu sio, sasa je mitaa mingine iko hivo hivo? kwenda twishen ndio kufaulu? mimi nawatambua waislamu wenye majina makubwa kitaaluma na hawakuwa waendaji tuition. Hizi analysis zenye bias ziwachwe; kwanza ndio zinakuza chuki na mgawanyiko. Eti kuna mchangiaji anasema JK amejitolea kumwaga damu, na sisi tuko tayari; Jamani, pimeni posting zenu humu. Damu ikimwagika unafikiria utapona wewe? usifanye mchezo na damu. Watu wanatakiwa waseme kwamba tunataka sustainable development, tunataka balanced development. Siyo kule mtwara tunakusahau mpaka Big Ben alipopeleka Barabara. We have to be impartial and fair. Utanzania uwe mbele, udini na ukabila usiwe chachu.
 
Mi naamini kwa kiasi kikubwa kuwa kikwete anataka kutugawanya watz kwa imani zetu. Haiwezi kuingia akili kwetu kuwa raisi mara zote anaihusisha CHADEMA kuwa nichama cha kidini. Kwa maana ya chama cha kikristo. Lkn bado hatuambii kuwa CCM na CUF ndivyo vyama vinavyoendekeza udini. Kampeni za CUF zinafanyika kwenye misikiti. Lkn huyo huyo raisi bora hakiongelei. Udhaifu wa kikwete kuhusu suala la kidini ambalo halipo kuendelea kuushadidia hili linaonyesha kuwa raisi wa nchi ama anashauriwa vibaya ama analitumia suala hili kuonyesha kuwa anajali; si anajua udhaifu wa watz?

Kiongozi wa nchi kuongelea suala la udini pale ambapo halipo, inaonyesha udhaifu wake. Ama ni mvivu wa kufikiri au anashauriwa vibaya. Au zaidi anasikiliza ushauri wa mke (m/ke) kuliko washauri wake. Sitegemei kuwa anampata nafasi kubwa mkewe na kama anafanya hivyo basi hatuna raisi.

Huwezi kupata ushauri wa maana kutoka kwa mwenzi wako awe m/ke au m/mme kama raisi ni m/ke ukawa ushauri wa maana hata ungekuwa mzuri kiasi gani. Bora ukapata ushauri mbovu kutoka kwa washauri wako ukaonekana umeshauriwa vibaya kuliko kupata ushauri wa kutoka kitandani kwenu.

Hili Mwalimu alishawahi kulizungumzia sana na madhara yake tulishayaona. Hatuna maana la kuliongelea. Na kama raisi anakwenda kwa viongozi wa imani yake ili wamshauri jinsi ya kuongoza na hapo kuna tatizo kubwa. Je, wakikushauri uongoze kwa misingi ya kikristo au kiislamu na wewe unajua kuna wengine hawana imani za namna hiyo itakuwaje?
 
Inasikitisha kuona una imani ya namna hiyo; and you are a great thinker that is why you are here.

CHADEMA kiutendaji kinaongozwa na Dkt Slaa ambaye ni Padre. Iringa Mbunge Padre. Kampeni za Dkt Slaa zilikuwa zinaanza kwa mapambio ya kwaya za kumsifu Bwana. CUF na wao wanapiga za kidini kule Ntwara. Sasa sijui unakubali kwamba CDM kina udini? Au unakataa? Au ndio kikwete?

FAFANUA

Mi naamini kwa kiasi kikubwa kuwa kikwete anataka kutugawanya watz kwa imani zetu. Haiwezi kuingia akili kwetu kuwa raisi mara zote anaihusisha CHADEMA kuwa nichama cha kidini. Kwa maana ya chama cha kikristo. Lkn bado hatuambii kuwa CCM na CUF ndivyo vyama vinavyoendekeza udini. Kampeni za CUF zinafanyika kwenye misikiti. Lkn huyo huyo raisi bora hakiongelei. Udhaifu wa kikwete kuhusu suala la kidini ambalo halipo kuendelea kuushadidia hili linaonyesha kuwa raisi wa nchi ama anashauriwa vibaya ama analitumia suala hili kuonyesha kuwa anajali; si anajua udhaifu wa watz?

Kiongozi wa nchi kuongelea suala la udini pale ambapo halipo, inaonyesha udhaifu wake. Ama ni mvivu wa kufikiri au anashauriwa vibaya. Au zaidi anasikiliza ushauri wa mke (m/ke) kuliko washauri wake. Sitegemei kuwa anampata nafasi kubwa mkewe na kama anafanya hivyo basi hatuna raisi.

Huwezi kupata ushauri wa maana kutoka kwa mwenzi wako awe m/ke au m/mme kama raisi ni m/ke ukawa ushauri wa maana hata ungekuwa mzuri kiasi gani. Bora ukapata ushauri mbovu kutoka kwa washauri wako ukaonekana umeshauriwa vibaya kuliko kupata ushauri wa kutoka kitandani kwenu.

Hili Mwalimu alishawahi kulizungumzia sana na madhara yake tulishayaona. Hatuna maana la kuliongelea. Na kama raisi anakwenda kwa viongozi wa imani yake ili wamshauri jinsi ya kuongoza na hapo kuna tatizo kubwa. Je, wakikushauri uongoze kwa misingi ya kikristo au kiislamu na wewe unajua kuna wengine hawana imani za namna hiyo itakuwaje?
 
Inasikitisha kuona una imani ya namna hiyo; and you are a great thinker that is why you are here.CHADEMA kiutendaji kinaongozwa na Dkt Slaa ambaye ni Padre. Iringa Mbunge Padre. Kampeni za Dkt Slaa zilikuwa zinaanza kwa mapambio ya kwaya za kumsifu Bwana. CUF na wao wanapiga za kidini kule Ntwara. Sasa sijui unakubali kwamba CDM kina udini? Au unakataa? Au ndio kikwete?FAFANUA
Mkuu hapa jamvini swali kama hilo haliwezi kujibiwa sana sana utaambiwa crap!hapa jf unatakiwa uje na post zenye mapambio ya kumsifu bwana slaa na cdm yake ole wako uandikie sijui slaa ni padre au hajaoa utashukiwa kama kifaranga cha kuku kinavyoshukiwa na mwewe.
 
Nilidhani Kawambwa ni muislamu, ila Sophia Simba ni Mtoto wa kiislamu kuzliwa ila ni Mkristo kukuzwa , sas sijuikama wengine pia umepatia au ndio umefuata majina zaidi!
 
Nilidhani Kawambwa ni muislamu, ila Sophia Simba ni Mtoto wa kiislamu kuzliwa ila ni Mkristo kukuzwa , sas sijuikama wengine pia umepatia au ndio umefuata majina zaidi!

Sio kama hilo silifahamu ila juu ya hivyo nimewaweka kwa vigezo vya majina yao ku balance.
 
Back
Top Bottom