Je, Kikwete ni mdini?

This post from Sokomoko is one of the post that need to be discussed and im very happy for bringing this matter here coz majority of us here in JF tunaeneza propaganda za ajabuajabu kuhusu Kikwete na Uislam.

Big up sokomoko
\

I feel sorry mpaka sasa ndugu zetu wanaosema Jakaya ni mdini hakuna alieleta facts za kuonyesha udini wake zaidi ya kebehi na maneno ya kashfa juu ya uislam na waislam. I hope Mwanakijiji atapitia kitabu cha Kwaheri ukoloni karibu uhuru atakuja na uchambuzi makini na kuona tatizo lipo wapi na lirekebishike vipi.
 

Akili za kuambiwa changanya na za kwako! This is a useless thread. Pole Ustaadhi
 

Yes.
 
Kati ya wajinga waliopo wa namna hii aliyeleta thead hii hali yake ni mbaya zaidi. Huu ni upuuzi mkubwa. Upuuzi wa kidini usituletee hapa. Acha kama ulivyoacha ziwa ulilonyonya na ukome.
 

Kama kigezo pekee alichotumia kuteuwa mawaziri ni hiki unachokiongelea basi jibu la swali lako la kama Kikwete ni mdini ni NDIYO. Naona amechagua wakristo na waislam peke yao wakati kwenye nchi hii tupo na wapagani wengi sana na wengine ni waumini dini nyingine ndogodogo kama Budha, wahindu etc.

Na kwa taarifa yako siyo kila anayeitwa John ni mkisto na siyo anayeitwa Juma basi ni mwislam. Kuna wapagani wengi tu wana majina yanayofanana na hayo ya wanaojiita wakristo na waislam.
 
Smoke screen hii, kama kawaida badala ya kujadili matatizo na kero sugu mbalimbali zinazozikabili taifa watu mnakimbilia kujadili dini walizoleta wafanyabiashara ya watumwa na wakoloni.

Jana mimi nimelala gizani na bila maji kama vile ninavyofanya kwa wastani wa miezi 3 kila mwaka toka 2004. Nyie je?
 
 
Kikwete sidhani kama ni mdini ila ana dini yake anayoipenda, mdini ni wewe ambaye unachukuwa muda kuorodhesha idadi ya wakristo walioko kwenye baraza la mawaziri. Huo unaofanya ni udini tena wa kijinga. Napenda nikufahamishe pia kuwa idadi kubwa ya wabunge la Jamhuri ya Muungano ni wakristo, aidha idadi kubwa ya madiwani, wenyeviti wa vijiji na wajumbe wa nyumba kumi ni waislamu. Ila naomba ufanyie kazi idadi ya wanafuzi wanaofanya vizuri kidato cha Nne, cha sita na shule walizotoka. Uelewe bayana kuwa, uwezo wa mtu ndiyo hutumika kupewa madaraka na majukumu sio kutumia kigezo cha anatoka dini gani. Tambua wazi kuwa sifa za kumpata askofu au shehe sio zinazotumika katika kupata viongozi wa kisiasa.
 
Nyie shule bado ni tatizo mungu hakutoa karama hiyo kwenu mlichoambulia ni migogoro fitna na mauaji ya kujitoa mhanga!!!!!!!!!!
 
Angewapata waisilamu wengine zaidi wenye sifa angewaweka humo kwanza. Tatizo waisilamu waliisha ndo akalazimika kuchagua wakristu!
 


Pumba!
Kama unaona CCM ina ushirika na Ukristo, nenda kajiunge CUF
Utalia sana lakini ukweli uko pale pale: huna hoja, ndiyo maana unakimbilia udini.
Nenda kawasomeshe wenzio, badala ya kukazania kushikishwa kuta!
 
Pumba!
Kama unaona CCM ina ushirika na Ukristo, nenda kajiunge CUF
Utalia sana lakini ukweli uko pale pale: huna hoja, ndiyo maana unakimbilia udini.
Nenda kawasomeshe wenzio, badala ya kukazania kushikishwa kuta!

Hili ni neno la leo
 

KAZI ILIYOBAKI NI MOJA TU:
Wakati wewe unalia lia na udini, wenzio wanachapa kazi, kipato chao kinakua kikubwa. Wanajenga miradi mikubwa mikubwa, wewe unajenga misikiti.
Wanajenga mashule , wewe unanunua viwanja katikati ya jiji ili usijenge hata shule.
Basi , utakapomaliza kulia, watu watakuwa wamechukua uchumi wote.
Nakupa pole sana kwa ufinyu wa welewa wako......
 

1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Jakaya Mrisho Kikwete (Muislam)
2. Makamu wa kwanza wa Rais wa jamhuri ya Muungano: Ghalib Bilali (Muislam)
3. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar: Mohammed Sheni (Muislam)
4. Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar: Seif Sharif Hamadi (Muislam)
5. Makamu wa pili wa Rais Zanzibar:..................................
6. Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano: Mizengo Kayanza Peter Pinda (Mkristo)...

Hapo jee
 

John,
Ndiyo maana tunataka katiba mpya ili wewe uweke malalamiko yako humo , yajadiliwe na yapimwe kama yana mantiki.
Sioni busara yoyote ya hiyo Geographic represantation, maana nashindwa kujua utawezaje kulinganinisha unguja na Mwanza.
Sasa basi, kwa kuwa uko serious na umetumwa na huyo mdini ( Yes, ni wewe umeuliza kama JK ni mdini au la), basi mshauri aanzishe mchakato wa Katiba mpya, ili hayo ya equal representationn , OIC, KADHI, kubadilishana madaraka and all the non sense yajadiliwe na opublic ya Tanzania na uone yana kubalika vipi
Sawa Mzee?
 
Ivi mtoa mada lengo lake ni nini hasa?

Jamaa ni wale waislam wanaovaa kanzu kuu kuu, bagarashia na kandambili. Kutwa kushinda Misikitini kusubiri wapewe misaada! hana uwezo wa kufikiri mbali na urefu wa pua yake!
 

That is something people should reckon at!

Badala ya kujadili namna ya kuondokana na matatizo yanayotukabili ambayo yanatokana na viongozi wetu na wananchi wenye dhamana kuksa nidhamu na uadilifu tunakimbilia kuchikoza mijadala yenye mwelekeo wa uvunjifu wa amani. Hivi kwa nini hatujiulizi ni kwa nini tangu uhuru ambapo keshokutwa tunatimiza miaka 49 hatujawa na mkakati wa kudumu wa kupambana na tatizo la umeme? Tunabuni viji-mbinu vya zima moto mradi myanya ya ki-richmond ipatikane! Kweli kwa nusu karne nchi imekosa viongozi wenye akili kutafuta suluhu ya kudumu ya matatizo haya au watu wanafanya makusudi ili ulaji uendelee kuwepo?

Nawaombeni sasa badala ya kuongea mambo yasiyo na tija tujadili ya maana!!
 

Mkuu watu wa aina hii na kanzu zao kuu kuu,na kandambili chakavu. Huwezi jadiliana nao kitu wao huwaza lini watapewa wali bure na tende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…