X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,604
- 1,848
Mimi sibishani na muimba nyimbo za mipasho!Acha inferiority complex..wewe na wenzako kama mliona usilamu unatukanwa mlibonyeza kitufe kuwaambia MODS? Mliwaarifu wakakataa kurekebisha ? Sasa kama hamkufanya hivyo kuwalaumu MODS waonekane kama ni maadui wa Usilamu huoni kama ni kuleta mfarakano? Kama wewe na wenzako mnaona JF inapinga usilamu, tangia muanze kulalamika mbona bado mpo? Nyie ni wanafiki wakubwa na ningekuwa MOD mngechezea server ban nyote nyie.