Je Kati ya Computer na Binadamu nani ni smart zaidi?

Unaweza kui program na bado ikakuzidi uwezo,Wewe kwa ubongo wako unaweza hata kukariri page moja excel sheet kwa usahihi kuizidi computer?
Mkuu binadamu ni so smart yani smart sana kuliko hata tunavyofikiri.
Ntakupa mfano mmoja.
Ebu assume unataka kuvuka barabara.
Kuna gari inakuja kwa mbali,
Muda huo huo ukilitazama unang'amua kasi yake, unatazama upana wa barabara pale uliposimama hadi upande wa pili, ubongo unapga hesabu ya fasta kwa speed ile ya gari, na upana wa barabara utembee kwa speed kiasi gani uvuke kabla gari halijakufikia.
Ni hesabu ambazo ubongo unazifanya kila mara katika mambo mengi kwenye subconscious kwenye kila kitu lakini tunazichukulia for granted.
Hesabu nyingine ni ya kushika vitu.
Ukishka glass, utafeel hiki ni kioo ubongo automatically utakufanya usiapply too much pressure ni hesabu hiyo.
Mara nyingi tunatembea au kuendesha gari mawazo yakiwa mbali yet tunakweba obstacles bila hata kujua.
Binadamu ni smart complicated sana. Sidhani kama itawezekana any machine kumpiku binadamu.
Njoo kuadapt kwenye hali flan.
Unakuta uko sehemu baridi, ngozi inadevelope magamba mwili unakakamaa kama mhogo we wadhani ugonjwa kumbe ndo unakulinda hivyo dhidi ya baridi.
Ukimfikiria mwanadamu, unagundua tuko smart kuliko hata neno smart lenyewe.
 
And delicate too
 
Ukitaka kujua ipi ni smart kati ya computer and human being kasome course ya Artificial intelligent (AI)
Kwanza computer huwa inafanya kazi zote ambazo ni programmed instructions na hivyo data au taarifa yeyote ambayo haipo kwenye mfumo wake wa software or instruction haiwezi kuwa excuted au kutambuliwa na computer hiyo ( lack reasoning capacity)

Computer huwa haifikili bali ina toa output kulingana na namna ambavyo binadamu ameipa instructions ya kutoa output

Computer haiwezi badili output yake bila kuibadilishia instruction ya kufuata au kubadili input

Binadamu Ana smart mind kwa kuwa anawezo wa kufikili na ku reasoning bila kuhitaji maelekezo au taarifa mpya.
 
Acha uongo!

Hata binadam hawezi kufanya kazi yoyote bila ya kuwa programmed kwanza. Nikupe mfano?

Tuseme wewe ni Dereva wa Lori. Ndio kazi yako. Ulienda VETA ukawa programmed kuendesha Lori tu.

Sasa ghafla tukubebe mzobe mzobe hadi Theatre Room hospital tukuambie mfanyie Operation ya moyo mgonjwa!

Tukuache humo peke yako, UTAWEZA?

Hata binadam lazima awe programmed. Hawezi kufanya kila kitu!
 
Binadamu tunasema anauwezo zaidi ya Computer kwasababu ya kitu tunaita "Intelligence" hiki kitu computer hazina kabisa, computer haiwezi kufikiri jambo na kulifanya yenyew kama yenyewe. Lazima iwe instructed kufanya jambo fulani

naona kwa sasa mambo ya Artificial Intelligence yanakua kwa kasi sana, wakifanikiwa kwenye hili 100% au hata 95% tu.. basi computer zitaku a na uwezo mkubwa kuliko binadamu.

AI inakua lakin Computer bado itakuwa machine tu kama machines zingine kuna vitu kama reasoning& emotions kwenye computer ni ngumu mpaka iandikiwe codes, computer haiwez kuwa objective maana siku zote inafuata algorithms... hata iweje binadamu siku zote ni smart kuliko Computer.

Mfano: Siri naona she’s dumb( AI iliyopooza)
 
Hata Sisi binadamu tunafata algorithm
 
Ukitaka kujua ipi ni smart kati ya computer and human being kasome course ya Artificial intelligent (AI)
Kwanza computer huwa inafanya kazi zote ambazo ni programmed instructions na hivyo data au taarifa yeyote ambayo haipo kwenye mfumo wake wa software or instruction haiwezi kuwa excuted au kutambuliwa na computer hiyo ( lack reasoning capacity)

Computer huwa haifikili bali ina toa output kulingana na namna ambavyo binadamu ameipa instructions ya kutoa output

Computer haiwezi badili output yake bila kuibadilishia instruction ya kufuata au kubadili input

Binadamu Ana smart mind kwa kuwa anawezo wa kufikili na ku reasoning bila kuhitaji maelekezo au taarifa mpya.
Inaweza kubadili output kasome deep learning
 
Mkuu binadamu ni so smart yani smart sana kuliko hata tunavyofikiri.
Ntakupa mfano mmoja.
Ebu assume unataka kuvuka barabara.
Kuna gari inakuja kwa mbali,
Muda huo huo ukilitazama unang'amua kasi yake, unatazama upana wa barabara pale uliposimama hadi upande wa pili, ubongo unapga hesabu ya fasta kwa speed ile ya gari, na upana wa barabara utembee kwa speed kiasi gani uvuke kabla gari halijakufikia.
Ni hesabu ambazo ubongo unazifanya kila mara katika mambo mengi kwenye subconscious kwenye kila kitu lakini tunazichukulia for granted.
Hesabu nyingine ni ya kushika vitu.
Ukishka glass, utafeel hiki ni kioo ubongo automatically utakufanya usiapply too much pressure ni hesabu hiyo.
Mara nyingi tunatembea au kuendesha gari mawazo yakiwa mbali yet tunakweba obstacles bila hata kujua.
Binadamu ni smart complicated sana. Sidhani kama itawezekana any machine kumpiku binadamu.
Njoo kuadapt kwenye hali flan.
Unakuta uko sehemu baridi, ngozi inadevelope magamba mwili unakakamaa kama mhogo we wadhani ugonjwa kumbe ndo unakulinda hivyo dhidi ya baridi.
Ukimfikiria mwanadamu, unagundua tuko smart kuliko hata neno smart lenyewe.
Kweli,Umeelezea kwa namna nzuri sana, ahsante mkuu
 
Ungekua mwanasayans kidogo tu ungetambua kua mwil wa mwanadam ni limachine complex kuliko machine yoyote ulimwengun hapa..sema sabab huelew of which si kosa lako so nakuonea hurima tu

Perhaps think of this...mifumo ambayo ipo kwenye mwil wa binadamu inayoendesha mwil wa binama..umeme uliomo ndan ya mwil wa mwanadam jins unavyosafiri na kupelekea taarifa thru neurons..taarifa za matendo ya cells.tissue etc znavyochakatwa na kutafsiriwa withn fraction of a second..balance ya mwil wa mwanadam..huanguki kwasabab..memery..hiv unajua jicho la mwanadam linachambua mega pixel ngap?..hiv unajua for a fraction of a second ubongo wa binadam una hifadh na ku delete data kwa kias gan?...una jikata leo na wembe unakaa siki tatu ngozi inajiunga tena..hiv ushawai waza haya wew kiazi?
Umeharibu mchango wako kwa kuigiza lugha zisizo na staha
 
Ebu fikiria mechanism iliyopo kwenye excel na word

Hata uwe na documents yenye pages 100 computer inaweza kukuhesabia idadi ya maneno kwa sekunde tena kwa usahihi kabisa, kitu ambacho hakiwezekaniki kwa binadamu
Nakubaliana na wewe kuna vitu ubongo wa binadamu hauwezi kushindana na computer
 
Kweli,Umeelezea kwa namna nzuri sana, ahsante mkuu
Sisi ni smart sana na kila sekunde ubongo unafanya hesabu ukiwa watembea usigongane na vitu ukate vipi kona vyote kwenye subconscious kiasi kwamba we don't even think or realize.
Binadamu ana input device za kila aina kuanzia macho kama camera, ngozi kama heat detector, na kwa ajili ya kuhisi mazingira, masikio kama sound input sawa na mic, na hisia nyingone ambazo hata hatuzielewi. Mfano kama kuna hatari nywele kusisimka, au kuna jambo baya limetokea unaanza kufeel something is not okay.
Ukija kwenye uhifadhi wa data, we fikiria unakumbukumbuku kiasi gani kwenye kichwa chako tena kwa format za video tupu.
Yani toka unajitambua unaweza kukumbuka tukio kuanzia mwanzo mpaka mwisho kama unatazama video.
Kumbukumbu ulizobeba kama zikigeuzwa kwenye data ni ma tb na ma tb
Binadamu ni complicated na smart sana. Njoo kwenye mfumo wa uendeshaji mwili, jinsi mwili unavyotengeneza kinga, unavyochukua hatua kukulinda, yani huo usmart wa hali ya juu sana.
Sema tunayachukulia poa kwasababu yanatendeka bila hata kufuatilia.
 
Mkuu binadamu ni so smart yani smart sana kuliko hata tunavyofikiri.
Ntakupa mfano mmoja.
Ebu assume unataka kuvuka barabara.
Kuna gari inakuja kwa mbali,
Muda huo huo ukilitazama unang'amua kasi yake, unatazama upana wa barabara pale uliposimama hadi upande wa pili, ubongo unapga hesabu ya fasta kwa speed ile ya gari, na upana wa barabara utembee kwa speed kiasi gani uvuke kabla gari halijakufikia.
Ni hesabu ambazo ubongo unazifanya kila mara katika mambo mengi kwenye subconscious kwenye kila kitu lakini tunazichukulia for granted.
Hesabu nyingine ni ya kushika vitu.
Ukishka glass, utafeel hiki ni kioo ubongo automatically utakufanya usiapply too much pressure ni hesabu hiyo.
Mara nyingi tunatembea au kuendesha gari mawazo yakiwa mbali yet tunakweba obstacles bila hata kujua.
Binadamu ni smart complicated sana. Sidhani kama itawezekana any machine kumpiku binadamu.
Njoo kuadapt kwenye hali flan.
Unakuta uko sehemu baridi, ngozi inadevelope magamba mwili unakakamaa kama mhogo we wadhani ugonjwa kumbe ndo unakulinda hivyo dhidi ya baridi.
Ukimfikiria mwanadamu, unagundua tuko smart kuliko hata neno smart lenyewe.
Nakubaliana na wewe lakini kuna baadhi ya kazi binadamu anazidiwa,kwa mfano binadamu hana uwezo wa kutunza kumbukumbu la salio la wateja hata wa tawi moja tu la benki lakini computer ina uwezo huo
 
Back
Top Bottom