Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,373
- Thread starter
- #21
Ni kweli binadamu anaiwezesha computer ila ikianza kufanya kazi binadamu hawezi kushindana nayoComputer iko vizuri sababu in memory kali ambayo sio rahisi kufa labda storage device ipate hitilafu!
It remains a computer sababu iko programmed na binadamu ila kimsingi inaweza kufanya mambo mengi sana kwa wakati mmoja tofauti na ubongo wa binadamu! IBM na Bill gates walikuwa magenius kwa kutuletea software na programmable machine!