Je Kati ya Computer na Binadamu nani ni smart zaidi?

Ni suala la Muda mfupi tu kabla AI (Computer) haijaimpita binadamu kwa Kila kitu... kwa sasa imempita Binadamu kwa narrow intelligence tutakapo fikia kutumiwa Quantum computers zitatushinda kwa General Intelligence...
 
Hizo quantum computers zinakuwaje na zinafanya kazi gani?
 
Japo mimi sio professor ila binadamu tunazidiwa mbali na compute.. ukizungumzia computer jua unazungumzia muunganiko wa watu wengi wenye akili

Napata mashaka kama kwenye hilo kundi la watu mnaowa compare na computer na mimi nimo aiseee mtakua mnakosea sana

Mimi sijui hata umuhimu wa kua na nywele
 
Wakuu,
Matajiri wawili wakubwa duniani waliwahi kutoa maoni yao juu ya uwezo wa computer;

Elon Musk yeye alisema computer ni smart zaidi ya binadamu kwenye maeneo mengi

Jack Ma yeye alisema Computer zina uwezo lakini binadamu ni smart zaidi kwa sababu binadamu ndio aligundua computer lakini hakuna computer imegundua binadamu;

Mimi nadhani wote wako sawa;

Nini maoni yako?

Credits;Quora forumView attachment 2032925View attachment 2032926View attachment 2032927
Umenikumbusha ile interview alofanya jack ma na elon musk kule china. Jack Ma aliongea pumba sana japo khs hili la binadam kuzidi uwezo wa kiakili computer alikua sahihi.

Kwa mtazamo wangu nadhani majibu ni tofauti kutokana na context. Mfano tukiangalia kati ya computer na binadam nani anaweza kumtengeneza mwenzake thn utapata jibu tofauti na ukiangalia uwezo wao wa kucheza chess.

Kwa hoja za Elon Musk nilitoka na baadhi ya lines lkn ilonivutia zaidi elon alisema 'For computers a millisecond is an eternity, but for humans it's nothing' Akimaanisha muda computers zinazotumia ku-execute instructions na kufikiria.
 
Japo mimi sio professor ila binadamu tunazidiwa mbali na compute.. ukizungumzia computer jua unazungumzia muunganiko wa watu wengi wenye akili

Napata mashaka kama kwenye hilo kundi la watu mnaowa compare na computer na mimi nimo aiseee mtakua mnakosea sana

Mimi sijui hata umuhimu wa kua na nywele
 
Kompyuta kazi yake ni kufanya processing ya instructions za program mbalimbali. Program hizo zinaundwa na binadamu na program ya kompyuta huwa smart pale inapokuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi na tofauti tofauti hivyo smartness ya computer inategemea namna ambavyo ipo programmed. Na sidhani kama kuna siku binadamu ataweza ku program kompyuta beyond upeo wake mwenyewe.
Komputa inamzidi binadamu kwenye ufasaha katika utendaji wa mambo. Mfano, kompyuta ikiwa programmed kuhesabu 1 hadi milioni 1, basi itafanya hivyo bila makosa tofauti na binadamu.
 
Ukitaka kulinganisha vitu hakikisha vipo katika status moja, huwezi kulinganisha gari na tairi la gari utakuwa crazy,

The same huwezi kulinganisha binadamu na devices mbalimbali, Kwanza hizo device haziwezi kurun bila binadamu, zikiharibika zinatengezwa na binadamu.

Suala ni kwamba binadamu kakaa kaumiza kichwa kaamua kutengeneza kitu ambacho kitamsaidia katika kazi zake, Hivyo hauwezi ukatengeneza kitu ambacho ni dhaifu kuliko wewe, simply hakitakuwa na faida

So devices zilizotengenezwa zinafanya kazi under control lakini kazi yake inakuwa kubwa kuliko akifanya binadamu,

So huwezi sema gari,caluculator, computer nk ni bora kuliko mwanadamu

Ila unaweza kusema gari inatembea kwa speed kuliko mwanadamu,
Caluculator inafanya calculation zaidi ya binadamu

Computer inastore data zaidi ya binadamu

Yaani uwe specific, maana hata baiskeli inaweza kuwa bora kuliko gari katika baadhi ya mazingira lakini overall gari ndio bora
 
Kompyuta kazi yake ni kufanya processing ya instructions za program mbalimbali. Program hizo zinaundwa na binadamu na program ya kompyuta huwa smart pale inapokuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi na tofauti tofauti hivyo smartness ya computer inategemea namna ambavyo ipo programmed. Na sidhani kama kuna siku binadamu ataweza ku program kompyuta beyond upeo wake mwenyewe.
Komputa inamzidi binadamu kwenye ufasaha katika utendaji wa mambo. Mfano, kompyuta ikiwa programmed kuhesabu 1 hadi milioni 1, basi itafanya hivyo bila makosa tofauti na binadamu.
Ni kweli kabisa
 
Hio pekee haitoshi,kwani gari si imetengenezwa na binadamu,sasa nikuulize kuna binadamu anaweza kukimbia spidi kuizidi gari?
Gari inategemea uwezo na maarifa ya mtu ili iweze kukimbia, nikitaka mwanadamu akimbie kuliko gar inawezakana
 
Ni kweli kabisa
Alieleta huu uzi humu inatakiwa akapimwe. Akili pengine hana akili nzuri au pengine labda zimefyutuka.....kwa akili ya kawaida ukalinganishe divice inayotegemea programer zinazotengenezwa na binadam uyouyo katika kurahisisha kufanya kaz zako? Basi tufanye hata gali ina akili kuliko mtu, mashine za kusaga zina akili kuliko mtu, maana ulitakiwa utwange utoke unga ila ukiweka dakik unga ushatoka, au mashine zoote ambazo zinazorahisisha mambo zinaakili kuliko binadamu wewe ulieleta uzi huu!!!! Alafu kumbe wazungu kuna muda hua wanatutoa akili kwa wapuuz wachache. Alafu Mungu anatakiwa akulani hata kidogo ili huwe na adabuila baba naomba umsamehe kwakua hajui alitendalo yeye pamoja waliojadili jambo hili. J pili njema na aman ya bwana iwe pamoja nanyi.
 
Binadamu yupo smart zaidi ya computer sema tatzo binadamu wengi tunajipuuza uwezo wetu na hatujawai(wenda hatuwezi au hatutaki) kutumia akili zetu zote kwa 100%
 
Binadamu waliotengeneza computer wapo smart zaidi kuliko computer, lakini sio binadamu wote kwa mfano computer inaweza fanya calculation ngumu sana, wakati Kuna binadamu magazijuto tu ni shidaa.

Hizo makitu hazijafanya na kompyuta mkuu
Zimefanya na binaadamu kisha kompyuta ikalishwa na inazitoa pale unapo ipa amri
 
Unaweza kui program na bado ikakuzidi uwezo,Wewe kwa ubongo wako unaweza hata kukariri page moja excel sheet kwa usahihi kuizidi computer?

Pikipiki kukimbia mbio zaidi yangu hakuifanyi iwe smart zaidi ya binaadamu

Gari kubeba mamizigo mazito kuliko binaadamu hakuifanyi kuwa smart zaidi ya binaadamu

Ubongo wa binaadamu upo very very complex na hakuna anayejua ulivyofanyika na unavyofanya kazi hata kwa aailimia 10 tu
Lakini chip ya kompyuta tumeilisha kila kitu sisi tunaijuia zaidi kwa aailimia 100

Kompyuta ni kama mashine nyingine yoyote tuliozitengeneza kurahisisha kazi zetu ambazo miili yetu ina limit nazo
 
Back
Top Bottom