Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 11,634
- 26,373
Wakuu,
Matajiri wawili wakubwa duniani waliwahi kutoa maoni yao juu ya uwezo wa computer;
Elon Musk yeye alisema computer ni smart zaidi ya binadamu kwenye maeneo mengi
Jack Ma yeye alisema Computer zina uwezo lakini binadamu ni smart zaidi kwa sababu binadamu ndio aligundua computer lakini hakuna computer imegundua binadamu;
Mimi nadhani wote wako sawa;
Nini maoni yako?
Credits;Quora forum