Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,970
- 36,442
That is nature kwanza mwanaume hawezi kudeal na kitu zaidi ya kimojaKwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitoke kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Leo naona umeamua kuwa zogoa wanaume...Moderator , Boqin , celix naomba muunganishe huu uzi na kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?
kichwa cha uzi kibaki hiki:
"Je, jinsia ya kiume ni dhaifu?"
ππNgoja waje hv natafuta ajira alienda wapi maake tukio la kweka angekuwa keshatujazia server humu ndani.....
Ni wapumbavu wanaojifanya tumechoka kumvumilia mwanamke
Kuna ulazima gani wa kumvumilia mtu msiye na maono, mawazo hata mitizamo inayofanana ??
Ni upumbavuu mkubwa janaume kusema ety nimemvumilia huyu mwanamke mpk kujiua au mwanamke kukupa stress, ama magonjwa kisa kuvumilia upumbavuu!!!!
Hao hawapaswi kuwa kundi la wanaume.....
Cc BICHWA KOMWE BRAZA CHOGO
Vipi mbamizwa chogoππ
Kila mwanadamu ni dhaifu.Kwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684992
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitoke kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Huo ndio UANAUME wenyewe sasaKwanini wanaume wengi (si wote) wana uwezo mdogo sana wa kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?