Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mimi ni wakawaida sana kwa watu ambao ni standardized tuuh, hapa jukwaani my best friend naamini ni misschagga, sababu life yake ni natural.

I love those people wanajua to be themselves. I hate pretenders and much knowing kind of people.

Mimi kwako mbwembwe naficha uvunguni akili naficha kabatini kwa matumizi ya badae tunashare akili yako tuu.
 
Mkwawa Comlex.HILI JINA NIMELITUMIA KAMA KUMBUKUMBU YANGU KWA HIGH SCHOOL NILIYOSOMA HUKO IRINGA MIAKA YA LATE 1980's HADI EARLY 1990's SISI NA AKINA PRESDENT DR.JOHN MAGUFULI.SHULE YENYEWE REAL NAME YAKE NI MKWAWA HIGH SCHOOL(NICK NAME YAKE NI MKWAWA COMPLEX).TULIITA COMPLEX KWA KUWA,ILIKUWA NI HIGH SCHOOL,AT THE SAME TIME NI CHUO CHA UALIMU-DIPLOMA NA CERTIFICATES.MCHANGANYIKO HUO IKABIDI TUIITE HIYO EDUCATION CENTRE KUWA NI "COMPLEX" KWA UTUNDU WA VIJANA ENZI HIZO ZA SEC SCHOOL.
Kaka yangu alisoma huko pia!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Log z,,
Ni jina ambalo nimelipata enzi zile za o_level ,nakumbuka sana enzi hizo nilikuwa nafaulu sana somo la hisabati(mathematics),especially katika zile hesabu za LOGARITHMS ,nilikuwa mtundu sana katika ku-solve maswali yake.
Sasa katika sheria za logarithms (laws of logarithms)

1) LogbMN = LogbM + LogbN2) LogbM/N = LogbM - LogbN) LogbM = LogbN if and only if M =N (etc)

ndo usipime nilizimeza zoote,,
Pia nilijizolea umaarufu sana katika kuyapiga maswali ya LOG,
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Katika historia nikiwa kidato cha tano nilivutiwa sana na dikteta wa zamani wa Urusi Joseph Stalin hakika nilipenda ubabe wake na ninaomba hata siku moja uncle Magu afikie japo 25% ya huyu jamaa

Dictatorship is in my blood!!
 
Lina maana ya ubora,isiyochakatwa,isiyochakachuliwa,Asili
Pia ni mafuta pendwa ambayo nikiyatumia sipati alerg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom