Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,974
- 95,475
Bado yupo likizo, yani nimemmiss hadi naugua. Akirudi sasa na mashauzi yake ya "semosi" hahahaspeaking of nshomile, where is he?
Bado yupo likizo, yani nimemmiss hadi naugua. Akirudi sasa na mashauzi yake ya "semosi" hahahaspeaking of nshomile, where is he?
Hahaha Evelyn Salt BhanaEdward Lowasa Yuleee (ELY)
Kwa hyo upo fit?Mi ni American spy..... Evelyn Salt
We jamaa ulitoweka hadi ukanitia wasiwasi ujue.Kwi kwi kwi lol! Nipo poa Mkuu Elli natumai nawe uko poa kabisa. Mvuto uliokuwepo hapa jamvini miaka ya nyuma haupo tena.
Dah aiseee ulipotea sana sana, I am sure umekuta nyuzi nyingi sana zikiulizia uwepo wako, karibu kaka. Offcourse unachoongea ni kweli kabisa, tunaingia JF kwa mazoea tu lakini hakuna tena mada za maada kivile, ukianzisha mada ya maana inaishia kuchanganywa tu na upuuzi mwingine. Kwema lakini?? Next time ukiondoka utoe taarifa aiseeeKwi kwi kwi lol! Nipo poa Mkuu Elli natumai nawe uko poa kabisa. Mvuto uliokuwepo hapa jamvini miaka ya nyuma haupo tena.
We jamaa ulitoweka hadi ukanitia wasiwasi ujue.
Usije ukarudia tena.
Kwi kwi kwi kwi lol! Pole sana banaa haikuwa nia yangu kukuweka roho juu kiasi hicho. Ahsante sana kwa kujali welfare yangu kwa kiasi hicho. Namshukuru Muumba wetu niko bomba sana. Ubarikiwe sana.
Yan kila mkikumbana na jina lako nakumbuka ukali wa hio move.Mi ni American spy..... Evelyn Salt