Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Umesema vyema sana

Tubaki kusema, akili yako ikiamua kuelewa basi itaelewa pia ukiacha hofu itawale akili yako, itaitawala kweli.

Kuna msimulizi anaitwa Ananisia Edgar, aliwahi kusema " Ukisoma vitabu vya mahaba niue, yatakuua kweli"

Hata mwandishi Napoleon Hill katika kitabu chake kinachoitwa Think and grow rich katika page 246, anaandika " A reputable physician estimated that 75% of all people who visit physicians for professional service are suffering with hypochondria (imaginary illness). It has been shown most convincingly that the fear of disease even where there is not slightest cause for fear, often produces the physical symptoms of the disease feared"

Pia co-discover wa HIV alisema kuwa Stress ni moja ya sababu imayoshusha kinga ya mwili, sasa embu unganisha matukio haya

Kampeni kuwa UKIMWI unaua + Umeona stigma katika jamii + umeona filamu za mtu akiugua huo ugonjwa + umepima ukaambiwa wewe ni +ve. Je, unafikiri kama usipo control ubongo wako, utaacha kupata imaginary illness?

Mkuu waafrica tumelogwa,no wavivu Sana kujisomea!tangu nianze kujisomea,kila nikifka kwenye kundi la wazee kwa vijana,wote hubaki kunisikiliza Tu!mwishowe najikuta rafk WA level yangu!!kimbilio langu la mwisho ni Jamiiforum!
 
Hata mukieleweshwa huwa hamuamini,siku napitia Uzi WA Deception, since that day nikawa mfuatiliaji mzuri Sana WA mambo!

Suala la Ukimwi kuwa huambukizwa kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu mwingne ni uongo sio kweli!
Upungufu WA kinga zako hauwez ukaniambukiza Mimi,huo ni WA kwako Tu!

Hili suala ni kama ipi iwe lugha rasmi kufundishia shuleni?kingereza au Kiswahili?
Automatic wanaotetea Kiswahili huwa wanashinda lakin kamwe kingereza hakitoachwa kuwa means of instruction shuleni!!!
Unavuta bhangi mzee au gongo????

Ukimwi upo na Unaambikizwa na UNAUAAA...
 
Mzee baba ulishawahi kuona au kusikia mtu kafa kwa ukimwi? kwamba report ya daktari imesema kabisa mgonjwa Fulani kafa kwa ukimwi?

What I know kinachokuua ni magonjwa kama maralia, typhoid, TB, Chorela na mengineyo baada ya wewe kuwa na upungufu wa kinga mwilini(UKIMWI), unapokuwa na ukimwi mwili unashindwa kupambana na magonjwa hivyo kupelekea kifo kutokana na ugonjwa fulani, so hapa utaona tunakubaliana kuhusu Ukimwi kuwepo.

Swali linakuja chanzo cha UKIMWI ni nini? Je ni kirusi cha HIV au lah? Hapa ndo Deception anakuja na hoja yake ambayo hata madaktari humu wameshindwa kuijibu...
 
Hivi bila Huo ukimwi kudhoofisha kinga ya Mwili huyo mtu angepata Hizo TB...sijui Fungus za ubongo..pneumonia??? Ukimwi hauui kinachoua ni yale magonjwa yanayokushambulia baada ya Kinga ya mwili kushukaa...so in turn unaona Ukimwi unaua Indirect mkuu.. Lakini hawa virus kweli wapo ndo maana kuna dawa za kupunguza kasi yao ya kuzaliana kwa kutumia dawa ambapo virusi vinafubazwaa...!

Ila ukimwi unabaki kuwa ugonjwa wa Kuogopeka sana japo kuna kina Ebolaa..Cancer..
 
Unaweza kuwa na TB na hayo magonjwa mengine ila usiwe na Ukimwi mkuu.

Lakini hoja ya msingi hapa ilikuwa chanzo cha UKIMWI kuwa sio HIV virus kama inavyosemwa. Hapa ndo hoja ya Deception inaingia... Hakuna mtu anakataa uwepo wa UKIMWI
 
Yaah TB sio lazima uwe na Ngoma japo asilimia kubwa ni kiashiria kikubwa...!! Unaposema kuwa HIV hasababishi ukimwi na tayari kuna dawa za Kumdhibiti labda unambie Jina la huyo virus sio HIV so hata wakitoa jina jipyaa ila Virus atabaki yule yulee...
 
Hivi bila Huo ukimwi kudhoofisha kinga ya Mwili huyo mtu angepata Hizo TB...sijui Fungus za ubongo..pneumonia??? Ukimwi hauui kinachoua ni yale magonjwa yanayokushambulia baada ya Kinga ya mwili kushukaa...so in turn unaona Ukimwi unaua Indirect mkuu.. Lakini hawa virus kweli wapo ndo maana kuna dawa za kupunguza kasi yao ya kuzaliana kwa kutumia dawa ambapo virusi vinafubazwaa...!

Ila ukimwi unabaki kuwa ugonjwa wa Kuogopeka sana japo kuna kina Ebolaa..Cancer..
Umewahi kuumwa ugonjwa wowote ule?
 
Ok,kinga mwili yako ilipungua,au kudhoofika ndo maana ukaugua hayo magonjwa-unakubaliana na hili?
Kani Kila ugonjwa lazima kinga ya mwili ipungue mkuu?? Unajua kinga ya mwili ni ninii??? Kupungua kinga ya mwili sio mchezoo inabdi cell za kutoshaa zifee sasa unapopata ugonjwa kama malaria sio kwamba kinga Imepungua NO ila wale wadudu wameishinda kinga ya mwili lakini Ukimwi unapiga CD4 zenyewee yani balaa tupuu...
 
Wadudu wanapoishinda kinga ya mwili ni tofauti gan na kusema we Una kinga dhaifu?kinga hudhoofishwa na baadhi hufa!kufa that means zimepungua!!

Je CD4 ngap/kiwango gani huonesha wingi au kupungua kwa kinga?na je hujawahi kuona mtu mwenye CD4 Chache na kinga zake ziko imara/Yuko safi kiafya?
 
Unavuta bhangi mzee au gongo????

Ukimwi upo na Unaambikizwa na UNAUAAA...

Uzuri ni kuwa, maneno na maoni kama haya, hayachangii kumfanya huyu "passenger virus" awe "mhalifu" wa kuangamiza CD4

HIV/AIDS IS A DEADLY HYPOTHESIS IN A MEDICAL HISTORY
 
Makuku Rey, UKIMWI HAUAMBUKIZI....
VIPI KUHUSU VIRUS VYA UKIMWI HUAMBUKIZA AU MTU ANAVITOA WAPI?
NA WALE WENYE KUWA NA UGONJWA HUO KISHA HUUGUA MPAKA KUFA NINI HUTOKEA?
 
Waafrika wavivu inawezekana..
Nina marafiki wawili wazungu mmoja muingereza mwingine mfaransa wana virus vya UKIMWI wanatumia dawa, na mwingine mmarekani mweusi yeye hajaanza kutumia dawa japo ana virus, je nao wapo group moja la ujinga wetu sisi waafrika?

Back
Top Bottom