Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Angalau wewe umeanza kwa kuuliza na si kupinga.Napenda kukushauri kwamba,mada hii ni nzito na inahitaji uwe na open/free mind ili uelewe,usijikite kwenye kupinga zaidi bali jikite kwenye hoja za kudadisi zaidi.

1.Swali lako hapo juu ni zuri sana.Kuna mmoja nilimjibu hili.Nilisema kwamba kuna magonjwa mengi yapo hata kabla ya kutangaziwa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS ambayo huwafanya watu wakonde na hata kupungua sana uzito.Je,hujui kama TB nayo ina dalili hizi,kama huamini hebu ingia mtandaoni ili ujithibitishie hili.Hawa jamaa wamezishika akili zetu na tumezuiwa kufikiri kabisa kwamba TB nayo ina dalili kama hizi na ndio mojawapo ya magonjwa yaliyoua watu wengi miaka hiyo hata kabla watu hawajaanza kutumia ARVs.Ingia link hapo chini uone dalili za TB.

Tuberculosis Causes, Symptoms, Treatment - Tuberculosis Symptoms and Signs - eMedicineHealth

2.Kuwa makini,elimu nzito inakuja hapa;
Kunyonyoka nywele ni dalili mojawapo pia kwa wagonjwa wa cancer/saratani wanaotibiwa kwa dawa za chemotherapy,dawa hizi huwa zinauwa kinga na kudhibiti chanzo cha kuzalisha nywele na hivyo nywele hunyonyoka.Kama huamini ingia mtandaoni uangalie side effects za chemotherapy.
Sasa basi,ARVs zinazotumiwa na watu ambao wamebambikiwa kesi ya kuwa na HIV pia zina component ya chemorapy ila katika dozi ndogo.Unapotumia ARVs kwa muda mrefu na hasa bila kuzingatia lishe bora itafikia muda nywele zako zitakuwa dhaifu na kunyonyoka.Hii ni kwa sababu component ambayo ipo kwenye dawa za chemotherapy ipo pia kwenye ARVs.
Kama hujui mtandao wa kuingia,basi ingia hapa chini uone side effects za chemotherapy.Fahamu pia kwamba side effects za chemotherapy zinafanana kabisa na side effects za ARVs kwa kuwa zina common component ambayo kazi yake ni kuua cell za mwili,na kazi yake hii walimaanisha iwe hivyo,hawajakosea.

Haya mambo ni sayansi tu.Ukijua ukweli wa mambo fulani, halafu ukijua sayansi,huwezi kudanganywa kirahisi.



Unasababishwa na kirusi aitwaye vericella/herpes zoster.Sababu kuu ya ugonjwa huu ni upungufu wa kinga.Hivyo tiba yake ni kurudisha kinga ya mwili na ugonjwa utapona kirahisi kabisa kwa kuwa virusi hivi hudhibitiwa vizuri sana na kinga ya mwili.Najua utashangaa.Upungufu wa kinga pia usikutishe,ni suala dogo sana hili,upungufu wa kinga unaweza kuwa nao kama huli vizuri,mnywaji sana wa pombe bila kula vizuri,utumiaji wa madawa ya hospitali mara kwa mara kama vile antibiotics,diclofenac,vidonge vya uzazi wa mpango,ARVs nk,utumiaji wa madawa ya kulevya nk.Najua pia na hapa utashangaa,maana siku hizi vitu vya kawaida watu huviona vya ajabu na vya ajabu huviona vya kawaida.Hii ni sayansi na sio hisia zangu binafsi.



Nilikueleza hapo juu kwamba mojawapo ya magonjwa ambayo watu hujifanya kukisingizia kirusi VVU kwamba kimesababisha ilihali si kweli ni ugonjwa wa TB.Nimekupa link hapo juu usome dalili za TB ambayo najua hutapinga kwamba TB haisababishwi na HIV,soma hiyo link na kama dalili utakazozisoma hazijatosha basi unaweza kunitajia maradhi hayo ambayo wewe unasema hayana idadi na mimi nitakwambia yanasababishwa na nini hata kama mtu hatumii ARVs.
Tatizo watu wengi hawajui sayansi,wamezi-lock akili zao kwamba HIV ndio msababishaji wa magonjwa zaidi ya 30 na wameng'ang'ania hicho wanachokijua bila kwenda upande wa pili wa shilingi na kujiuliza kwamba huyo HIV anawezaje kusababisha magonjwa yote hayo peke yake.Kama hujui sayansi,huwezi kujua ukweli huu na badala yake mtu ataishia kupinga tu bila kuwa na hoja zozote za kisayansi anazozisimamia.



Rahisi sana.Ni hivi,angali mtiririko hapo chini;
-AIDS=UKIMWI=Upungufu wa Kinga Mwilini.Kinga inashindwa kufanya kazi yake.
-Kinga ya mwili si kitu kingine bali ni seli(si seli zote bali ni seli maalum)
-ARVs zina side effects nyingi ikiwemo ile ya kuua seli za mwili na kudhibiti uzalishwaji wa seli hizo hasa makao makuu ya kuzalisha seli hizo(bone marrow)
-ARVs zinasababisha lactic acidiosis kwenye damu.Damu inapokuwa na acid nyingi seli zinashindwa kupumua,zinakosa oksijeni,fikiria wewe ukikosa oksijeni utaishi vipi?Kama seli zitakosa oksijeni basi mitochondria(kitovu cha kuzalisha nguvu kwenye seli) haitafanya kazi na hivyo seli zitashindwa kufanya kazi na mwishowe hufa.

Kama ninayoeleza hapo juu ni kweli,basi ni kweli pia ARVs zinasababisha AIDS.Ili kuthibitisha kama ni kweli ,soma/fuatilia hizo link hapo chini;Ukitaka scientific paper/proof utaniambia nitakupa.Hiyo ni link ya wamarekani wenyewe waliotudanganya kuhusu ugonjwa huu,sio mimi.Ina maana hao wenyewe wanakubali kwamba dawa za ARVs zina matatizo.

Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo


Ulishawahi pia kujiuliza kwamba;
1.Je HIV ni kirusi kipya au kilikuwapo miaka mingi kabla ya kutangazwa mwaka 1984?
2.Kama kilikuwapo miaka/karne nyingi,Je,kwa nini hakikusababisha AIDS miaka mingi ya nyuma na kije kisababishe AIDS miaka ya hivi karibuni?

HIV ni retrovirus ambaye amesingiziwa kwamba yeye(retrovirus) ndio anayesababisha AIDS,na ndio kisa cha kupewa jina hili HIV.Retrovirus huyu alikuwapo karne nyingi zilizopita na si kirusi kipya.Sasa kwa nini hakikusababisha AIDS miaka ya nyuma na kije kusababisha miaka ya hivi karibuni?
Nilichogundua mkuu wewe ulipita katika medicine ndio maana unamwaga nondo za kutisha.

Unaijua microbiology vizuri mkuu.

Mtu ambaye hajapita kwenye field ya medicine hawezi kuja na hizi hoja sidhani
 
Siko hapa kuwafundisha watu kutokutumia kondom lakini nasema, muda umepita wa kujitumbukiza kwenye mtego ka huu. Siku ukilogwa ukajikuta umetumbukiza tu bila mpira tayari ndo siku mawazo yako yatakuua.

Thru experience;
Mi ni msajili wa ndoa. Sheria inaamuru kuwa tusiwafungie ndoa ambao hawana vyeti vya kupima HIV tena mara 3 yaani kipindi kisichopungua miezi 6.
Kwa kusimamia sheria hii, nikaamuru vijana waende kupima.

Bahati mbaya sana, kijana yule me akaonekana analo. Wakaondoka na kusema ati miye ndo nilienda kufitini aandikiwe kuwa + ili asifungiwe ndoa. OK, wakaamua wenyewe kwenda hospitali nyingine tena mji mwingine mbali nisipo wala julikana. Kupima, kijana akaonekana +. Kelele na chuki zikazidi kwani niliwaamuru walete majibu ya barua yangu nilio wapa ya kwenda kupima.

Wakazidi kunipakazia kuwa nina mpango wa kum do yule binti. Sawa, wakaenda mbali mbali zaidi, wakapima, jamaa akaambiwa analo. Duh! Binti akafunguka akili, akasema kiongozi hajawahi kusikia kuwa tunakuja huku, hivyo sababu yako kuwa ananitamani haina mashiko. Akauvunja uchumba. Jamaa kwa hasira akaenda akamtwaa binti ambaye amekaa sana bila kuolewa, akamua waoane bila kufunga ndoa.

Mambo yakawa mazuri, binti ameshazaa watoto 4 wala hakuna aliye dhurika. Je ni vipimo vilikuwa vibovu au ni mimi nilikuwa nawafuatilia kuwa haribia maisha yao?? Nasema, unavyo amini ndivyo utakuwa. Ukiamini umeukwaa itakuwa hivyo. Tujifunze kuamini Positively kuwa "Sina ukimwi" itakuwa hivyo

mfano mzur ni corona Bongo
 
Daah,MUNGU mkubwa nimetumia wiki mbili kusoma page zote na kumaliza,zaid nashukuru kwa elimu bora niliyoipata kutoka katika uzi huu
Big up Deception live long!
 
Msingi wa afya ya binadamu uko kwenye damu,pH ya damu ndio mpango mzima.pH ya damu ikiwa mbovu unaweza kuumwa kila aina ya ugonjwa ambao upo duniani,ni chance tu.Weka pH yako sawa na hata kama utakuwa na magonjwa 20 kwa pamoja,yote yataondoka yenyewe,na utashangaa,hii ndio sayansi.
Nimesoma pcm sijaisoma Biology Ila kwa hili I know than sijui aliyenifundisha. Acid ni mbaya sana. Angalia vyakula vinavyoongeza acid mwilini uvipunguze like nyama ni mbaya Sana Ila kwa Africa ndo chakula Cha kifahari eti wewe uko juu
 
Mi nadhani inawezekana. Kuna jirani yangu mmoja jina(), kabla ya kuoa alikwisha lala na wanawake wasiopungua 60, na wengine alikuwa anaambiwa wana ukimwi na kwa kudhibitisha kabisa ni kweli wanao na wengine washafariki kwa hali zao kuwa mbaya ila yeye mpaka leo kila anapopima ukimwi anakutwa hana.
Kuna Watu wana damu Zina vismati
 
Ndio maana nikasema jambo hili ni pana sana na nina mambo mengi sana kuelezea watu.Ukweli ni kwamba,Zuma ni muongo kupindukia,aliongea hivyo ili kurudisha imani ya watu ambayo imeshapotea kuhusiana na ugonjwa huu.Thabo Mbeki alishawafunua wananchi wake kuhusu ukweli wa ugonjwa huu kwamba ni feki na aliwaambia kwamba yeye haamini kama unasababishwa na HIV na akawapa sababu,hivyo watu wengi walimuelewa na takwimu za matumizi ya ARVs zilishuka sana na watu wa SA hadi leo hawaogopi kabisa ukimwi kwa kuwa wameshaelimika na wanajua kwamba ni feki,bado sisi vichwa ngumu kuelewa.Na hii ndio sababuiliyomfanya Thabo Mbeki apigwe chini kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi na kumweka Zuma ili arudishe hali nzuri ya soko la ARVs.



Kabla ya kutoa uthibitisho wangu,ninyi wenyewe wana JF mnatoa uthibitisho.Hakuna chanjo ya ukimwi.Hata mimi naweza kutembea na mtu anayetumia ARVs bila kinga mara nyingi na naweza pia kujikata na kujiwekea damu ya mtu huyo na siwezi kupata ukimwi/VVU.By nature,ugonjwa huu haupo,ila jamaa wametumia akili nyingi tu kudanganya watu,wametumia uongo wa kisayansi ili watu waamini kama kweli ugonjwa huu wa HIV/AIDS upo kitu ambacho si kweli.Watu wanajua kwamba AIDS inasababishwa na HIV hivyo mtu hupewa ARVs,kumbe ARVs baada ya muda fulani ndio husababisha AIDS,hili watu wamefumbwa,hawalijui.Na kama mtu yeyote anaumwa na hatumii ARVs basi lazima atakuwa na tatizo la msingi linamsumbua na akipewa dawa husika anapona kabisa na haitajia kula ARVs maisha yake yote hata kama ameonekana ana HIV,kwa kuwa nilishasema mwanzo kwamba HIV hana madhara na zaidi ya hapo vipimo hivi ni feki na nitaeleza kwa nini ni feki baadaye.



HIV/AIDS ni feki kwa kuwa AIDS haisababishwi na HIV na HIV hana uwezo wa kusababisha AIDS na ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana sasa,mara watu hukwambia "ni vigumu sana kupata HIV kwa kufanya ngono",ukweli ni kwamba HIV haambukizwi kwa njia ya ngono.Wengine husema "kuna watu wana HIV lakini hawadhuriki" watu hawa huitwa carrier,huu ni uongo pia,kila mtu hawezi kudhurika na HIV,hata wewe pia.Walichofanya hawa jamaa wamefanya utafiti ni contradiction gani inajitokeza kwenye uongo huu waliotulisha halafu wakatafutia majibu yake ili kuendelea kuwapa watu imani kwamba kweli VVU/Ukimwi upo na unaua ilihali kinachoua ni ARVs.
Vipimo vyake ni feki kwa sababu havipimi HIV mwenyewe kwa muonekano kama ilivyo kwenye baadhi ya magonjwa kama vile malaria,TB au Typhoid.Walikataa kutuia electronic microscope kwa kuwa wenyewe wanajua kwamba HIV ni feki,haonekani.Na ndio maana hadi leo hii muulize daktari yeyote ambaye unamwamini wewe ni kichwa kama kashawahi kumuona HIV hata kwa kutumia vyombo vyao katika maisha yake yote ya udaktari,atakwambia hajawahi kumwona,sasa kama hajawahi then nini tunachokiamini basi?Ile picha ya HIV kwenye vitabu vyao waliipata wapi?Vipimo hivi hupima kinga ya mwili dhidi ya protini fulani ambazo zinaaminika zinatoka kwa HIV lakini sio specific kwa HIV pekee,kuna mambo mengine ndani ya mwili huweza kuzalisha protini hizo na mtu akaonekana ana HIV kwa kutumia vipimo hivi(kumbuka bado kwamba HIV hasababishi ukimwi).Mojawapo ya mambo hayo ni magonjwa mbalimbali kama vile TB,hali ya mimba kwa wanawake pia husababisha kuzalishwa/kutolewa kwa protini hizo.Haya ninayoongea kamwambie daktari yeyote yule mwelewa hatapinga.



Mkuu mangatara,maneno yako yanaendelea kuthibitisha mkanganyiko nilioueleza hapo juu.Imebaki imani tu kwenye ugonjwa huu kama zilivyo imani nyingine,lakini uhalisia haupo hapo.Tatizo hapa linakuja kwa sababu maneno haya kwamba ukimwi ni hatari yamerudiwa mara nyingi sana kwenye vichwa vya watu na hatimaye yakageuka kuwa imani ambayo imechanganyika na woga.Na hili ndio lengo lao,yaani uogope.Lakini hamna sayansi hapa kwenye ugonjwa huu.Sayansi ya kweli inapingana na kila nyanja ya ugonjwa huu feki.Hakuna kirusi kilichotengenezwa maabara hapa,hizi ni propaganda ili kukuaminisha kwamba kweli kirusi kinachosababisha ukimwi kipo wakati ukweli ni kwamba hakipo.

Maneno haya sikusema mimi,bali nimejifunza kutoka kwa madaktari wazoefu duniani wenye akili zao timamu na wengine wana nobel prizes kwa kugundua vitu mbalimbali na wamefanya tafiti za kutosha kuhusu jambo hili,hivyo jambo hili si la kubeza,ni ukweli mtupu,lakini kitu kipya kinapoingia kwenye bongo za watu huwa ni vigumu sana kupokewa na ubongo.Mimi mwenyewe nimefanya tafiti zangu binafsi kuthibitisha wanachosema madaktari hawa na nimegundua kwamba wanachosema ni kweli kwa 100%.Nina evidence za respects zote.Thabo Mbeki sio chizi,ana akili zake timamu alipopinga suala hili,hivi watu hawastuki bado?Museveni naye analijua hili,yaani raia wengi wa nchi za Afrika wamefanywa kama ng'ombe na viongozi wao.Ni viongozi werevu na wenye huruma tu na wananchi wao ndio wamethubutu kusema ukweli huu,na hao pia wamewekewa vikwazo kwa kugusa maslahi ya watu wakubwa.Hebu tuamke ndugu zangu.Kama huelewi au huamini ninachosema basi fanya tafiti mwenyewe na nina uhakika utarudi tena hapa kuni PM.Na ndio maana kapeni nyingi za mambo haya ziko Afrika zaidi kwa kuwa ndiko kuna soko kubwa na wateja wake hawana akili za kuhoji,wanajikusanyia tu mapato.Inatia huruma na hasira sana.HIV/AIDS ni biashara ya ARVs tu na si vinginevyo.

Kwa kuanzia fuatilieni link hapo chini mumsikilize Dr(sasa hivi ni Prof) Peter Duesberg;Huyu mzee hakuna wa kumfananisha naye kwenye field hii ya virusi duniani,na amepata hasara kubwa sana baada ya kusema maneno haya kwenye public.Alishindwa kuvumilia kuona watu wanakufa bila hatia.

Hatari sana
 
Ndio, inawezekana ulale na mtu mwenye UKIMWI na usiupate!
Tena, inawezekana ukaoa kabisa mtu mtu mwenye VVU na ukawa unakula mzigo fresh kabisa hata miaka na usipate ngwengwe.

Nimeshashuhudia watu wengi sana hawana maambukizi lakini wameoa.na kuolewa na watu wenye maambukizi.

Kuna Wanawake Wajawazito wanakuja wanapima, wanaitwa Positive lakini ukiwafanyia vipimo wemza wao unakuta wazima kabisa.

In short, kama mtu ameambukizwa halafu anameza dawa vizuri kabisa wale virus wanakuwa Dormant kabisa ni ngumu sana kuambukiza.
 
Back
Top Bottom