Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

SIKUWAHI KUKUTANA NA THREADS KAMA HIZI HAPA JF.DUUH DECEPTION KAMA SIASA UMEIPIGA KWELI KWELI ASEE.ILA UMEFELI KULINK HIV NA MADAKTARI AMA HIV NA POLITICIANS. TUNAPOSEMA HIV NI AGENT DAKTARI ANA UELEWE MDOGO SANA KUHUSU HILI MBALI NA WANASIASA ULIOWATAJA. AS A MICROBIOLOGIST NAISHIA HAPA ILA NI UJINGA KUDHANI DAKTARI ANAJUA VIMELEA VYA MAGONJWA. HAYA DENGUE FEVER NA YENYEWE NI KIRUSI VIPI WANASEMAJE AU HILI LA KWELI NA ZIKA NA CHIKUNGUNYA OOH EBOLA JE?. ILA MM NAPENDA SABB TZ SIASA MBELE UTAALAMU NYUMA EEEH KWAN NN ACHA TUFE.HAHAAA
 
yani sijui umeandika nini. ni bora tu usingepost chochote maana hueleweki kabisa upo upande gani
 
Mkuu nipe namba yake maana nimetafuta sana pm wala hajibu na mara yamwisho nlimuona online ktk nyuzi ya bwana mmoja mtoto wake kagundulika ana HIV
Deception yupo kwenye uzi wenye title ya "Shujaa Deception yupo wapi?". kamcheki huko.
 
Kama unataka namba za Deception kwa msaada nipigie ntakupa. 0762766665.Ila uwe na mambo ya msingi au mgonjwa unahitaji msaada.
Nimeenda mkuu nimemuona daa jamaa kapotea sana wakati sis tunaomfuatilia tunataka atupe madini atutoe gizani mapema
 
Usibishane kuhusu UKIMWI, nenda mtaani kafanye uchunguzi kuhusu waathirika kwa kutafuta historia zao. Mm Deception amenisaidia sana kujua ukweli baada ya kwenda mtaani na mahosipitalini. UKIMWI malengo yake ni magonjwa halisi kwa kupitia ARV, S my Kansa, Figo, Moyo, Ini nk. Wamama wote wanaopima Kansa ya kizazi kwa sasa lazima wapime HIV. Why?
Kama unataka namba za Deception kwa msaada nipigie ntakupa. 0762766665.Ila uwe na mambo ya msingi au mgonjwa unahitaji msaada.
 
SIKUWAHI KUKUTANA NA THREADS KAMA HIZI HAPA JF.DUUH DECEPTION KAMA SIASA UMEIPIGA KWELI KWELI ASEE.ILA UMEFELI KULINK HIV NA MADAKTARI AMA HIV NA POLITICIANS. TUNAPOSEMA HIV NI AGENT DAKTARI ANA UELEWE MDOGO SANA KUHUSU HILI MBALI NA WANASIASA ULIOWATAJA. AS A MICROBIOLOGIST NAISHIA HAPA ILA NI UJINGA KUDHANI DAKTARI ANAJUA VIMELEA VYA MAGONJWA. HAYA DENGUE FEVER NA YENYEWE NI KIRUSI VIPI WANASEMAJE AU HILI LA KWELI NA ZIKA NA CHIKUNGUNYA OOH EBOLA JE?. ILA MM NAPENDA SABB TZ SIASA MBELE UTAALAMU NYUMA EEEH KWAN NN ACHA TUFE.HAHAAA
Tukisema Tanzania haina wasomi ila ina wajinga waliosoma bila kufuta ujinga mnatuona wajinga pia ..

Ona alichoandika huyu anaejiita msomi ..
 
Inatokea, na si lazima uambukizwe. Mimi kuna dada mmoja nilmalizana nae fasta. Dk 5 tuu hata kumwaga sikusubiri. Basi, baadae nikajua ana ukimwi. Nilichokaaa. Basi baada ya mwaka nikapima, hamna shida yoyote!
 
Wenye elimu ya darasani pamoja na nadharia za vitabu watapambana kuonekana wapo sahihi

Wanaotaka kuujua ukweli bado wamekamatwa katika historia na uzoefu wa mtaani, Hii inawatia hofu kuamini.

Maandiko ya Prof. Peter Duesberg pia documentaries za youtube katika page https://www.youtube.com/user/rethinkingAIDS
Pamona na uzi huu kupitia replies za Deception, ni wazi kuwa virusi vya HIV zamani viliitwa HTLV-III, kuna uwongo uliofunikwa na uwoga wa kutotak kutambua mambo.

Mimi ni muhanga wa suala hili, nimepoteza watu wawili wa karibu, wote walikuwa na ugonjwa huu ila walikufa na magonjwa tofauti

Pia niliwahi kulala mara 2 na dada mwenye HIV POSITIVE ANTIBODIES . Nilipoenda kumpima baada ya kuwa nina suspect ana mahusiano zaidi ya mimi ndipo nilipogundua vipimo vinamtambua kama mwathirika. Katika ku-google ili kupata taarifa namna ya kuipokea hali hiyo, ndipo nilipo kutana na huu uzi pamoja na replies za Deception. (Nilirudi hospitali kucheki tena, kama nilivyo shauriwa na mshauri na saha na sikukutwa na maambukizi)
Kwa ukweli nimejifunza mengi sana. Yule dada nilikuwa nae karibu mpaka akanza dawa kwa maana ya kwenda clinic na kuchukua dawa ila hakuwahi kuzitumia na hajawahi hata kuumwa kichwa, pneumonia au TB wala kuhara, ni muda umepita sasa na sijawahi kumuona na tatizo lolote. Kule clinic wanamsifu kuwa CD4 zinapanda kwa kutumia ARVs ila mimi na yeye tunajua kuwa huwa hatumii kabisa.

Nimalize kwa kusema,
Medical researchers should investigate the hypothesis,Drugs/AIDS . Tuache hili la HIV/AIDS, imetosha .
 
hapo mwishoni ni kama sijakuelewa vile
 
Saf sana mkuu
 
SIKUWAHI KUKUTANA NA THREADS KAMA HIZI HAPA JF.DUUH DECEPTION KAMA SIASA UMEIPIGA KWELI KWELI ASEE.ILA UMEFELI KULINK HIV NA MADAKTARI AMA HIV NA POLITICIANS. TUNAPOSEMA HIV NI AGENT DAKTARI ANA UELEWE MDOGO SANA KUHUSU HILI MBALI NA WANASIASA ULIOWATAJA. AS A MICROBIOLOGIST NAISHIA HAPA ILA NI UJINGA KUDHANI DAKTARI ANAJUA VIMELEA VYA MAGONJWA. HAYA DENGUE FEVER NA YENYEWE NI KIRUSI VIPI WANASEMAJE AU HILI LA KWELI NA ZIKA NA CHIKUNGUNYA OOH EBOLA JE?. ILA MM NAPENDA SABB TZ SIASA MBELE UTAALAMU NYUMA EEEH KWAN NN ACHA TUFE.HAHAAA

Wewe ndio msomi WA jamii hii ya Tanzania!!😌😌😌😌sasa kama hata kujenga hoja tu ni issue, kwann tusimuamini DECEPTION?
 
hapo mwishoni ni kama sijakuelewa vile

Hata mukieleweshwa huwa hamuamini,siku napitia Uzi WA Deception, since that day nikawa mfuatiliaji mzuri Sana WA mambo!

Suala la Ukimwi kuwa huambukizwa kutoka kwa mtu kwenda kwa mtu mwingne ni uongo sio kweli!
Upungufu WA kinga zako hauwez ukaniambukiza Mimi,huo ni WA kwako Tu!

Hili suala ni kama ipi iwe lugha rasmi kufundishia shuleni?kingereza au Kiswahili?
Automatic wanaotetea Kiswahili huwa wanashinda lakin kamwe kingereza hakitoachwa kuwa means of instruction shuleni!!!
 
Umesema vyema sana

Tubaki kusema, akili yako ikiamua kuelewa basi itaelewa pia ukiacha hofu itawale akili yako, itaitawala kweli.

Kuna msimulizi anaitwa Ananisia Edgar, aliwahi kusema " Ukisoma vitabu vya mahaba niue, yatakuua kweli"

Hata mwandishi Napoleon Hill katika kitabu chake kinachoitwa Think and grow rich katika page 246, anaandika " A reputable physician estimated that 75% of all people who visit physicians for professional service are suffering with hypochondria (imaginary illness). It has been shown most convincingly that the fear of disease even where there is not slightest cause for fear, often produces the physical symptoms of the disease feared"

Pia co-discover wa HIV alisema kuwa Stress ni moja ya sababu imayoshusha kinga ya mwili, sasa embu unganisha matukio haya

Kampeni kuwa UKIMWI unaua + Umeona stigma katika jamii + umeona filamu za mtu akiugua huo ugonjwa + umepima ukaambiwa wewe ni +ve. Je, unafikiri kama usipo control ubongo wako, utaacha kupata imaginary illness?
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom