je imewahi kukutokea??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je imewahi kukutokea???

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyakwaratony, Apr 28, 2012.

 1. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  heshima zenu wakubwa! hivi imewahi kukutokea ishara yoyote kukujulisha kuwa jambo flani litatokea? kwa mfano. kuna wengine wakiwashwa mkono hupata hela, wengine jicho likiwacheza ni ishara fulani... kwangu mie nikiwa nakwenda kwa mtu nikijikwaa tu huwa simkuti na kweli nikienda simkuti na nilishaamini hivyo! je wewe???
   
 2. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio mambo haya hutokea.mfano ndoto sio kitu cha mchezo,mimi nikiota ndoto karibia kuna kucha huwa ya kweli.japo inahitaji tafakuri kiasi haiwi moja kwa moja.
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo ya kuwashwa mkono haijanitokea,ila kuna ile kama unakosa amani vile au moyo unauma,baadaye unashangaa kitu kimetokea
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  dah, me nikiota maji mf. ziwa,mto au bahari kama kesho yake kuna issue nafatilia cfanikiwi.... yan huwa nakataa tamaa kabisa...
   
 5. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hata mimi ndoto za hivyo huwa zinanitokea sana!

  Ishara nyingine ni kuwa mtu akiugua akalazwa hospitali, roho yangu ikiwa inasita kwenda kumtembelea hospitalini ni lazma huyo mgonjwa atafariki, hii huwa inanisumbua sana
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mim naotaga vitu vinatokea,kuna siku tuko wanafamilia tunapata chai nikasema nimeota babu kaja,mama akasema labda atakuja karibuni maana tar zake za kuja hospitali ndo hizi hizi,kabla mama hajamaliza tukasikia hodiii kila mtu akanitizama kwa mshangao sbb ilikua ni sauti ya babu na kila mtu pale mezani alijua anayepiga hodi ni babu.Naota sana vitu na vinatokea ila misiba siotagi.
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  dah,pole kemea hlo pepo la mauti!
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nikweli na ukiota rafiki au mtu wako wa karibu kafa ujue nduguyo awaye yeyote yule atakufa, au ukiota ndugu wakaribu kafa basi ujue rafiki au mtu wako wa karibu atakufa au kuumwa saana, lakini sio lazima iwe hvo, unaweza ukaota na isitokee kitu...
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  lakn nasikia kuwa ndoto huwa zinakuwa vise versa!
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  me no...
   
 11. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mimi huwa naota nafukuzwa na watu au wanyama wakali na nkiamka huwa moyo unakwenda mbio sana.Au cku ingne naota napaa hewani kadri nipendavyo.Had leo cjajua maana yake wadau kama kuna mjuz atupe tafsiri
   
 12. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....hapo ktk red... kama kweli iliwai kutokea.... jua mpenzio alikua anachakachuliwa.......
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  umeniogopesha jamani
   
 14. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Yaani we ndo kama mimi aisee!
   
Loading...