Je, huyu ni atatambulika kama mhandisi?

Je, huyu ni atatambulika kama mhandisi?

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Ivi inakuaje Kama ERB Ina tambua engineer ni mtu Yule ambaye amegraduate degree na hata Kama hatekelezi degree yake kwa jamii.

Na Je ikitokea mtu ka apply concept za kisanyansi akaja na uvumbuzi juu ya jambo Fulani au katengeneza kitu flani. Huyu tutamwitaje

Note: aliyeapply concept let say ni form six leaver (pcm)
 
Kuwa na degree ya Engineering haikupi nafasi moja kwa moja kwa certified na ERB, unapitia process ya miaka, hivyo kama huna degree ya Engineering hauwezi kuwa certified, kama wenye degrees zao tu bado wameshindwa hizo process za kuwa certified.
 
Ivi inakuaje Kama ERB Ina tambua engineer ni mtu Yule ambaye amegraduate degree na hata Kama hatekelezi degree yake kwa jamii. Na Je ikitokea mtu ka apply concept za kisanyansi akaja na uvumbuzi juu ya jambo Fulani au katengeneza kitu flani. Huyu tutamwitaje

Note: aliyeapply concept let say ni form six leaver (pcm)
Huyo ataitwa mvumbuzi anaheshimiwa zaidi kuliko Injinia
 
Kuwa na degree ya Engineering haikupi nafasi moja kwa moja kwa certified na ERB, unapitia process ya miaka, hivyo kama huna degree ya Engineering hauwezi kuwa certified, kama wenye degrees zao tu bado wameshindwa hizo process za kuwa certified.
kwa hiyo mtu huyu tutamwitaje
 
Tz hakuna engineers wala madaktari. Ni wasenge tu
Leo asubuhi nimetoka kusoma uzi wako wa maisha uloyapitia mpk kufikia kumsitiri mamaako (nilikuona mtu wa maana sana)

Ila kupitia hii comment yako nakuona ni lafa kama malafa wengine tu
 
Kuwa na degree ya Engineering haikupi nafasi moja kwa moja kwa certified na ERB, unapitia process ya miaka, hivyo kama huna degree ya Engineering hauwezi kuwa certified, kama wenye degrees zao tu bado wameshindwa hizo process za kuwa certified.
Sio kweli acha uongo

Ukitunukiwa shahada ya uinjinia,unafungua akaunti ERB na kufuata taratibu zote kisha after 2 or 3 months unatunukiwa cheti cha uinjinia(certified G.E).

Siku nyingine husijibu kitu ambacho hukijuhi,tutakuchukulia hatua!!
 
Ivi inakuaje Kama ERB Ina tambua engineer ni mtu Yule ambaye amegraduate degree na hata Kama hatekelezi degree yake kwa jamii.

Na Je ikitokea mtu ka apply concept za kisanyansi akaja na uvumbuzi juu ya jambo Fulani au katengeneza kitu flani. Huyu tutamwitaje

Note: aliyeapply concept let say ni form six leaver (pcm)
Uyo ataitwa mvumbuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom