Dah bro ,unafeli Sana hv hiyo nishati ya kuendelea kumtumia hela mtu uko Naye mbali unaitoa wap, na mbona ushaona ishara zote kuwa huyo hakutaki Ila bado unaforce tuu Tena kwa kutuma miamala , dah bro .....Ni zaidi ya 1.5m
Yani demu wa hivyo angekulaa pesa yangu ya kwanza tu...na mi huwa haizidi 30k!!Ilitakiwa nipoteze mwisha kiasi gani?
pole sana kiongoziHabari wadau
Jamani naomba mnishauri kuhusiana na haya mahusiano yangu kwani ni zaidi ya mwaka sasa bila kuyaelewa. Binafsi Mimi naishi Kenya ila kwetu ni Tanzania.
Ilikuwa ni mwaka jana nilipokuwa nafanya kazi za tiba ya asili mkoani Simiyu ndipo nilikutana na binti mmoja hivi, nikamueleza yaliyopo moyoni mwangu nayeye akanielewa sana. Kwa vile yeye alikuwa ni Mwanafunzi wa chuo cha Kati hapa nchini tulikaa pamoja Kama miezi 2.
Alisafiri kwenda huko dodoma na Mimi nikaenda zangu huko Kenya baada ya kumaliza kazi iliyonileta. Mwanzani mawasiliano yakuwa bomba sana but baada ya muda yalianza kupungua.
Ila tatizi lake hawezi kunitafuta Kama hana shida ya hela. Wakati mwingine namtumia text hata WhatsApp namuona yupo Online lkn hajibu isipokuwa anaisoma tu na kupotezea. Kuna wakati napata hasira namtusi ndipo anaanza kujibu kwa kujitetea.
Jamani naumia sana nikifikiria namna nilivyowekeza pesa nyingi kwake kweli naishiwa nguvu kabsa. Mfano saivi nimetuma text WhatsApp ila hajajibu japo kaisoma. Hivi hapo kuna tumaini la ndoa kweli.
Mbaya zaidi nikilalamika ananiambia kuwa anaumia ninapolalamika nipeni ushauri ila tatizo kubwa lipo kwenye kuishi naye mbali na kutonitafuta mpaka nimtafute au awe na shida ya pesa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba naona unavyoumiaa...!!Dah bro ,unafeli Sana hv hiyo nishati ya kuendelea kumtumia hela mtu uko Naye mbali unaitoa wap, na mbona ushaona ishara zote kuwa huyo hakutaki Ila bado unaforce tuu Tena kwa kutuma miamala , dah bro .....
Na Mimi nafikiria Kama wewe vile lkn kingine wakati mwingine huwa nakuwa natoa maneno ya kumuumiza sana, na ya dhihaka hasa nipatapo hasara kwa matendo yakepole sana kiongozi
hapo kuna weza kuwa na mambo kadhaa ya kuhisi ILA
1. Lenye uzito zaidi kwangu ni kuwa mbali na mpenzi wako
2. kama ameshamaliza chuo anapenda kusikia mipango ya kupeleka mapenzi yenu mbele; mfano lini mngependa kuoana/mtaishi wapi mkioana na yeye atoe mawazo yake nk
3. Sitaki kuwalaumu sana dada zetu kwani wakati mwingine wanapata changamoto kubwa sana; fikiria mtu uko huko Kenya yeye yupo Dodoma, na vijana wanamfuata pengine kutaka kumuoa na hana hakika uko ulipo ukoje mf; kama uliweza kuishi naye kwa miezi mbili pengine unaweza kuishi na mwingine tena; Je akikusubiri ukabadili mawazo na yeye amesha achia fursa zinazojitokeza nk; Wanapata changamoto sana. Nionavyo mimi changamoto KUBWA kuliko zote ni umbali...
cha
Jamaa anaendekeza ujinga Tena kwa makusudiAtakutesa kiakili hadi ujinyonge, wewe endekeza ujinga tu.
Anatakiwa akue kiakili. Ukikaa naye nyumbani kama mke, mnyooshe kweli kweli. Ila umzalishe pia. Mtoto atamkuza akili piaMkuu niseme tyu ukweli kumchana huwa namchana sana, na nikimcha Mara nyingi huwa anapaniki na kukata cm. Tunakaa ata miez 2 bila kuwasiliana kisha anajirudi tena
Sure kaka Long distance r/ship Zina shidah sana ,Hawa dada zetu sometime tunawalaumu tuu ,wakati na wao wako underpressure na swala la umri na kuolewa n vitu ambavyo wako very sensitive navyopole sana kiongozi
hapo kuna weza kuwa na mambo kadhaa ya kuhisi ILA
1. Lenye uzito zaidi kwangu ni kuwa mbali na mpenzi wako
2. kama ameshamaliza chuo anapenda kusikia mipango ya kupeleka mapenzi yenu mbele; mfano lini mngependa kuoana/mtaishi wapi mkioana na yeye atoe mawazo yake nk
3. Sitaki kuwalaumu sana dada zetu kwani wakati mwingine wanapata changamoto kubwa sana; fikiria mtu uko huko Kenya yeye yupo Dodoma, na vijana wanamfuata pengine kutaka kumuoa na hana hakika uko ulipo ukoje mf; kama uliweza kuishi naye kwa miezi mbili pengine unaweza kuishi na mwingine tena; Je akikusubiri ukabadili mawazo na yeye amesha achia fursa zinazojitokeza nk; Wanapata changamoto sana. Nionavyo mimi changamoto KUBWA kuliko zote ni umbali...
cha
Staystrong bro ....usiendeshwe na hisia afu penda kujichanganya acha kukaa kiupweke upweke...Sawa unaona ni ujinga et
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ni bonge la kiande km hii story yake n ya kweli ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba naona unavyoumiaa...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ni bonge la kiande km hii story yake n ya kweli ....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haina shida
Unaweza kumroga pia,kama wewe ni mwanga
Hata mm Naona hvo hvo jamaa kaamua kutuchangamsha tuuNaona kama kuna chai hapaa...!! Maana ubwege wa hivi ni wa miaka ya 1900 hukoo