Je, huyu anafaa kuolewa

Je, huyu anafaa kuolewa

IMG_4117.JPG
ushapigwa TKO mkuu angalia kwingine hapo hakuna kitu kabisaaaa
 
Pole, fimbo ya mbali haiuwi nyoka...
Nawewe kuwa bize asipokutafuta hakupendi.
 
Pole, fimbo ya mbali haiuwi nyoka...
Nawewe kuwa bize asipokutafuta hakupendi.
Principle ni moja tu huwezi kuikwepa na wala huwezi kujifanya upo bize cz ndani ya huo ubize kasimama huyo huyo unayemkwepa, rudi hapa [emoji116][emoji116]
Sheria ya love iko moja tu dunia nzima japo haijagundulika [emoji116][emoji116]

Nakupenda ili unipende sasa ushanipenda nikupende ili iweje?

Case closed.
 
Hakupendi Mkuu halafu inaonekana wewe king'ang'anizi
Wanawake wameanza lini kupenda?
Wanawake wala hawajui upendo ni kitu gani wao wanaheshimu na kinachoheshimiwa hapa duniani kinajulikana? Utasubiri sana kupendwa na mwanamke wewe timiza mahitaji yake automatically atakuheshimu kisha mwanaume utatafsiri Kama ndio upendo kumbe ni heshima tuu.
 
Ili kupata majibu kama ni wa ndoa ama ni mpita njia points ni zile zile
Kuanzia sasa usimtafute....usipige,usitume sms
Akiomba pesa usitoe

Sikilizia kama atakutafuta unatake over mahusiano,yani unamgeuzia kibao cha yeye kuanza kukubembeleza
Asipokutafuta jua huitajiki hapo,fanya mambo mengine

Life iko too short kuumizwa na mtu,tulia fanya mambo yako utapata mtakayependana
Sometimes unatakiwa kuchukua maamuzi magumu kwa usalama wa moyo wako kwa badae

Pendana na anayekupenda
we kuna mtu kakuanzishia Uzi nenda kajibu chap kwa haraka tumalize mchezo
 
Falsafa ya mahusiano usipofata kanuni za kiungu lazima zikutoe damu.
Mwanaume ni mpango wa Mungu kutawala dunia mwanaume ni ufunguo wa maisha kwa mwanamke.
Mwanaume ni baba kwa mke wake usipoonesha hizo tabia za kibaba kwa mke/mpenzi wako lazima ulie tuu.
Muoneshe njia,muoneshe upendo, mfunze maisha, mfunze heshima lazima akiwa na wewe ajifeel yuko chini ya himaya fulani laa ya sivyo.
Hayo yote yanafanywa ukiwa unalifahamu neno na neno ndio muongozo wako.
Mwanaume ni msingi ukitetereka hakuna jengo yeye ni pambo lako jitahidi mara zote ajihisi yuko salama.
 
Na Mimi nafikiria Kama wewe vile lkn kingine wakati mwingine huwa nakuwa natoa maneno ya kumuumiza sana, na ya dhihaka hasa nipatapo hasara kwa matendo yake
Usikasire kwa majibu yake mkiwa karibu tumia hekima kumfundisha na kumuelekeza falsafa zako
 
Back
Top Bottom