Michael chuma
Member
- Jul 16, 2020
- 9
- 33
Najua unampenda but mvumilie ila utakapo kutana nae piga mimba mzibiti asitoe then tokea Apo tulia ata kuheshimu sana
Nitakuona mwanaume wa ukweli ikiwa utamuacha huyo "chuma ulete"Nashukuru kwa ushauri wenu
Kwa tabia hizi huyo mwanamke lazima akuone fala, si ajabu ndie vi emoji unamtumia ukisema unamtukana[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Afadhali unisaidie kumwambia huyu mvulanaHawa ndio wale vijana wanao jiua kisa toto halimtaki halafu yeye ndio kakolea vibaya mno, ndio maana ana mtusi sometimes.
definitely hajiamini .
Utakuwa kavulana Basi Kama sio mvulanaMimi siyo mvulana
Mkuu umeona mbaliJamaa hamuwezi huyo demu kwanza hajiamini kabisa ndio maana anapelekeshwa hata akibahatika kumuoa huyo demu bado hatamuweza, sisi wanaume tupo duniani kumiliki kila kilichomo humu na kijione kipo Salama chini yetu ,jamaa ameyumba since day one yaelekea alimtongoza kiuwogauwoga demu akaona huyu mwamba hajiamini.
CHAGUA CHAUMA,Habari wadau
Jamani naomba mnishauri kuhusiana na haya mahusiano yangu kwani ni zaidi ya mwaka sasa bila kuyaelewa. Binafsi Mimi naishi Kenya ila kwetu ni Tanzania.
Ilikuwa ni mwaka jana nilipokuwa nafanya kazi za tiba ya asili mkoani Simiyu ndipo nilikutana na binti mmoja hivi, nikamueleza yaliyopo moyoni mwangu na yeye akanielewa sana. Kwa vile yeye alikuwa ni mwanafunzi wa chuo cha Kati hapa nchini tulikaa pamoja Kama miezi 2.
Alisafiri kwenda huko Dodoma na mimi nikaenda zangu huko Kenya baada ya kumaliza kazi iliyonileta. Mwanzoni mawasiliano yakuwa bomba sana but baada ya muda yalianza kupungua.
Ila tatizo lake hawezi kunitafuta kama hana shida ya hela. Wakati mwingine namtumia text hata WhatsApp namuona yupo Online lakini hajibu isipokuwa anaisoma tu na kupotezea. Kuna wakati napata hasira namtusi ndipo anaanza kujibu kwa kujitetea.
Jamani naumia sana nikifikiria namna nilivyowekeza pesa nyingi kwake kweli naishiwa nguvu kabsa. Mfano sasa hivi nimetuma text WhatsApp ila hajajibu japo kaisoma. Hivi hapo kuna tumaini la ndoa kweli.
Mbaya zaidi nikilalamika ananiambia kuwa anaumia ninapolalamika nipeni ushauri ila tatizo kubwa lipo kwenye kuishi naye mbali na kutonitafuta mpaka nimtafute au awe na shida ya pesa.
WAZEE WAKO WANAZO HIZI TAARIFA MKUU?Ni zaidi ya 1.5m
Mwanaume unaachaje wanawake unaokuwa nao kwenye mahusiano kwa ajili ya binti wa chuoSiyo kweli mi najiamini mno. Na niliacha wengine nikaenda kwake
BASI USISAHAU KUIPIGIA KURA CHAUMA MWAKA HUU!!!Hpn sema hizi pesa niliuza mayai ya bundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah pole mkuu China ukimpa mtu Figo unalipwa million 200 lakin Tanzania unampa mtu moyo wako na bado anakuomba hela ya kusuka![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Chukua huu ushauri. Narudia chukua huu ushauri.Najua unampenda but mvumilie ila utakapo kutana nae piga mimba mzibiti asitoe then tokea Apo tulia ata kuheshimu sana