Je, hili limewahi kukutokea?

Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.

Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.

Ila kijana hajui
Nani huyo mdudu🀣🀣

Kuna kijana naanza kujikuta nampenda, naomba uniombee.
 
Nani huyo mdudu🀣🀣

Kuna kijana naanza kujikuta nampenda, naomba uniombee.
Mtume kwenye meseji chap 🀣🀣🀣 ndio maombi yaendeleee

Kama ni at ur own risk hata maombi yanaweza yasifike mawinguni
 
Toooba yule sijui mchawi haki ya nani 🀣🀣🀣

Kila nikitaka kumpotezea nashindwa
Ushaishaaaa
Kibra ileeeee 🀣🀣🀣

Msisitizo ni ule ule.. sema yanaweza kuwa vice versa, na vice versa yaweza kuwa +\-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…