Je, hili limewahi kukutokea?

Ulimpenda kabisa wa humu humu
 
Kumbe na yakupendana humu yamo!
Je nakuombana bando na yenyewe yamo!
Mmmh.
 
Jf ni kama kichaka aise!

Nakumbuka kuna mmoja humu alijifanya ni mwanamke nikamuendea pm kumuomba nimuunge group kipindi hicho

Akakubali na kumuunga ila baada ya muda tukagundua kua ni mwanaume anatuchezea mchezo ikabidi kumremove

Kilichofata baada ya hapo akafungua nyuzi humu kwa I'd zake tofauti tofauti kunichafua[emoji28]
 
Hivi ni kweli watu wanatokea kupendana humu jamii forums na majina wanayotumia ni fake!!?
Mi huwa naona kama mnadanganya vile. Huwez kumpenda mtu hujawahi kumwona
 
Kwamba hamkupeana utamu jamani [emoji848]
 
We kula tu mbususu humu, siku ikitokea ile thread ya mtu kutapeliwa humu hadi pumbbu zako zinawekwa mezani tuzidiscuss [emoji16], mtu anaejilipua kutombanna humu ni wa kumpa heshima
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa comment yako hii umenifanya nighairi mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…