Je, hili limewahi kukutokea?

Nchincha mwiba huo
 
Bora hata wewe ndugu yangu [mention]Unique Flower [/mention]
Yaliyo na yanipatayo kwa [mention]Kelsea [/mention] ni machungu ndugu yangu
Heli hata wewe mlipendana na kupendana
Kumekucha [emoji23]
 
Haijatokea na haito tokea na ikitokea nipelekeni KWA MWAMPOSA nikaombewe[emoji1787][emoji1787]
 
Hongera
 
Raha ya jf wanawake wa humu wanato gozeka vzuri na ni waelewa sana ,tatizo age zao ni 26- 32+ walio wengi
 
Narudia tena humu JF kuna watu wana stress sana na hilo utaliona kwenye nyuzi zao tu...
Hivi mkuu unakosaje stress.. hivi leo kuna watu humu hawatashuhudia sherehe za uzinduzi wa kombe la dunia..umeme umeme umeme...
 
Bahati yako 🤣🤣🤣🤣 ulikua unaenda kupewa nundu ya mafuta.
Watu wengine wadwanzi kweli kmmke zao.
 
Kumbe wengine mlienda mbali zaidi ya malengo ya wamiliki wa jf.
 
Kwakweli me siwezi penda mtu sjawai muona hata nkikufata pm jua kawaida yetu sis wanaume usnikubalie please....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…