Je, hili limewahi kukutokea?

Yeah .. kwa komenti hiziii watu wanawekana kinoma noma humuu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Bora nawe uneshtuka mkuu, haka kaupepo nadhani ni kazuri, sie wazee tumekaa pembeni tunaangalia tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa ulimbwende ulioumbiwa na Mola huo sema hujataka tu, [emoji39][emoji39] hivi kuna mwanaume rijali haswaaa anaweza kuwa na jeuri ya kukataa kukuweka Antonnia?

Wewe kwa muonekano wa picha tu bolo linatema love juice, mapigo ya moyo yanaenda kwa kasi, mwili unasisimka, ........niendeleeeeee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo mtoto sijui anaishi wapi mkuu, namfananisha na watu wa Rwanda huko, moto kweli kweli..
 
Mweh picha tu zile hazina uhalisia wowote Usidanganyike rafiki filter zinatubeba sanaaaa!!😉
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo mtoto sijui anaishi wapi mkuu, namfananisha na watu wa Rwanda huko, moto kweli kweli..
Alikuwa Morogoro, sijui kwa sasa yupo wapi, ana sura ana mshepu wa aina yake halafu ana rangi ya upekee, ana lips za kumtoa nyoka pangoni, ana msambwanda wa kusuuza moyo , Mungu anaumba we acha tu Antonnia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo namtangaza kwenu!! Tuhesabu kdgo 1,.....2,......3 Huyu Hapa Huyu😆🇹🇿🇹🇿
 
Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage [emoji23][emoji23][emoji23]
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.

Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.

Ila kijana hajui
Huyo ni Mimi kabisa, Fanya urudishe MOYO wako kwangu[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…