Je, hili limewahi kukutokea?

Ha ha haaa
Watake radhi warembo wazuri wa humu.
Ninavyo waheshimu siwezi thubutu kuwaita 'pisi kali'.
 
Mie nimemuelezea huko juu kwenye comment, yupo Arusha Ngulelo jina lake linaanza na herufi V...........na ameshajijua [emoji1]

Basi muelezee japo kwa ufupi akiona comment yako atajua ni yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 haya bwana basi ameshajijua nadhani. Mimi nikumuelezea bila kumtag hatajua
 

Ndo mana huwa nawashangaa watoto wa humu jf,ushamba umewajaa sana aseee ..hivi unachati vp na jitu hujui jinsi yake wala sura yake,achilia mbali jina lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…